biashara

  1. Kama unajiuliza ufanye biashara gani ukimaliza chuo au mtaani, siri ni hii: "Biashara zote ni extension ya kazi za nyumbani!"

    Wakuu habari za mida hii, Kuna mdau yuko mwaka wa mwisho chuo kikuu aliuliza afanye kazi au biashara gani. Swali lake limekuwa chachu ya kushusha huu uzi hapa ili umfungue macho yeye na wengine wengi wanaotafuta pa kuanzia. Ukweli ni kwamba, biashara nzuri ni ile unayoichagua wewe mwenyewe...
  2. Jenga Biashara Imara na Salama Kisheria | Build a Confident, Compliant Business 💼⚖️

    Usihangaike na kodi za TRA, leseni n.k. — ipe kazi Sanga Miliki Limited! Anzisha, panga, na endesha biashara yako kwa uhakika kupitia huduma zetu za usajili wa biashara, muundo wa kampuni, mwongozo wa kodi, na mikataba ya kisheria. Start, structure, and run your business with confidence! 📞 Simu...
  3. A

    Haki ya kutenda biashara haipaswi kuwa na vipimo viwili: Kwa nini wadogo wanabomolewa na wakubwa wanaachwa?

    Kuna jambo linalohitaji maelezo ya kina kutoka kwa mamlaka za serikali kuhusu utekelezaji wa zoezi la kubomoa biashara zilizopo kwenye hifadhi ya barabara ya Morogoro Road, jijini Dar es Salaam. Katika kipindi cha utawala wa Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli, serikali ilifanya operesheni ya...
  4. O

    Biashara Eastleigh Zaporwa, Madereva na Abiria Wakiibiwa Baada ya Mkutano wa Kisiasa wa Gachagua

    Biashara kadhaa katika eneo la Eastleigh, Nairobi, zilivamiwa na kuporwa huku baadhi ya madereva na abiria wakiripotiwa kuibiwa kufuatia mkutano wa kisiasa wa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Tukio hilo lilizua wasiwasi miongoni mwa wafanyabiashara na wananchi waliokuwa wakipita katika...
  5. H

    Tanzania na Sweden zajipanga kuongeza biashara na uwekezaji

    TANZANIA NA SWEDEN ZAJIPANGA KUONGEZA BIASHARA NA UWEKEZAJI Kupitia Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na Sweden lililofanyika jijini Stockholm, Sweden, Tanzania na Sweden zimeazimia kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, kuvutia mitaji na kupanua wigo wa biashara na uwekezaji. Akifungua Jukwaa...
  6. D

    PICHA: Salome Makamba mgeni rasmi maadhimisho ya miaka 72 ya Uhuru wa Algeria, Dar es Salaam

    TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO: MASOKO YA BIDHAA, NISHATI NA FURSA MPYA ZA KIUCHUMI Tanzania na Algeria zinaendelea kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara, hatua inayotarajiwa kuongeza fursa za biashara, uwekezaji, teknolojia na ajira kwa wananchi wa mataifa...
  7. Unamiliki biashara au una mradi? tukuze mauzo yako, tulete wateja wapya na kubadilisha mawazo yako kuwa mafanikio

    Katika mazingira ya ushindani wa kibiashara, mafanikio ya biashara hayategemei ubora wa bidhaa au huduma pekee, bali pia ubora wa mikakati inayotumika kuitangaza, kuiuza na kuiendeleza. Ninatoa huduma za kitaalamu katika maeneo ya Business Development, Project Planning, Strategic Marketing...
  8. Kabla hujaanza biashara kwa kushawishiwa na watu wa mtandaoni tambua hili

    Kabla hujaingia kwenye biashara kwa kushawishiwa au kupenda jinsi wafanyabiasha mtandaoni wanavyoishi maisha mazuri tambua hili 👇 WENGI WAO HAWAISHI KWA BIASHARA UNAYOIONA KWA MACHO, BIASHARA UNAYOIONA INAKUA KAMA OMO ILI MAMBO MENGINE YAENDE
  9. Fursa ya biashara Tanzania: Kuanzisha mfumo wa self-storage – maghala madogo ya kukodisha kwa ajili ya kuhifadhi Mali

    Self-Storage Business ni mfumo wa biashara ambapo mtu, familia au kampuni inakodisha chumba, kontena au eneo maalumu kwa ajili ya kuhifadhi mali zake kwa kulipa kodi ya kila mwezi. Mfumo huu unaweza kuwa fursa nzuri ya biashara nchini Tanzania, hasa katika miji inayokua kwa kasi kama Dar es...
  10. Thamani ya kipande katika mifuko ya uwekezaji wa pamoja, mwekezaji anapaswa kuelewa nini?

    1. Utangulizi Mifuko ya uwekezaji wa pamoja (Collective Investment Schemes) imekuwa mojawapo ya njia zinazomwezesha mtu kushiriki katika uwekezaji bila kuhitaji kusimamia moja kwa moja kila mali inayounda uwekezaji wake. Katika mfumo huu, fedha hukusanywa kutoka kwa wawekezaji mbalimbali na...
  11. L

    Safari ya Kiya ya kuanzisha kampuni yake ya biashara ya bidhaa za kilimo inayoanzia China

    Akiwa mbele ya darasa na wanafunzi wenzake, Kiya Esatu kutoka Ethiopia, anaangalia kwenye laptop yake kwa makini, mara akageukia ubaoni na kuanza kuwasilisha mada yake inayohusu matokeo ya majaribio yake aliyofanya shambani. Kabla ya hapo mimi na Kiya tulikuwa katika shamba alilokuwa akifanya...
  12. K

    Biashara gani nzuri ya kuanzia kama kijana unayejitafuta

    Nina 1Milioni but nashindwa nifanye biashara GANI naomba usaidizi wenu ili nipate mwangaza kidogo wa mahali pa kuanzia. Nipo zangu Arusha
  13. M

    Nini kipo Nyuma ya Pazia Kati ya Tanzania na Afghanistan? Ni MADINI tu? Tutarajie nini Kidiplomasia na Kiuchumi?

    Hatua ya Tanzania kufanya mazungumzo ya kibiashara na uwekezaji katika sekta ya madini na uongozi wa Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imeibua mjadala mpana wa kidiplomasia, ikionyesha mwelekeo mpya wa serikali kutafuta masoko nje ya mifumo ya kawaida, lakini pia ikiweka nchi kwenye mizani...
  14. A

    KERO Magari ya mzigo yanatuharibia biashara Soko Kuu la Manispaa ya Sumbawanga, yafanye kazi usiku

    Wafanyabiashara tunaolizunguka Soko Kuu la Manispaa ya Sumbawanga, kero kubwa ni haya magari makubwa ya mizigo yanayo paki mbele ya nyumba vyetu vya biashara muda wa kazi hasa asubuhi na mchana hali inayosababisha biashara zetu kuzorota. Maana umekuwa ndiyo utaratibu wa wafanyabiashara wakubwa...
  15. D

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia kwa jumla

    Salaam wakuu, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kununua na kusambaza mafuta ya kupikia kwa jumla katika maeneo ya Tunduma na Sumbawanga. Nina nia ya kuwekeza kwenye biashara hii, lakini sina uzoefu wa kutosha. Naomba kupata mwongozo kutoka kwa watu wenye uzoefu ili nijue namna sahihi ya...
  16. G

    Wahi hii ofisi inauzwa uanze biashara

    OFISI INAUZWA Nauza ofisi yangu ya Juisi na Bites ipo Dar kijichi. Kodi ya frem bado haijaisha. Bei ni 1.8M Ofisi Ina vitu vifwatavyo: 1. Freezer 200L 2. Blender na jagi 3. Mashine ya popcorn 4. Counter ndogo na shelf ndogo mbili 5. Viti viwili virefu 6. Benchi za mito nne 7. Meza ndogo nne 8...
  17. Utapeli ni mwingi nchi hii....mko wapi, mnaendeleaje na biashara zenu?

    Kuna wale walihamasika kufuga kware miaka ile, mko wapi? Biashara inaendeleaje sasa? Wapi wale wa vanila? Wapi wale wa mr. Kuku? Wapi na wale wengine mliokuwa fursa za wengine labda mmefanikiwa pengine?
  18. C

    Nataka kuanzisha biashara ya chips

    Je vifaa vyake vina gharimu shngapi kimoja baada ya kingine Je siku ya kwanza nikaange kiasi gani Nataka niwe nakaanga mwenyewe mwanzoni lakini uzoefu ni 0 je nitaanzaje kwa namna hii ?
  19. Nataka nianze Biashara ya Bolt XL

    Habarini wandugu, sijawahi fanya biashara hii kabla, ila kutokana na changamoto za kimaisha nimeonelea ninunue Noah kwa ajili ya biashara ya Bolt. Naomba maoni yako juu ya biashara hii.
  20. Jina la biashara (business name): Mambo muhimu unayopaswa kujua kabla ya kusajili biashara yako Tanzania

    Katika ulimwengu wa biashara, jina si maneno tu unayoandika kwenye bango au kutumia kutangaza bidhaa zako. Jina la biashara ni sehemu muhimu ya utambulisho wa biashara yako. Linakusaidia kujitofautisha na wafanyabiashara wengine, kujenga uaminifu kwa wateja na kutambulika sokoni. Hata hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…