Huyu sowah alifanyiwa hujuma au alijihujum maksudi, wata pleya.
Ibenge hajapata kikosi cha kwnza hadi leo.
Manula apew nafasi mhhh, sina neno
Hawa ndio wwatacheza na utoporo au kuna azam nyingine?
Luis miquissone ataongeza kitu humo
Huyu jamaa nimekua nikimfatilia, muda sana, ana content zake huko you tube tiktok, insta, na kwingineko jamaa anabadili mademu, kinoma wanamshobokea wenyewe na yeye akiona mademu ana sifa sana nikujipigia tu kama ana sukuma mlevi
Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Luis Jose Miquissone, ametambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu ya Singida Black Stars akitokea klabu ya Al Ahly Benghazi ya nchini Libya.
Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha usajili wa nyota huyo kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii kwa...
Kuna watu wanasubiri ufe ndio wakusifie. Hii si haki.
Mimi sisubiri kusifiwa, au sisubiri nife ndio nisifiwe. Najisifia mwenyewe, tena sasa hivi.
Mimi ni binti wa kimanyema, nimezaliwa mkoani Mtwara mnamo mwaka 1982.
Nina sifa zote za mwanamke mzuri. Mimi ni mrefu, shupavu, makebo makubwa na...
For years, Wicknell Chivayo represented one of the most extravagant faces of Zimbabwean wealth.
His social media pages offered a running display of luxury cars, designer clothes, expensive watches, lavish properties, private aircraft and enormous cash giveaways.
His was a world in which...
Red black nashukuru sana kwa kujali , ila sijui kama wewe una hata level za kunizungumzia mimi asee😅
Au ni vile tuna kutana humu JF tu , ndio mnaona mnauwezo wa hata kukutana na kila members humu🤣
Ndio nyie nyie members mnaomba 2000 humu😄
Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa.
Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
Ngoja apumue Pumue Kidogo Twende sehem yaitwa the Penny Black mtaa wa Robertson Quay baada ya mechi sasa twaenda Rooftop ipo Marina Bay Financial Centre ,
Maana masaa kadhaa yalopita shughuli ilikuwa moto
Uzuri huyu aliielewa mwenyewe show show na anajiletaga
Juzi nilimtembelea kwake leo...
Habari za weekend ndugu zangu
Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka haraka utahis ni punje za mkaa....hiz mbegu nzur sana kwa acid reflux mimi binafsi zilinisaidia...
Ilikuwa ni mchana fulani hivi ambao ulikosa jua!, bali mawingu na dalili hafifu ya mvua ndio ilitamalaki.. nikiwa na toto la kimarekani limepanda hewani uno fulani la mijazo na unyonyo wa wastani huku akibarikiwa ka rangi kama ka uchotara wa kupakua!.. ilikuwa tumekaa zetu sebuleni tukipata...
Mabingwa watetezi Young Africans (Yanga SC) watashuka dimbani Machi 5, 2026 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Singida Black Stars bila wachezaji Watatu muhimu, jambo linalopelekea pigo kubwa kwa matumaini yao ya kutetea ubingwa.
Yanga watakuwa bila kiungo wao, Pacome Zouzoua...
Msafara wa msiba wa Kadinali Pengo ni wa aina yake.
Kuna men in black, makarao wakiwa makini muda wote.
Tunajua Pengo alikuwa kiongozi mkubwa wa dini, lakini kwa huu uzito aliopewq na gavoo mbona kama alikuwa mserikali?
01 February 2026
Stade Alphonse Massamba-Débat in Brazzaville
Kutoka Uwanja wa Alphonse Massamba-Débat jijini Brazzaville, katika pambano muhimu la Kundi C la Kombe la Shirikisho la CAF. Katika pambano la mwisho kati ya timu hizo mbili, lililochezwa Januari 25, 2026 nchini Tanzania, Singida...
25 January 2026
Amaan Stadium
Zanzibar Tanzania
MICHUANO KOMBE LA CAF SHIRIKISHO 2025 / 2026
Singida Black Stars SBS 1 - 0 Otôho d'Oyo ASO
Singida Black Stars SBS Timu ya Tanzania leo imepambana na klabu ya Otôho d'Oyo maarufu kama Association Sportive Otohô ASO ya kutoka Jamhuri ya Congo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.