Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.
Tutajie kipako na bei. Nimependa hizi bidhaa ,cha kwanza zinatengenezwa mimea. Cha pili zinaandaliwa kwa kuzingatia ngozi ya mu-Africa uwezo wa Melanin (kizalisha rangi ). sebun (kizalisha mafuta ) na UV light ( kiasi cha jua kinachoweza athiri unyevu wa ngozi. kila kipodozi elf 15.Piga 0713...
Kufuatia Kifo cha Angel Wariaeli, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026, wakati akiendelea kupatiwa matibabu Kutokana Kupata majeraha ya kupigwa Risasi Oktoba 29, 2025, Kijana Calvin Title Mwakajeba ambaye hujishughulisha na ujenzi amefunguka mazito namna alivyokuwa akiguswa na...
Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao. Baada ya mazungumzo mafupi na wazazi wake, kulingana na utamaduni wao, mwanaume yeyote anayetaka kuoa kutoka kwao lazima afanye kazi ya shamba kwa mwezi mmoja mzima...
Mtu umebahatika kupata mdada mchapa kazi, mrefu, mweusi tii ana dimpoz kiuno chembamba shape matata halafu unamfanyisha kazi bila kumpa off hata 1 kila wiki unategemea nini?
Kibaya zaidi humpigi mkuyenge unategemea atapunguza vipi genye zake?
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amezua mjadala baada ya kudai kuwa Rais William Ruto alivaa mavazi yenye thamani ya KSh milioni 100 wakati wa harusi ya binti yake, Charlene Ruto, iliyofanyika Mwanza, Tanzania, Novemba 6, 2026.
Akizungumza wakati wa ibada ya kanisa katika eneo la Lari...
Yaani saizi anasema eti.... "ngoja ninyamaze nisije nikaonekana naongea sana"
Hivi kwani minakosea wapi??
Haka ndio kale kabinti kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
Ninaomba nishee hii experience ingawa haikusudii jambo lolote la ajabu.
Mwanangu ana umri wa miaka 23. Ninwapili baada ya dadaake kumaliza chuo yeye hakufanikiwa kufika level za juu. Ameishia la sita akapata changamoto za kiafya. Kwa Sasa anaafya safi anaendelea na majukumu hapa na pale ila...
Nimesikia kuna tukio limemtokea binti mmoja ambae alikutana na kijana wa hovyo Muhuni akamfanya nae mapenzi kisha akamchukua video huku akiwa anamfanya hicho kitendo bila kuona aibu.
Kwa wakati huo naona wengi wamekua wakiongea kusema kijana amefanya tendo la uovu na haikua sawa au jambo sahihi...
Ukiacha stori ya kwenye wimbo wa 'Zali la Mentali', je, ushawahi kuona mwanaume wa hali ya chini anayebatika kuoa binti tajiri na maisha yake yakabadilika kweli? Ama hizi mambo hutokea kwenye nyimbo na filamu tu? Share kisa unachokijua.
Mtoto wa kiume wa miez 8 anahangaika sana hata hela ya matibabu ya mtoto ni shida, binti amejikatia tamaa ya maisha anaishia kulalamika umemharibia maisha
Siku kijana anapowekewa karatasi yenye mahesabu ya ada za chuo, gharama za chakula cha miaka 20 iliyopita, na orodha ya samani za kifahari ili tu aruhusiwe kumwoa mwanamke anayempenda, anagundua kuwa hajawahi kuwa kwenye mazungumzo ya familia bali yupo kwenye mnada wa biashara.
Mtego huu wa...
Sagal Abdi-Wali aliapishwa Jumatatu kama mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza, huku akiweka mkono wake juu ya Quran wakati wa kula kiapo. Anatajwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye asili ya Somalia katika historia ya Uingereza.
Abdi-Wali, ambaye aliwasili Uingereza akiwa mtoto...
Anadai alikuwa anasajili laini mtaani huko Arusha akakutana na mkaka aliekuwa akihitaji huduma ya laini ila namba za nida zilikuwa nyumbani kwa mkewe
Waliongozana mpaka nyumbani ambapo alidai mkewe yupo ndani ila walipoingia ndipo alipokuta wanaume wengine ambao walianza kumtishia kwa kisu...
Aliniomba nimchagulie dini bora , nikapendeza awe binti wa kiislamu kama bibi yake zamani hizo , sikupenda awe mchristo kama mimi japo now sina dini yeyote 🤣
Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa bibi harusi katika kuhakikisha uimara na uwezo wa mwanamume anayetaka kumwoa binti yao.
Kwa...
Kama msichana wa miaka 15 anaruhusiwa kufanya maamuzi yatakayoathiri maisha yake yote hapa duniani pamoja na maisha ya watoto wake( ndoa) kwanini haaminiki linapokuja suala la kufanya maamuzi ya kumchagua kiongozi atakayemuongoza kwa miaka mitano?? .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.