Hiwe kundi moja la kikabila, dini, rangi, dhehebu, chama nk kulitawala lingine haliyakuwa wote ni binadamu
Kwa wanyama porini huwa kuna ambao wanakula wenzao ndio maana wanatawaliana kutokana uhai wa mnama mmoja unategemea kifo cha mnyama mwingine. Hali hiyo ni tofauti kwa binadamu ambapo huwa...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, kupitia ofisi yake ya Afrika, limetoa wito wa kutaka haki kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania, Humphrey Polepole, aliyeripotiwa kutoweka Oktoba 6, 2025, huku likiingiza suala lake katika kampeni ya kimataifa ya #Write4Rights...
afrika
amnesty
amnesty international
balozi
binadamu
haki
haki za binadamu
humphrey
humphrey polepole
international
kimataifa
kupitia
kutaka
kutetea
ofisi
polepole
shirika
upya
wito
Utachukua hatua gani ndugu yako, mume/mke, jirani au rafiki akikuambia mungu amemuambia amtoe sadaka/kafara mtoto wake na kweli anakusadia kwenda kumtoa mtoto wake sadaka kutimiza agizo hilo ?
Kuna Mbwa na Paka wanaishi maisha mazuri sana kuliko binadamu wengi. Unakuta Mbwa wanalishwa vizuri, wanakaa pazuri na wanabebwa kwenye gari za kifahari.
Je jambo hili la kuwapa Mbwa na Paka maisha mazuri na kuacha kusaidia binadamu wenye maisha mabaya wanaoteseka kwa kwa kukosa hata mahitaji...
Niwachane tu ukweli wadau..
Kuishi single ni msala, kwanza unakuwa una hasira hasira tu.
Ndugu zangu mlio single, Kamwe usije kudhani una enjoy, NY friend you are just surviving..
Kama jinsi mwili wako unavyo taka chakula hata viungo vyako vya siri vinadai...
I need to reshape my love life...
Nadhani hapa Tanzania Conjugal visits hairuhusiwi. Je, suluhisho ni nini?
Niaonavyo, kwa mwanaume kuukwea mnazi kwa kono moja ndiyo namna pekee ya kuikata ashiki ukiwa mjela jela.
Hii ni ngori! 🥲
Mbaga Jr,
Dr am 4 real PhD,
Monetary doctor.
Kuna sababu zozote za maana mungu kuwapa majaribu au mitihani wanadamu aliowaumba mwenyewe na anaojua mpaka mwisho wao ?
Kwa nini mungu amjaribu binadamu?
Kwa nini anaruhusu shetani awatese binadamu akiwajaribu ?
The United Republic of Tanzania's 53rd Session of the Universal Periodic Review (UPR) is taking place today, 5 November 2026, in Geneva, Switzerland.
The UPR is a United Nations process in which member countries examine one another's human rights records.
Tanzania will face questions and...
Sasa watafiti wanachunguza uwezekano wa kutumia kemikali badala ya kuingiza jeni kwa njia ya tiba ya vinasaba (Gene Therapy).
Sababu ni kwamba kemikali zinaweza kuwa rahisi zaidi kutengeneza na kutoa kama dawa kuliko tiba inayohitaji kuingiza jeni mwilini.
Maana ya kisayansi: Je, kweli uzee...
Inasikitisha Sana kwa Ukanda Wa Pembezoni Mwa Ziwa Viktoria Kuwa na Tatizo sugu La Huduma ya Maji,
Mkoa Wa Mwanza Imekua Si Changamoto tena imekua Kama ni Wajibu wa Wananchi Kukosa Huduma Hii Muhimu Kwa Wiki kadhaa au Miezi,Bahati Mbaya Hakuna Taarifa zinazotolewa Wazi kwa Umma Kama kutakua na...
TAARIFA KWA UMMA
HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI
Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
Kinacho sababisha watu kuteka binadamu, kuua ni Umasikini. Yaani Matajiri wanatumia pesa zao kuwapa Masikini ili wamwage damu za masikini wenzao na hao Masikini wanaoua wenzao, wanajisifu kwa kumwaga damu ya Binadamu fukara mwenzao ili kumfurahisha Mtawala/ tajiri alowatuma.
Yaani masikini...
Nimejikuta Niki cheka sana baada ya kuona clip moja mtandaoni... Massage 💆 za wa Thailand 🇹🇭 zinachekessha sana
Hawa wamama mpaka wana vinyundo wanakuwa wanagongelea Sehemu zenye ukakamavu dah.. 😂
Yaani inataka kugeuka kuwa yoga ya lazima... Ni kasheshe sasa hapo hata kufikiria mambo mengine...
Kwasababu kwa kawaida,
mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe.
Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
Chombo cha anga cha Voyager 1, kilichozinduliwa na Shirika la Anga la Marekani (NASA) mwaka 1977, kinaendelea kushikilia rekodi ya kuwa chombo kilichotengenezwa na binadamu kilichosafiri umbali mkubwa zaidi kutoka Duniani. Chombo hicho kimevuka mpaka wa eneo linalotawaliwa zaidi na upepo wa Jua...
Na kwahivyo,
hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV.
Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake,
kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...