bibi

Bibi is a given name, nickname and surname.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Mzee ananiambia hapa, zamani vigelegele na vifijo hupigwa kama Bibi harusi alikutwa na ubikira wake

    Hamjambo! Huyu mzee mjivuni sana. Ananiambia siku hizi hakuna mapenzi isipokuwa uhuni tuu. Mzee anaendelea, anashangaa sana kuona watu wakipiga vigelegele hata kwa mwanamke ambaye hakukutwa na Bikira. Mzee anasema, zamani siku ya tukio, Kijana na binti huingia katika chumba maalumu kwaajili...
  2. C

    Manyara: Bibi wa miaka 61 arejea Shule akiutafuta ualimu

    Akiwa amevaa sare za shule na kuketi darasani pamoja na wanafunzi wadogo kuliko yeye, Felista Akunai (61), anaendelea kupigania ndoto ya kuwa mwalimu iliyodumu moyoni mwake kwa zaidi ya miongo minne. Mama huyo wa watoto sita na bibi wa wajukuu 11, alimaliza darasa la saba mwaka 1982, lakini...
  3. and 998 others

    Bibi ni star! alindwe kwa wivu mkubwa

    Bibi ni star. Kafanya kazi kubwa kushinda vitoto vya 2000.
  4. Dogoli kinyamkela

    Sishauriwi na wa bibi kuanzia leo 🙌🙌😭

    SISHAURIWI NA WA BIBI KUANZIA LEO 🙌🙌😭
  5. MSAGA SUMU

    Wakuu hii ya bibi iwapite hili kuepusha laana kwa taifa.

    Japokuwa ni kali lakini wakuu hii naomba iwapite hili kulinda maadili ya nchi na kuepusha laana kwa taifa. Natanguliza shukrani wakuu
  6. M

    Kipi bora, niwapeleke watoto kwa bibi yao kijijini au nibaki nao mwenyewe, sitaki kuwaacha na Mama yao

    Nina watoto 2 wa kike na kiume, ila kutokana na changamoto za maisha nimetengana na Mama yao kwa makubaliano kwamba maisha ya pamoja yameshindikana kila mtu akaangalie ustaarabu mwingine. Niliamua aondoke bila watoto kwani wana umri wa kuweza kubaki na mimi na yeye hana kipato cha kuwatunza na...
  7. F

    Lini Tanzania itaacha kuwa shamba la bibi, kichwa cha mwendawazimu, na sehemu ya majaribio?

    Ukisoma historia ya Tanzania vizuri, ukiondoa kipindi cha Mwalimu Nyerere na kidogo cha Magufuli, Tanzania imekuwa kama sehemu ya machizi kujifunzia kunyoa. Kila ajae, huja bila sera ya kuendeshea nchi. Nyerere alikuwa na ujamaa. Mwinyi alikuja na jaribio la uhujumaa. Mkapa alikuja na ubabe...
  8. Z

    Bibi Titi na wenzake walipo kutwa na hatia kwa kesi ya uhaini, walifungwa kifungo cha maisha. Leo Lisu itakuwaje?

    Awamu ya kwanza chini ya utawala wa Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliwatuhumu Bibi Titi na wenzake kwa kosa la uhaini na walipo tiwa hatiani na mahakama walifungwa kifungo cha maisha gerezani. Leo Lissu itakuwaje? Kunyongwa au kifungo cha maisha gerezani?
  9. Jaji Mfawidhi

    Bibi harusi agomea make up!

    Bi harusi huyu aligomea kupambwa kope za bandia, kucha na kupakwa ma rangi usoni , je kumempunguzia uzuri wake ama amekuwa wa kawaida sana? Je, ni insecurity ndio inasababisha kujipamba kupitiliza?
  10. Kaka yake shetani

    Kutoka nembo ya bibi na bwana kuwa nembo ya CCM kuanzia dola mpaka mahakama.

    Hii nembo kwa sasa imekufa sio ya wananchi ni ya CCM. Leo ukitaka kuwa na cheo lazima kuwa CCM
  11. Hance Mtanashati

    Unamuonea huruma mtu kufiwa kufiwa na mumewe unakuta kumbe huyo bibi fudenge anashiriki mapenzi ya jinsia moja.

    Unakuta bibi fudenge amefiwa unamuonea huruma na wengine kufurahi kumbe huyo bibi fudenge alisha move on kitambo na anafurahia mapenzi ya jinsia moja kwa kuwahonga vibinti vidogo na ni mlevi kupindukia. Bibi fudenge makazi yake yatakuwa jahanamu milele na milele.
  12. Jannatul Firdaus

    Bibi alietembea kwa miguu ampe Rais zawadi ya kuku apewa gari

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais Hakainde Hichilema. Maggie alianza safari hiyo Agosti 15, 16, akiwa amebeba kuku wawili wa kienyeji...
  13. Waterloo

    Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa. Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya. Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
  14. Yoda

    Kwa nini Bibi Titi Mohamed ameenziwa na serikali wakati alikuwa mhaini?

    Bibi Titi Mohamed na wenzake walihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa makosa ya uhaini ya kutaka kuipindua serikali ya Nyerere mwaka 1970. Kwa nini amekuwa anaenziwa kwa kupewa Barabara yenye jina lake "Barabara ya bibi Titi" na pia kufanyiwa matamasha mbalimbali ya kukumbuka historia yake...
  15. Fbn

    Kuna wanawake hawazeeki jamani. Hivi huyu bibi Cynthia mnamfahamu?

    Katika kundi la wanawake tasnia ya filamu huyu alitukosha sana vijana kwa zile ngumi zake na mapigano. Embu fikiria umemfahamu mpaka leo ila utamu umebaki pale pale.
  16. venchwa

    ***** kuna ka bibi kana miaka 55 kanasumbua sili mabibi Mimi

    Yaan ujana awape Wengine aalafu uzee alete Kwangu ! Mi nakula naotaka hapa Singapore Kanatoka Slovenia kana mpunga Ila Mimi sitakagi Pesa ya mwanamke Sitaki mabibi Mimi alafu kanakazana kutuma wahudumu 😀😀😀 Baada ya kuona Nina minyama yangu...
  17. Dogoli kinyamkela

    Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia

    Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia.
  18. bless on

    Uamuzi wa Bibi: Kazi au Familia Kwanza?

    Kuna siku nilikaa na bibi yangu tukizungumza kuhusu maisha yake ya zamani. Nilimuuliza swali ambalo lilinifanya nisikie simulizi ambayo hata baadhi ya wajukuu zake hawakuwa wamewahi kuisikia. Niligundua kuwa zamani alikuwa amesomea na kufanya kazi ya uuguzi, lakini baadaye akaja kuwa mwalimu...
  19. Mohamed Said

    Nimkubukavyo Bibi Titi Mohamed (1926 - 2000)

    https://youtu.be/ja_cL5te4Lw?si=xrLIzyrg4OFKo8ue
  20. Mohamed Said

    Bibi Titi Mohamed imeshindikana kumfuta katika historia ya Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/F8-U0yv9bDY?si=DhI7BYddoL1e93m9
Back
Top Bottom