baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    Kwa nini utahisi ngozi ya tumboni na Kifuani kuwasha unapoanza Kukimbia baada ya Kukaa muda mrefu bila Matizi?

    Ukikaa muda bila kufanya mazoezi halafu siku ukirudi kukimbia ukaanza kuhisi kuwasha tumboni au kifuani mara nyingi ni mwili wako una-react na kitu kinaitwa histamine. Hii ni chemical ambayo mwili huwa nayo naturally na huwa inahusika kwenye allergy au kuwashwa kwa ngozi. Unapoanza kukimbia...
  2. Forrest Gump

    Baada ya pesa/mali, ni kivutio au kigezo kipi kinachofuatia pale mwanamke anapomuangalia mwanaume?

  3. Zack Abdul

    Uharibifu wa Kiuchumi Baada ya Uchaguzi 2025 Wafichuliwa

    Tume ya Uchunguzi ilibaini kuwa ghasia zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zilisababisha hasara kubwa ya kiuchumi. Uharibifu wa mali, biashara na miundombinu ulisababisha kupungua kwa shughuli za kiuchumi na kuchelewesha maendeleo ya taifa kwa miaka kadhaa. Ripoti...
  4. MamaSamia2025

    Bunge lifanye jambo pale kwenye katiba ili Mama atuongoze angalau kwa miaka mingine 7 baada ya 2030, ndo hitaji la wananchi wengi kwa sasa

    Kwa sheria ya mabadiliko ya katiba, bunge lina nafasi kubwa ya kurekebisha katiba. Wananchi tulio wengi tumeona MAMA ANATOSHA AONGEZEWE MUDA. Bunge lifanya kitu kabla ya 2030 ili mama aendelee kuongoza kwa miaka mingine 7. Wazalendo tunataka mama amalize kabisa malengo yake mema kwa nchi hii...
  5. M

    Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  6. ChoiceVariable

    Tanzania Yafuzu Kombe La Dunia la Wanawake U-20 Baada ya Kuwatandika Cameroon 2-0

    Congrats nyingi sana Kwa Timu ya Tanzania. Hongera Rais Samia na Mwinyi Kwa kuwanunulia mashabiki tiketi za Bure waje kushangilia timu yetu na hawajatuangisha. https://www.instagram.com/p/DYKofFiDbNy/?igsh=MTU3dHI1NGR2em04Ng== https://www.instagram.com/p/DYKismUjUz1/?igsh=MTcybGsycHV4NGxlcw==
  7. ChoiceVariable

    Baada ya Ruto Kutakiwa Kutoa Maelezo Kwa nini Atangaze Mradi wa kiwanda bila Kushirikisha Tanzania,Amwambia Dangote Ahamishie Kiwanda Mombasa.

    My Take Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania. Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
  8. mirindimo

    CCM yaua stand ya mabasi ya Magufuli baada ya Magufuli kufa

    Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia. Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii...
  9. loose Nut

    Asee hii hantavirus baada ya wiki itapita na wengi

    Huu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi. Abiria wa KLM inasemekana wengi wanayo na KLM kila siku inatua Kilimanjaro na Dar. Asee tumekwisha. Niko zangu hapa Ghetto natetemeka balaa isingekuwa msaada wa sigara na ba sijui ingekuwaje yani napanic balaa...
  10. O

    “Cruise Ship Virus Yafika Radar ya Kenya?” Serikali Yatoa Tahadhari ya Hantavirus Baada ya Vifo 3

    Wakenya wameombwa kuwa alert baada ya World Health Organization na Ministry of Health Kenya kutoa advisory kuhusu mlipuko wa Hantavirus ulioripotiwa kwenye cruise ship iliyokuwa na abiria kutoka mataifa 23 tofauti. Kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya tarehe 8 May 2026, hadi sasa kuna cases 8 —...
  11. Nelson Kileo

    Baada ya Marufuku ya Siasa, CHADEMA yarudi Kwa Kishindo Arusha

    Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco Nyomi ya watu ilikuwa si ya kawaida, hali ya hewa na mazingira vilikuwa vizuri sana, na mwitikio wa wananchi umeonyesha wazi kuwa...
  12. R

    Ivory Coast Yaivunja Tume ya Uchaguzi Baada ya Shinikizo la Wapinzani

    Serikali ya Ivory Coast imevunja Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) baada ya malalamiko ya muda mrefu na kutoka kwa wapinzani kuhusu jinsi chombo hicho kinavyoendesha chaguzi nchini humo. Hayo yamesemwa na msemaji wa serikali, Amadou Coulibaly, siku ya Jumatano. Coulibaly aliuambia mkutano na...
  13. Tlaatlaah

    Kwanini kumvua nguo za ndani huwa ni rahisi na fasta sana, lakini tendo la kumvalisha husahaulika kabisa baada ya mgegedo?

    nini siri ya hali hiyo ya kipekee muwapo faragha na mwenzi wako hasa wa mara ya kwanza? Eti wanaume, kulikoni unaingia faragha na mwenzi wako huku ukimuharakisha achojoe nguo zake na wewe ukikimbilia zaidi kuvua pichu? ni nini huchochea hali hiyo? Na ni kitu gani kinakufanya usimvalishe baada...
  14. X

    Sasa ni zamu ya Dully Sykes baada ya Prof Jay

    Week end hii ilikuwa poa sana moja ya siku ambayo mashabiki wa Hip Hop Tanzania tuliisubiria sana Jongwe na wasanii wengine walikuwepo kwenye usiku wa Prof Jay kutambua mchango wake katika game ya rap nchini. Huu ni ukweli usiopingika Jay alistahili though kwa kuchelewa lakini si haba Tukirudi...
  15. Cute Wife

    Polisi wasema Dammour Nyakairo maarufu Ninja anashikiliwa kwa tuhuma za uhalifu, hii ni baada kelele mtandaoni kuhusu kupotea kwake

    Wakuu, Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu. Baadhi ya ndugu zake tangu alipokamatwa walijulishwa na kwenye mahojiano ya awali ametoa...
  16. ChoiceVariable

    Tanzania yaingia soko la Dunia la Helium baada ya kusaini mkataba na mwekezaji Helium One Global. Serikali itamiliki hisa asilimia 17 tu

    Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu. https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw== My Take Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza...
  17. Mshana Jr

    Nini hatima ya Tanganyika baada ya kuuza na kugawa kila kitu

    Tukichambua hoja hii ya kwamba "kuuza kila kitu ni kuuza urithi," tunaingia kwenye kiini cha mjadala wa uzalendo, uchumi, na mustakabali wa Tanganyika .Hapa ngoja nichambue kwa kina kwanini dhana hii ni nzito na ni muhimu kwa mustakabali, uhai na ustawi wa Tanganyika 1. Kupotea kwa Maamuzi...
  18. M

    Kutoka ushabiki hadi kushare stage na Heavyweight jay wa Mitulinga: Nikki mbishi amwagiwa sifa baada ya kutoa back up ya kibabe show ya Professor Jay

    Jana kulikuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Kaka mkubwa @professorjaytz kwa namna moja ama nyingine watu walifurahi kile alichokifanya jukwaani. Pembeni yake alikuwepo @nikkimbishi999 majina ni mengi kwake, Plata O Plomo, Baba Malcom, Kijusi na mengine mengi. Kwa usiku wa jana binafsi...
  19. 5

    Marekani kujenga upya hifadhi yake ya Silaha Mashariki ya Kati baada vita na Iran

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
  20. ChoiceVariable

    Ona Mabenki ya Tanzania Yalivyopiga Faida Kubwa Baada ya Kuwakamua Wananchi Kwa Riba Kubwa za Mikopo na Makato yasiyoeleweka.

    Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka. https://www.instagram.com/p/DXwCODMjpnq/?igsh=MXFyMnhrZGRwbGx4OQ== My Take Serikali Inafaa kuingilia Kati Ili kuokoa Wananchi kama inajali lakini...
Back
Top Bottom