biashara

  1. Ni biashara huru au kuingiliana kwa majukumu?

    Ni biashara huru au kuingiliana kwa majukumu? Hiki kitu nimekiona muda na huwa najiuliza kama ni soko huru kila mtu anafanya awezavyo ilimradi kodi iende kwa wahusika. Kumekuwa na muingiliano wa kibiashara kwa makampuni makubwa, mwanzo kulikuwa na malalamiko ila Regulators hawakutaka...
  2. Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

    Wanabodi, Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa? Bandiko hili ni la swali moja...
  3. K

    Ushauri kwa wenye vibanda vya biashara katika miji mbalimbali hapa nchini

    Kumekuwa na matukio ya kusikitisha ya kuungua kwa vibanda katika maeneo mbalimbali hapa nchini na kupelekea wamiliki kupata hasara kubwa na kuwaingiza katika umaskini mkubwa. Binafsi nina ushauri kwa Serikali kama mamlaka na wenye vibanda husika. (1) Serikali ihakikishe kuwa ni sharti kila...
  4. Umuhimu wa Strategic Planning katika Biashara

    Wengi wetu tunaamini kabisa kwamba maisha ni malengo. Biashara pia ni malengo Strategic Plan (Mpango Mkakati) unahusisha uaandaaji wa mipango/malengo unayotaka kufikia ndani ya kipindi fulani na mikakati ya namna ambavyo unataka kufikia malengo hayo. Katika kuandaa malengo hayo unapaswa...
  5. O

    Natafuta Ufadhili wa wazo la biashara

    NATAFUTA MFADHILI AU MUWEZESHAJI, MTU BINAFSI AU TAASISI Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Naitwa Omar. Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na perfume napatikana Mwanza. Malengo yangu ni kukuza biashara yangu na kuifanya biashara katika hadhi inayowapendeza wengi. Nahitaji mtu binafsi...
  6. Ni biashara gani nzuri kufanya maeneo ya shule ya msingi?

    Kwa mwenye uelewa wa biashara ambazo zinafanya vizuri maeneo ya shule ya msingi naomba anifahamishe ni aina gani au bidhaa gani nzuri asante
  7. Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

    Nilipita kipenyo kimoja Sudan Temeke niliona mabinti wameweka mapaja nje wanatangaza biashara saa nne asubuhi. Nilijua ni hostel za wanafunzi kwa harakaharaka. Ila nilipounganisha nukta nikakumbuka na kufahamu kuwa wako pale kibiashara. Serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama zaidi ya...
  8. Mwanza: Moto wateketeza vibanda vya biashara zaidi ya 30

    Vibanda zaidi ya 30 vya wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wapatao 200 vimeteketekea kwa moto ulioanza majira ya saa 10 usiku katika eneo la Makoroboi jirani na msikiti wa Wahindi jijini Mwanza. Vyanzo vya habari vinaeleza kwamba moto huo umesababishwa na hitilafu ya umeme na...
  9. Msingi wa biashara ni wateja sio mtaji

    Biashara nyingi sana hufa,sio kwa kukosa mtaji bali ni kwa kukosa wateja Ukifuatilia kwa karibu hutasikia kwamba kuna biashara eti ili kufa kwa sababu ilikosa mtaji,nyingi hufa kwa kukosa wateja.hata zile ambazo huwa na ufinyu wa mtaji bado ukifuatilia kwa ndani utakosa root cause ni kukosa...
  10. S

    Biashara ya ngozi ya mamba

    Ndugu zangu! nafikiria kuanza biashara ya kuuza ngozi ya mamba nchi za nje! Mimi ni mwenyeji wa kutoka wilaya ya Ludewa ziwa nyasa. Mwezi wa kumi na mbilli nilikwenda likizo ziwani na kushuhudia vifo vya watu zaidi ya watatu wakiliwa na mamba hapo kwetu. Nilifanya utafiti mdogo na kuona kuwa...
  11. Nyumba ya Mnyarwanda yachomwa moto kwa kujihusisha na biashara ya nyeti za binadamu

    Hii imetokea nchini Malawi ambapo inadaiwa Mnyarwanda mmoja aishie nchini humo na ambae ni tajiri aliejenge jumba kubwa mjini humo, alikuwa akiua watu hususani wanaume na kuwanyofoa sehemu zao za siri na kuzipeleke South Africa. Sasa amesanukiwa akakamatwa alipobanwa amesema kilakitu na...
  12. Kama kuna dalali aliyeko Morogoro kuna biashara ya kufanyika

    Habari za wakti huu. Hii ni very urgent.Kama wewe ni Dalali uliyepo Morogoro Mjini au zaidi Maeneo ya Kihonda basi tuwasiliane PM nikupe Biashara unifanyie Chap. Ni biashara ya kuuza eneo la ardhi liliko Kihonda.Maelezo na maelekezo mengine tutapatiana PM. Karibuni.
  13. Changamoto za biashara zinafanana

    Leo napenda nizungumzie kuhusu changamoto za biashara hasa wakati wa mwanzo kabisa."Niweke angalizo kwamba changamoto za biashara ni zile zile haijalishi ukubwa au udogo wa biashara". 1. Changamoto ya kwanza ni wateja - Kupata wateja sio jambo rahisi katika biashara.mara nyingi tunafikiri ni...
  14. Ripoti ya benki ya Dunia kuhusu mazingira ya biashara nchini Tanzania

    Katika Makala haya tuifananishe nchi yetu na majirani zetu kwenye upatikanaji wa ajira na ukuzaji wa uchumi. Viko vitu vingi vya kuzunguza lakini kwa taarifa iliyopo naweza zungumzia upatikanaji wa nishati, hatua za kuanzisha biashara na upatikanaji wa mikopo. Pia niweke nen kwenye masharti ya...
  15. C

    Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

    Mwenye uzoefu wa muziki wa bongo flavor especially ambaye anajua jinsi makampuni ya ku-promote muziki wa bongo flavor yanavyofanya kazi hasa na wasanii wanaoibukia. Naomba uzoefu hatua kwa hatua kuanzia kwenye kuingia mikataba na Hawa wasanii Hadi kurekodi, kufanya promotion na split ya mapato...
  16. L

    Je, nifanye biashara na ndugu wa kuzaliwa nae?

    Kama kichwa kinavyojieleza, je nifanye biashara na ndugu wa kuzaliwa nae au kila mmoja afanye yake tusije gombana? Kuna kipindi nilifanya na brother mmoja ila nilikuwa naona kama yeye ndo inabidi apambane kwa kuwa ni mkubwa mimi na relax mpaka sasa maisha yamenipiga mbaya.
  17. Kwa wafanyabiashara: Unatangazaje biashara yako kwa wengine?

    Kwanza napenda kusema na kukiri wazi mimi ni mmoja wa wale waliokua wakiamini katika msemo ambao watu wengi sana hupenda kuutumia kwamba kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza huu msemo ni kweli unafanya kazi 100% hasa unapojiamini vitu unavyouza ni GENUINE 100%. Kwenye huo msemo nataka leo wote...
  18. Barick kazini, hili la kuwawekea watu wa karibu na Rais wasisafiri kwenda Marekani ni kuficha ukweli wa biashara zao Makinikia yatakuwa undervalued

    Baada ya kutiliana mkataba wa Barick vs Serikalikali haya yote yameanza kuibuka hawa watu wamekasirika inabidi mheshimiwa asirudi nyuma.
  19. Mtoto wa miaka tisa aanzisha biashara ndogo ya kuajiri walemavu tu

    Camden Myers (9) mmarekani mweusi amaunda kitu cha kahawa ambacho kinaajiri walemavu peke yao. Kijana huyu mwenye moyo wa kipekee amekuwa akitumaini kuacha historia ya wema duniani Wafanyakazi wa kiwanda chake cha kahawa ni wanafunzi wa shule ya walemavu ya Winston-salem Dhima yake inaongozwa...
  20. Wimbi la wadada kwenda ughaibuni biashara ya ngono laibuka tena

    Siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la Mabinti kuomba pass katika ofisi za uhamiaji Dar es salaam. Ukweli ni ule mtandao wa kuwauza mabinti ughaibuni kwa kisingizio cha kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni, Ulaya na India bila kufuata taratibu umerejea tena baada ya serikali kupiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…