Hizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA...
SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO 3,4,5,6 bila huruma kabisa.
The midnight of June 19, 2025, TikTokers are on the edge of a digital guillotine in the U.S., facing a ban unless President Donald Trump waves his executive wand yet again. The app, a virtual playground for more than 170 million Americans, is caught in a geopolitical tug-of-war, with its Chinese...
Niliona orodha ya nchi zilizopigwa marufuku kuisogelea USA viza. Aidha Trump anaamini nchi ambazo zinania ya kuitishia usalama wa marekani hawezi iruhusu watu wake waingie marekani.
NB. Marekani Ina wabongo wengi wanaojionesha mitandaoni. Nawashauri waendelee kuiomnea nchi maana ikinuka hata...
Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe.
Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
Habari wadau .
Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa
Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili mechi ipelekwe zanzibar kumfurahisha mama .
Kwa kilichotokea nasema hivi simba nendeni mkakamilishe...
Ndugu zangu, wanajukwaa letu pendwa. Salaam!
Kila mara tunashuhudia humu mijadala mikali inayopelekea watu kurushiana maneno ya kejeli, dharau na wakati mwingine matusi. Mwisho wa yote, wanaojihusisha na lugha chafu wanajikuta wamepigwa ban – wengine kwa muda, wengine moja kwa moja, halafu...
Habari wadau.
Poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Moja kwa moja kwenye mada mimi shuka chini niliomba kupigwa ban endapo Simba atafuzu kwenda Nusu Fainali.
Dah! MUNGU saidia akafuzu.
Sasa Mods wakawa wamesahau kunilamba ban sijui mbeya gani akafukunyua uzi wangu hatimae nikapigwa ban...
Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stellenbosch.
Mods naomba nieleweke...
Match imeisha tayari. Miundombinu imeshafanyika na kukaa sawa. Kazi imeisha.
Azam watake watafungwa, wasitake watafungwa. Sioni kama Azam wana pa kutokea. Hawana piga ua points 3 tunachukua. Wazee wanasema Azam akibana sana bao 2 ndo za chini kabisa.
Yanga ikipoteza points nipigwe ban. Sioni...
Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku...
Ndio hivyo wakuu nimesema kwamba hio tarehe tajwa hapo juu ikitokea Simba Sc akamfunga Al Masry goli hata 1 tu ndio namaanisha goli hata 1 tu yaan hata mechi ikiisha 1-1 Mods nipigwe ban ya muda mrefu usuopungua siku 3.
Kifupi tu tarehe tajwa hapo juu Simba Sc hatofunga hata goli 1 namaanisha...
Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana.
Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo.
Team ya kufika mbali ilikuwa...
JF raha yake ni mara umepigwa ban, mara umepiga mtu za chembe, mara amekushtaki mara unaitwa ujieleze, mara mtu kakushtaki unaingia unakuta umepigwa ban unacheka unasema hapa sawa.
Ama sivyo moderators wanakuwa bored sana. Wanakuwa kama hawana kazi vile maana sasa watafanya nini? Hamna cha...
Unajua watu wanaongea tuuu. Unajaribu kuwaelewesha, unajaribu kuwaonyesha njia lakini waaapiii. Wamekaza mafuvu hawataki kabisa kusikia!
Sifa mojawapo ya wanaume ni kwamba tunasimamia kile tunachoamini na hiki ndio ninachoamini:
Kwanza, Yanga hawana pesa za kwenda CAS.
Pili, Yanga hawana...
Wakuu,
Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣
Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh:
Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela.
Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC.
Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.