aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Taja chama cha siasa duniani ambacho hakina aibu na kinafanya siasa za kitoto Karne hii ambayo watu wanaelimu kubwa ya uraia, angalizo usitukane ,

    Wakuu Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida, Taja Tu chama wala usitukane , taja chama na nchi kinayopatikana
  2. Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
  3. Itakuwa ni fedheha kubwa sana kwa chama kuanza upya mchakato wa mgombea ni aibu na ishara ya kushindwa

    Kuna msemo unasema ukiona unapotea njia usiendelee mbele upotee zaidi , ama heri urudi nyuma ukaanze upya ama usimame ungojee huwenda utakutana na mtu akuelekeze njia sahihi. Kilichotokea katika mchakato ule hesabu hazikupigwa vizuri na sasa wamefika njia panda ambapo haijulikani waende kushoto...
  4. P

    GE2025 NI AIBU: Sarakasi zilipitiliza, sasa zinawatokea puani

    Moja kwa moja nijikite kwenye mada: Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi. Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu anayemchagua ameamua kuwavua nguo wote waliozoea kuvunja sheria, katiba, kanuni, miongozo na desturi kwa...
  5. Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3. 1. Jenetiki alizorithi 2. Mazingira aliyokulia 3. Mazingira aliyomo. Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners). Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya. 1. Kuongea na simu sauti ya...
  6. Duh kumbe Wanyonge na Mafuraka wa TASAF ili wapewe chochote kitu, wanalimishwa Mitaro , Kuchonga Barabara , hii ni Aibu!!

    Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu. Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na kusafisha vichochoro Kwa Malipo ya Fedha za TASAF. Imeniuma sana sana sana, Hata MAGUFULI hakufanya...
  7. Ni aibu ya Mwaka Kwa Amos Makalla

    Nyie Mungu ni mwema sana. Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema. Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika. Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana...
  8. Aibu kubwa kwa Mhimili wa Mahakama: Kwa mara ya kwanza Watanzania wafikiria Kuandamana kupinga Mahakama kuingiliwa na Serikali.

    Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali. Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised kiwango cha kutisha na kutoa maamuzi ya hovyo isivyo mfano Watanzania wameanza kufikiria kuandamana...
  9. GE2025 Ni aibu kubwa Kwa CHAUMMA, mkutano wao wa Zanzibar waudhuriwa watu wachache sana

    CHAUMA ebu punguzeni kujitia hasara. Utakodishaje mziki,na jukwaa afu unaishia kuhutubia watu 6. Hawa viumbe walidhani ma press conference ndo yangewafanya wapendwe na watu. Sahivi wanalia kilio Cha kusaga meno. Catherine Ruge Devotha Minja Moza Ally Suzan Kiwanga Tunawasubiri mshinde ubunge...
  10. Mikutano ya vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi ni aibu kwa taifa

    Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa. Hapa Tanzania strong contenders wa CCM ni...
  11. K

    Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

    Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..! Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ... Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...! Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea. Lipo la kujadili hapa...
  12. Ni aibu na fedheha kwa mama Salma Kikwete kuendelea kugombea ubunge.

    Inamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?
  13. W

    Odinga: Yeyote anayeagiza Polisi kuwapiga watu risasi, aibu yako

    Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM),Raila Odinga amelaani kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen baada ya kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwapiga risasi na kuwaua raia watakaosogelea kituo cha polisi katika maandamno yaliyofanyika Kenya Akizungumza na wakazi...
  14. S

    Spika huu utaratibu wa leo mbona wa hovyo? Masaa 2 wabunge wanamsubiri Rais? Hiyo ni aibu!

    Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano aa Tanzania wameingia ukumbini tangia saa 02.30pm mpk sahizi hakuna kinachoendelea, hii ni aibu. Yaani ikulu imekuwa ya hovyo hivi?
  15. Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    Ninaondoka Bungeni Bila Mume Wangu, Bali na Mikopo Mikubwa na Aibu Jana katika Sekretarieti ya NRM, nilifanya mahojiano yenye hisia kali na mbunge wa kike aliyekuwa amechukua fomu za uteuzi. Aliniruhusu kuchapisha taarifa hii bila kutaja jina lake. Yale aliyoshiriki yalikuwa ya kuhuzunisha na...
  16. D

    Kusema Ukweli Tendo la kutoa haja kubwa ni la aibu sana; ila ni kwa vile tu linafanywa na wote basi tunajifarijimo!!!

    Hebu fikiria kama ingekuwa ni Lord Denning peke'ake anayetoa haja kubwa Hali ingekuaje? Asingeweza hata kuanzisha mada kwa jinsi angetaniwa na kuchekwa.
  17. Ifike wakati jeshi la polisi Tanzania lione aibu

    Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
  18. Uzi maalumu wa kuuliza swali lolote kuhusu football ulilokuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza

    Huu uzi ni uzi wa kufunguka kuhusu mambo yanayohusu football ambayo umekuwa unajiuliza mwenyewe kichwani bila kupata majibu na umekuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza wengine ili wasije kukuone mjinga au hauna ufahamu na football. Kwenye uzi huu hakuna mjinga wala mjuaji. Uliza chochote na...
  19. Ni jambo gani la aibu umewahi kulifanya bila watu kukushtukia?

    Kuna siku bana, niko kwenye mwendokasi,nikajamba kile kishuzi cha kimyakimya,aisee kilinuka vibaya gari nzima na kama mjuavyo mwendokasi zinavyojaaga,watu wakapiga kelele sana wengine wakawa wanatukana kuwa nani huyo asiye na adabu kajamba,mimi nikawa nimejikausha nazuga eti na mimi kufunika...
  20. Kama ndo wale ni mawakili wa serikali wanaosimamia kesi shitaka upande wa serikali ni aibu.

    Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo. Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…