Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28.
Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
“Mnasema mnataka kujenga Ofisi ya TAKUKURU Chato nawashangaa, TAKUKURU Chato wana Ofisi ya Wilaya tuliwapa Jengo tena la ghorofa lipo juu milimani kwenye shamba la Marehemu Baba yangu ambalo alinyang’anywa, msizungumze mambo kwa kunifurahisha mimi na kujipendekeza this is not the way”-JPM wakati...
Habari wadau wa rika zote. Asante jamani kwakuwa sehemu kuntu ya kuja kupiga soga kujifunza, kuelimika na kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wadau na wataalamu mbalimbali katika fani tofautitofauti.
Hivi unajuwa kuwa kuna wale mabinti wanaozalia nyumbani? Ndio yaani wanaozaa bila ndoa...
Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua...
Kwa mujibu wa ITV basi hilo lililotokea Dar es Salaam kwenda Kyela limepata ajali kwenye njiapanda ya Lutengano maeneo ya Ushirika wilaya ya Rungwe , usiku wa kuamkia leo , ambapo taarifa za awali zinaonyesha kwamba kuna Majeruhi 28 na vifo viwili
Mungu ibariki Kyela
Habari wana JF,
Naomba kujua nauli ya basi kutoka Mbeya hadi Kigoma ni shilingi ngapi? Pia, naomba kujua kama kuna basi la moja kwa moja Mbeya to Kigoma?
Nawasilisha.
Ukizaliwa binadamu, ujue mateso, umaskini, njaa, kuumizwa kihisia, magonjwa ndo yanakusubiri.
Ukiwa tajiri kuanzia kuzaliwa hadi kufa kwako basi kama una dhambi, jehanamu ya moto inakusubiri ili uchomeke milele.
Haya mateso tunayopitia hapa duniani naona kama hayana ulazima, kwa sababu kama...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr Mwinyi amesema wajumbe wa Zanzibar waliowapigia kura walikuwa 68 na siyo 35 kama inavyovumishwa.
Mwinyi amesema hata kama ni kweli wenzake hawakupigiwa kura na wajumbe wa bara kitu ambacho hakiamini, bado yeye naye atakuwa amepata kura 33 kutoka...
INACHEKESHA kidogo. Sahau kuhusu matokeo ya jana Uwanja wa Taifa. Kabla ya mechi wakubwa walitangaza mashabiki 30,000 tu wangeruhusiwa kulitazama pambano la jana wakiwa uwanjani. Ni katika uwanja unaochukua mashabiki 60,000.
Kisa? Hofu ya kusambaa kwa virusi vya corona. Vinatajwa virusi hivi...
Wakuu habari za humu!
Wasanii sasa hasa wa Muziki imekuwa sasa sifa ata kama ndo hivyo lakini mfanye kwa kipimo.
Nyimbo za kukisifu chama cha CCM zimekuwa nyingi Mno hizo zote kitu gani? Mnatafuta au mmeambiwa mnalipwa, mbona sioni msanii yoyote akiwa amewatungia nyimbo Upande wa pili CHADEMA...
Habari Wakuu mko poa,
Ipo hivi kulikuwa na misemo tofauti tofauti ambayo kama inafurahisha hivi unasema kitu harafu mbele unaweka kama mstari wa biblia flani hivi,
Mfano! " Ndipo Mkuu wa Nchi ile aliposimama na kusema je nikitoka nani! Atayaendeleza mambo haya" Watanganyika 12:14
Unaona...
Nimeliwaza wazo hili kwa kina na kuona kuwa ikiwa ndege vita marubani hupona itokeapo ajali kwa kufyatuka na kiti basi ni possible ndege za abiria kuwa na mfumo huo ila wazingatie mwavuli uwe na uwezo wa kuelea katika maji.na pia wapitishe watumishi wa ndege codes maalumu kabla ya kufyatua ikiwa...
Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!
Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana...
Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais...
Akina Mzukulu tupo pale mlipo na tutaendelea kuwepo hadi Jumapili ijayo huko Dodoma ila nimesikitishwa mno na Mapendekezo yenu ya Kiuwoga kuwa Mmekubaliana na uliokuwa pia Mtazamo wangu kuwa Profesa Makame Mbarawa awe Isles next CCM Flag bearer kwa mwaka 2020 lakini eti kwa Kumpoza Mzee Mwinyi...
" Mfano nimekuta mume wangu anacheat na mwanamke mwingine ninayemfahamu, siwezi kumfuata yule mwanamke nikamtukana, nitaanza na mume wangu na kumuuliza kwa sauti ya upole " - Riziki.
globalpublishers
Tatizo ni kwamba Wanawake wenye Utu, Hekima, Upendo na Busara kama ya huyu Dada Mungu Baba...
Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Dkt. Ayoub Rioba amesema chombo hicho cha habari hakibagui chama chochote cha siasa katika kurusha matangazo.
Dkt. Rioba amesema kuwa chombo hicho cha umma hakibagui chama bali wanatimiza wajibu wa kuwahabarisha wananchi kama inavyopaswa na sio kukaa kwenye mrengo...
Siku nilivyosikia ndugu yetu anaenda Aston Villa FC nikajua ana wakati mgumu sana kwasababu kubwa mbili:
1. Muda ulikuwa umesonga sana, angeenda mwanzo wa msimu angeweza kuonesha makali yake hata timu ingeshuka yeye kama mchezaji huenda angeonekana na kusajiliwa na timu nyingine za ligi kuu...
MH MAGUFULI AENDE PEKEE YAKE, AMEJIONGEZEA SIFA NYINGINE YA KUIONGOZA NCHI KUFIKIA UCHUMI WA KATI.
Na Elius Ndabila (Lali Ibaba).
0768239284
Jana nikiwa jijini kwetu, nilisoma twitter ya Mh Rais akitupongeza na kutushukuru Watanzania kwa nchi yetu kutangazwa kuwa kwenye orodha ya nchi zenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.