Habari, wanajamii?
Kuna wazo moja ninapenda nililete kwenu nikitumai kubadilishana mawazo nanyi.
Kuna huu mfumo, uliojiimarisha hasa katika nchi za magharibi, wa kujisomesha kwa kufanya kazi au wa kuwekeza katika biashara, bila kuitegemea biashara hiyo kiuchumi. Jambo hili linawawezesha - hasa...
Wakuu habari zenu mimi nipo Arusha ila nilikuwa nataka nianze biashara ndogo ndogo nilikuwa nataka nianze kuuza apple kuwafata wateja mahali walipo maana yake kutembeza.
Sasa nilikuwa nataka nijue mwendo wa biashara sasa hivi ukoje mtaani kwasababu nimefanya biashara mda kidog na pia kwa mtu...
Hii itapunguza sana urasimu wa kuzungusha watu kutoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine kufuatilia vibali vya aina mbali mbali ambavyo vingeweza kutolewa na taasisi moja tu kwa urahisi sana. Mfano , kuna haja gani ya kwenda kuchukua leseni manispaa badala ya TRA ambao ndio wanatoa Tax clearance...
Habarini wana jamvi. Nimeamua kuja hapa kuomba ushauri kwa hili swala. Nimeona nije kwa watu wasionifahamu ili kuondoa "conflict of interest"
Straight kwenye mada, kuna biashara nimekua nikifanya kwa muda wa mwaka mmoja sasa. Nilianza from scratch mwenyewe bila msaada kutoka kwa mtu yeyote...
Wadau naombeni ushauri
Nimepata wazo la kumfungulia duka la urembo mke wangu ila nataka akajifunze kufanya makeup na kusuka location ya kujifunza = Kariakoo (kama nitaambiwa location nzuri zaid itapendeza) then akishakua vizuri ndo nimfungulie duka uku mtaani(Kigamboni). je, hii biashara iko...
Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
Habari wazawa !
Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi...
Natanguliza kutoa onyo kwa Watanzania kuacha wivu hasa kwa wakazi wa mkoa wa Geita linapokuja suala la maendeleo.
DPP ametumia mamlaka aliyonayo kisheria na kuteleza hukumu ya utaifishaji wa bil 5.4 ambazo zilipatikana kwa biashara haramu ya upatu.
Mimi kama mkazi wa mkoa wa Geita, eneo la...
Nahitaji kuanzisha biashara ya wine inayotengenezwa kwa kutumia asali.Naombeni ushauri maoni au taarifa yoyote inayoweza kunisaidia katika hii biashara ninayotarajia kuanza
Naomba mwenye uelewa mzuri wa hii biashara atupatie somo vizuri
1.Mtaji
2.Maeneo ya kupata hivi viumbe
3.Vibari
4. soko
5.namna ya usafirishaji na gharama zake
6.Namna ya kupata connection za hawa wateja
7.mfumo wa malipo na mengineyo mengi...
''Kila mtu anazungumzia na wengine humuuliza kuuliza jinsi waarabu watakavyofanya biashara na Waisrael au jinsi gani watafanyaje? Yeye amesema hapana sina mpango wa kufanya Biashara na Israel, tunaweza kwanza kukutana, kama wototo wetu wanaweza kukutana na watoto wenu! tunaweza kufahamiana...
Tunalazimika kueleza jinsi TRA wanavyofunga biashara za wafanyabiashara.
TRA wamepangiwa malengo ya ukusanyaji fedha, kinyume cha hivyo mtu anafukuzwa kazi na ajira inakoma.
TRA kama ilivyo ada kwao, hawafuati weledi wa kibiashara au kuona jinsi ya kupata mapato endelevu, wao ni kutimiza amri...
Tangu awamu ya 5 ya Rais wetu JPM iingie madarakani imekuwa ikitoa kipaumbele kwa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga. Pamoja na malengo mazuri ya serikali kuwasaidia wamachinga lakini pia wafanyabiashara wenye maduka nao wanatakiwa kuwekewa mazingira mazuri ya kufanya biashara...
Kwanini Unahitaji Mitandao ya Kijamii katika biashara yako?
Mitandao ya Kijamii imekuwa kiungo muhimu katika miaka ya hivi karibuni tofauti na ilivyokuwa siku za nyuma, hasa katika ulimwengu wa biashara ya mtandaoni ambao umewawezesha wafanyabiashara kuwafikia mamilioni ya wateja kwa urahisi...
Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe.
Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana".
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Waziri wa viwanda na biashara Mhe. Mwambe ametembelea maonesho ya bidhaa za wajasiriamali katika viwanja vya saba saba jijini Dar es Salaam.
Mwambe amekagua bidhaa za wajasiriamali hao na kuwataka waendelee kujikita kwenye ubora na viwango ili waweze kupata masoko ya uhakika.
Maonesho hayo...
Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani.
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo?
Yaani namaanisha sehemu yenye idadi kubwa ya watu na bei ya frem iwe chini sana angalau isizidi elfu 50 kwa mwezi, msaada mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.