Binafsi miongoni mwa vitu ambavyo vimeshatokea na vinanikwaza ni kuona samia ni rais wa nchi.
Kwa wanaompenda ni sawa kwa matakwa yao ila kwangu naona aibu sana kumtambua au kusimamama kidete kusema samia ndiye rais wa nchi yetu.
Siwezi kumsikiliza samia hata sekunde 10 bila kukwazika na...
Naona wanaruka ruka tu na kesi za uhaini, tume za uchunguzi , katiba mpya , tume huru ya uchaguzi na bla blaa nyingi.
Kwa kifupi sana wangejikita kwenye mambo yafuatayo.
1. Waliowajibika na mauaji ya oktoba 29 ambao wote tuliwaona siyo Siri namaanisha vyombo vya ulinzi na usalama wakamatwe na...
Nimeshangaa Heche anasema eti chadema inawanachama wengi kuliko CCM hebu acheni kujidanganya semeni ukweli ili muwe huru, moto wa CCM hamuuwezi, acheni siasa za UTAPELI Yan mtapeli watu donation hadi hotuba za uzushi.
Chadema Kuweni wakweli waambieni watu ukweli, kiuhalisia hakuna mwanachama...
WITO KWA UONGOZI WA SAMSUNG TANZANIA: BORESHENI HUDUMA KWA WATEJA!
Nimekutana mara kadhaa na changamoto kubwa katika maduka rasmi ya Samsung, Dodoma na Dar es Salaam. Unapofika dukani ukiwa na tatizo la simu ya Samsung, ambayo ni bidhaa mnazozalisha na kuuza wenyewe, unatarajia kupata msaada wa...
Kuna clip inatembea mtandaoni mwananchi anamwambia waziri Mkuu" Mh waziri Mkuu Mwambie Rais arudishe nidhamu serikalini " je ni aibu?je waziri Mkuu anaweza kumwambia rais hiyo kauli?
Je rais aliipokea kauli hiyo?
Tanzania.
Walah hiyo taaluma ifutwe tu au la,
Ukitaka kunielewa,please FATILIA kauli za akina Mwabukusi na wanasheria wa serikali dhidi ukumu ya tundu Lissu hoi taaluma ifutwe
Kuna ka clip ka tarehe 6 waandishi kama mia hivi wamemzingira RPC Muliro nje ya Mahakama, wamemrushia vi soft ball ( viji swali mlenda mlenda) viwili kuhusu whether hali mjini ni shwari au sio shwari.
Sasa katika wale woote wale hakuna hata kichwa kimoja kilichoingia ndani ya mahakama chenye...
Chawa ni mtu anayejipendekeza Kwa kiongozi, mwanasiasa mfanyabiashara au kundi fulani Kwa lengo la kunufaika au kupata chochote.
Kwa maana rahisi chawa ni kama mwanamke malaya ambaye yupo tayari kufanya chchote ilimradi apate pesa.
Shida ni pale anayekutumia anapotimiza malengo yake harafu...
Iko hivi,baada ya maporomoko ya Hanang 2023,wadau mbalimbali wakishirikiana na serikali walitoa misaada mbalimbali.Benki ya Dunia kwa maelezo ya baadhi ya viongozi ilitoa takriban sh billion nne kujenga madaraja kwenye mto wa mafuriko na kuupanua mto.Cha ajabu ccm imejenga madaraja manne TU...
Viongozi wa TZ walianzisha mauaji yakiongozwa na serikali. Nimesikia tena wapinzani wa Rwanda wanaendelea kuuwawa kishenzi tu! Mauji imekuwa ni kawaida ya Afrika.
Afrika tuna tunawapigia kelele wanaoshikilia serikali tukiamini wataona aibu. HAPANA! Hawana aibu na hata wakiondoka madarakani bado...
Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi Mhe. John_Pambalu pamoja wenzake waliokuwa kwenye gari ya Chama walikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha.
Baada ya kufika kituoni Jeshi hilo limesema linamhitaji John Pambalu tu
××××××××
Siamini macho yangu, nilivyowazoea wachanga, realy saa hizi?
Nimeingia supermarket ya rafiki nikanunua bidhaa zangu baada ya hapo, nikasema ngojea unywe hata bia moja kuna kiduka cha nguo za mtumba upande uo up, heeeee sijafikia kwenye hiyo bar,
Walah vichaa wamekataa na kuna lako hasa wakike...
Nilipoona tu unalia kwenye vyombo vya habari kuwa ulitongozwa na ukashitaki polisi hapo ndipo nilijua hufai kuwa mwanaume na kiongozi.
Prof Kabudi amekuumbua, kuwa vyombo vya dola sio mali ya CCM ni mali ya wananchi na hii ni kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa na Katiba ya JMT.
Wewe...
Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika.
1. Msiba mkubwa watokea
2. Kimeumana Mabibo
3.Heche amaliza kazi
4. Kimenuka
5...and much more of this type!
Uandishi wa so called waandishi wa habari Kanjanja
Najua anakuwa ana solicit uende kwenye main article, lkn sidhani kama mnafundishwa...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mrufani katika shauri la Kikatiba dhidi ya Serikali, Zitto Zuberi Kabwe, ametoa tamko zito akisikitishwa na hatua ya Mahakama ya Rufani ghafla kusita kumpa nafuu stahiki aliyekuwa CAG, Prof. Mussa Juma Assad, licha ya kuthibitisha rasmi kuwa...
Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla.
Hali haitii moyo kabisa.
Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye.
Kula kwa urefu wa kamba.
Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake...
In fact,
kwa kufanya hivyo uhuru, hadhi na heshima ya mahakama ya Tanzania dhidi ya wakiuka sheria na katiba ya nchi itakua juu, si tu ya wananchi, bali pia hata juu ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambao wao kwa makusudi wamekosa adabu na utii kwa mamlaka na katiba ya nchi.
Sheria na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.