basi

  1. Pdidy

    Dar Lux Arusha ni kweli basi zilizopo mpaka Jumatatu ni za 40,000? Hamko serious na kazi

    Jana saa mbili usiku nilifika ofisi za Dar Lux kujua tiketi za kupeleka watu Dar leo na kesho. Mdada mmoja bila aibu akasisitiza basi zilizopo ni za 40,000 eti luxury tu.. Aisee nikachoka kabisa nikiwaza yale mabehewa yetu shida tu yako mbali from Arusha Mamanager husika tuambieni ni kweli...
  2. N

    Video hii ya Chidi imenichekesha, jamaa ana akili sana basi tu

    Huyu jamaa unga umemfanya akaonekana mwehu ila kichwani ana kitu unique, chi chi chi chi chidi beeenz.
  3. Erythrocyte

    Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

    RC wa Manyara, Alexander Mnyeti amefuta kikundi cha watu wa Kilimanjaro waishio Manyara. Wiki chache zilizopita alikifuta kikundi cha watu wa mkoa wa Mara waishio Manyara. Amesema ataendelea kuvifuta vikundi/vyama vyote vya watu kutoka mikoa mingine waishio Manyara kwa sababu havina faida kwa...
  4. GENTAMYCINE

    Kama hiki kinachozungumzwa chini chini juu ya CHADEMA ni kweli, basi tuendako wenye sifa walizonazo vibaka watagombea Uenyekiti

    Inasemekana (japo bado naendelea kulithibitisha hili) kwamba mmoja wa viongozi ‘waandamizi‘ kabisa ndani ya CHADEMA alisikika akimwambia mtu kuwa ili uwe Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA na uaminike basi ni lazima uwe angalau katika maisha yako ya ‘kutukuka‘ kabisa ndani ya CHADEMA uwe umekumbana na...
  5. Bess

    Kauli ya kuonja sumu kwa ulimi ni zaidi ya udikteta

    Ninashangaa chama kinachojiita cha ki-demokrasia, kiongozi wao mkuu anatishia wenzake kwamba wasionje sumu kwa ulimi linapokuja suala la kugusa maslahi yake ndani ya chama. Ghafla maswali machache yanaibuka: Hicho kikao kilikuwa cha maadui ama ndugu zake katika chama? Kama ni wanachama...
  6. GENTAMYCINE

    TFF mkiwa ' Watiifu ' hivi kwangu kwa kufuata kile ambacho huwa nawaambia basi mtakuwa Marafiki zangu na nitawapa Ushirikiano

    Ni mwishoni mwa Wiki iliyopita tu GENTAMYCINE nilianzisha Uzi hapa wa ' Kukasirishwa ' na Kitendo cha Kocha wa Taifa Stars pamoja na TFF yake Kutomjumuisha Kikosini Kipa ' mahiri ' na Tanzania One Kwangu kwa sasa Golikipa wa Simba SC Aishi Salum Manula kwa sababu zao za ' Chuki ' Kwake na...
  7. S

    Unayehusika na sisi hebu tukumbuke basi

    Kwanza embu chukua gari yako halafu iendeshe tu kipande kile kifupi kuanzia pale Mabibo Mwisho endesha mpaka hapa tu kwenye kituo cha mwendo kasi big brother halafu turn tena to Mabibo Mwisho halafu paki gari yako pembeni uanze kufikiria kama kipande kile cha barabara akichafui kazi yako nzuri...
  8. J

    Endapo Mbowe atachaguliwa tena basi atakuwa ni kiongozi wa pili kwa kupendwa barani Afrika akitanguliwa na Robert Mugabe wa Zimbabwe

    Mwanasiasa mkongwe mzee Mgaya ananihabarisha kuwa endapo Freeman Mbowe atachaguliwa tena kuiongoza Chadema basi atakuwa ni kiongozi wa pili Afrika anayependwa " sana" ndani ya chama chake. Kiongozi anayemzidi Mbowe ni Robert Mugabe rip wa Zimbabwe lakini Mbowe kutokana na umri wake ana fursa ya...
  9. N

    Aibu: Kama data hizi za BOT ni za kweli basi Rais Magufuli na serikali yake hawana faida kwetu

    Leo kawaka kwa hasira huku akitupa vijembe vyake na kuonekana kama mtu anayejali soko la wakulima lijiendeshe lenyewe weka demands and supply contrary kwa yale aliyoyafanya kwenye korosho, mbaazi, zabibu na anayoendelea kuyafanya kwenye pamba na kahawa Kumbe report ya BOT Inamuumbua, mahindi...
  10. chinchilla coat

    Nimeijaribu hii series kumbe ni ya kipuuzi hivi, watu wameipendea nini?

    Nimeona kwenye matangazo mengi hii serires ikipewa promo kubwa sana, hadi watu wengi wanaweka zile mask za wale robbers kwenye dp zao. Nikaona niitafute bana. Dah Money Heist ni series ya hovyo, haipo level moja kabisa ya kuitwa series kali na inaboa kuitazama. Nimejaribu kuitazama kwa...
  11. Return Of Undertaker

    Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    "Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za...
  12. Terrible Teen

    Endapo Mashtaka ya Erick Kabendera ni ya Kutengeneza basi gharika inakuja

    Ndugu wana JF. Mwandishi wa habari ndugu Erick Kabendera leo Novemba 07 alifikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kesi yake kutajwa. Kama ilivyo ada kwa mfumo wetu mbovu wa utoaji haki ni kwamba kesi imehairishwa sababu upelelezi haujakamilika na pia Hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo...
  13. T

    Ikiwa wafadhili watagundua CAG alionewa, basi tusali

    Naipenda Serikali na Rais wangu ila napenda zaidi Serikali yangu kufuata Katiba ili kuepuka mambo ya Zimbabwe nchi iliokuwa na uchumi mzuri leo uchumi umeparaganyika. Budget yetu ni tegemezi tutake ama tusitake. Ila sasa kwa mchezo unaendelea nchi wafadhili wakipunguza misaada ina maana...
  14. Donnie Charlie

    Basi la kampuni ya Majinjah ambalo lilikuwa safarini kutoka Kyela kuelekea DSM, limepataa ajali maeneo ya Kitonga leo

    Basi la kampuni ya Majinjah ambalo lilikuwa safarini kutoka Kyela kuelekea DSM, limepataa ajali maeneo ya Kitonga leo, Mashuhuda wanadai chanzo cha ajali ni kufeli kwa breki za basi hilo, RPC Iringa amesema tayari RTO ameelekea eneo la tukio na baadae watatoa taarifa kwa undani. Updates...
  15. Mung Chris

    Pokea simu basi

  16. Influenza

    Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni Wanaoapishwa ni pamoja na; 1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  17. M

    Kama Tanzania ina sheria basi Mume wa Zamaradi atafungwa miaka mitatu, ila pesa na kujuana ni zaidi ya sheria

    Ndio, kila mtanzania anajua mume wa zamaradi anapaswa kwenda jela, na pia kila mtu anajua kuwa hatoenda jela na ataachiwa, na kila mtanzania anajua ni kwanini hatoenda jela, hii ndio tanzania mtu anabaka ushaidi upo ila hafungwi, huku uingereza ninapoishi sasa huwezi kukuta mambo hizo. Asante...
  18. Erythrocyte

    CHADEMA kataeni kuonewa tena , unyonge wenu sasa basi , wala Msiogope maana Shetani hajawahi kumshinda Mungu

    Unyama mliofanyiwa dunia nzima imeona na wala hakutakuwa na mshangao wowote iwapo mtakataa kuonewa tena , mmeuawa waziwazi , mmeteswa waziwazi , mmekamatwa hovyo hovyo , mmekatwa mapanga kwa namna walivyotaka , mmebambikwa kesi nyingi za kutunga , mmefungwa bila huruma , mmenyanyaswa kwa kiwango...
  19. J

    Kama tuliwahamasisha wananchi kujiandikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa basi na fomu za kugombea tuwape kwa moyo mweupe

    Niwe mkweli wanabodi, binafsi napendelea kuona vyama vyote vinasimamisha wagombea kila mtaa ili chama changu CCM kipate fursa sahihi ya kupima jinsi kinavyokubalika. Serikali imetumia nguvu kubwa kuhamasisha wananchi kujiandikisha kupiga na " kupigiwa" kura hizi haki mbili zinakwenda sawia...
  20. Influenza

    Waziri Lugola amkamata dereva wa basi aliyetaka kusababisha ajali, apelekwa Polisi abiria warudishiwa nauli

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameyakamata magari mawili yaliyotaka kusababisha ajali kwa kufukuzana na kulazimisha kuovateki bila ya kuwa na tahadhari katika barabara kuu ya Mwanza Mara. Magari hayo ni basi lililokuwa na abiri liitwalo Manoni Safaris lenye namba za usajili...
Back
Top Bottom