binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. Binti unapaka kipako gani? Tutajie na Bei. Nimependa hii set

    Tutajie kipako na bei. Nimependa hizi bidhaa ,cha kwanza zinatengenezwa mimea. Cha pili zinaandaliwa kwa kuzingatia ngozi ya mu-Africa uwezo wa Melanin (kizalisha rangi ). sebun (kizalisha mafuta ) na UV light ( kiasi cha jua kinachoweza athiri unyevu wa ngozi. kila kipodozi elf 15.Piga 0713...
  2. Simulizi ya Kevoo alivyokuwa akimpa binti marehemu Angel 1000tsh kila siku aliyofanya kibarua

    Kufuatia Kifo cha Angel Wariaeli, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026, wakati akiendelea kupatiwa matibabu Kutokana Kupata majeraha ya kupigwa Risasi Oktoba 29, 2025, Kijana Calvin Title Mwakajeba ambaye hujishughulisha na ujenzi amefunguka mazito namna alivyokuwa akiguswa na...
  3. Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao.

    Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao. Baada ya mazungumzo mafupi na wazazi wake, kulingana na utamaduni wao, mwanaume yeyote anayetaka kuoa kutoka kwao lazima afanye kazi ya shamba kwa mwezi mmoja mzima...
  4. Usipompiga mkuyenge binti wa kazi jitahudi kumpa off kila weekend atoke out vinginevyo unampoteza

    Mtu umebahatika kupata mdada mchapa kazi, mrefu, mweusi tii ana dimpoz kiuno chembamba shape matata halafu unamfanyisha kazi bila kumpa off hata 1 kila wiki unategemea nini? Kibaya zaidi humpigi mkuyenge unategemea atapunguza vipi genye zake?
  5. O

    Gachagua Aibua Mjadala Baada ya Kudai Mavazi ya Ruto Kwenye Harusi ya Binti Yake Yaligharimu KSh Milioni 100

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amezua mjadala baada ya kudai kuwa Rais William Ruto alivaa mavazi yenye thamani ya KSh milioni 100 wakati wa harusi ya binti yake, Charlene Ruto, iliyofanyika Mwanza, Tanzania, Novemba 6, 2026. Akizungumza wakati wa ibada ya kanisa katika eneo la Lari...
  6. Huyu binti kanichosha, zaidi ya masaa mawili anaongea tu....

    Yaani saizi anasema eti.... "ngoja ninyamaze nisije nikaonekana naongea sana" Hivi kwani minakosea wapi?? Haka ndio kale kabinti kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
  7. Nina Binti wa 23 Sasa nashangaa watu wanapo exaggerate hisia

    Ninaomba nishee hii experience ingawa haikusudii jambo lolote la ajabu. Mwanangu ana umri wa miaka 23. Ninwapili baada ya dadaake kumaliza chuo yeye hakufanikiwa kufika level za juu. Ameishia la sita akapata changamoto za kiafya. Kwa Sasa anaafya safi anaendelea na majukumu hapa na pale ila...
  8. Juzi nilimtumia Binti yangu mmoja mstari fulani kumkumbusha na wewe mtumie binti yako mstari huu umkumbumbushe

    Nimesikia kuna tukio limemtokea binti mmoja ambae alikutana na kijana wa hovyo Muhuni akamfanya nae mapenzi kisha akamchukua video huku akiwa anamfanya hicho kitendo bila kuona aibu. Kwa wakati huo naona wengi wamekua wakiongea kusema kijana amefanya tendo la uovu na haikua sawa au jambo sahihi...
  9. M

    Katika maisha ya kweli umewahi kumjua mwanaume mwenye maisha ya chini aliepata zali la mentali, kupendwa hadi kumuoa binti mwenye uchumi mzuri?

    Ukiacha stori ya kwenye wimbo wa 'Zali la Mentali', je, ushawahi kuona mwanaume wa hali ya chini anayebatika kuoa binti tajiri na maisha yake yakabadilika kweli? Ama hizi mambo hutokea kwenye nyimbo na filamu tu? Share kisa unachokijua.
  10. C

    Jamaa uliyemchukua binti wa watu stend dar mwaka jana na gari ukamwambia unampeleka kwako ukaishia kumpeleka lodge ukala kimasihara sasa na mtoto

    Mtoto wa kiume wa miez 8 anahangaika sana hata hela ya matibabu ya mtoto ni shida, binti amejikatia tamaa ya maisha anaishia kulalamika umemharibia maisha
  11. PICHA: Binti anayesota ndani kwa kesi ya ugaidi

  12. Mahari ni mnada wa mwanamke au Ndoa Takatifu?

    Siku kijana anapowekewa karatasi yenye mahesabu ya ada za chuo, gharama za chakula cha miaka 20 iliyopita, na orodha ya samani za kifahari ili tu aruhusiwe kumwoa mwanamke anayempenda, anagundua kuwa hajawahi kuwa kwenye mazungumzo ya familia bali yupo kwenye mnada wa biashara. Mtego huu wa...
  13. J

    Uislam unazidi kwenda kuitawala Dunia, Binti wa Kisomali achaguliwa Bunge la Uingereza

    Sagal Abdi-Wali aliapishwa Jumatatu kama mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza, huku akiweka mkono wake juu ya Quran wakati wa kula kiapo. Anatajwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye asili ya Somalia katika historia ya Uingereza. Abdi-Wali, ambaye aliwasili Uingereza akiwa mtoto...
  14. Binti mvaa Ninja amtuhumu John Heche kumtelekeza

    John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
  15. Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  16. Natoa pongezi kwa wote wanaompambania huyu binti huko Thailand. Lete ushindi nyumbani.

    Una maoni gani kwa jinsi anavyotuwakilisha kwenye mashindano ya MISS GRAND INTERNATIONAL?
  17. Binti adai kubakwa Arusha

    Anadai alikuwa anasajili laini mtaani huko Arusha akakutana na mkaka aliekuwa akihitaji huduma ya laini ila namba za nida zilikuwa nyumbani kwa mkewe Waliongozana mpaka nyumbani ambapo alidai mkewe yupo ndani ila walipoingia ndipo alipokuta wanaume wengine ambao walianza kumtishia kwa kisu...
  18. Binti yangu hakutaka kuwa atheist kama mimi

    Aliniomba nimchagulie dini bora , nikapendeza awe binti wa kiislamu kama bibi yake zamani hizo , sikupenda awe mchristo kama mimi japo now sina dini yeyote 🤣
  19. Kabila la banyankole shangazi hulala na mchumba wa binti yao kabla ya ndoa ili kupima uwezo

    Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa bibi harusi katika kuhakikisha uimara na uwezo wa mwanamume anayetaka kumwoa binti yao. Kwa...
  20. S

    Binti wa miaka 15 anaruhusiwa kuolewa, kwanini haruhusiwi kupiga kura?

    Kama msichana wa miaka 15 anaruhusiwa kufanya maamuzi yatakayoathiri maisha yake yote hapa duniani pamoja na maisha ya watoto wake( ndoa) kwanini haaminiki linapokuja suala la kufanya maamuzi ya kumchagua kiongozi atakayemuongoza kwa miaka mitano?? .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…