aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    AIBU: Digital Manager wa Yanga adanganya Mayele kuitwa Mfalme wa Dhahabu na Canal Sports

    Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us! Ona huyu afisa wa UTO SC anadanganya mchana kweupe hadhar.ani, shame on you Mangi Shayo
  2. M

    Marekani inajali maslahi yake sana lakini nchi nyingine zikijali maslahi yake inanuna!

    Marekani ilikuwa inakasirika sana kuona nchi za ulaya magharibi zinapata gesi ya rahisi toka urusi, maana ilishindwa kupata soko la gesi yake ya LNG huko ulaya. Ilipiga vita bomba la gesi la pili kujengwa toka Urusi hadi ujerumani lakini likajengwa kwa mbinde!! Lilipojengwa iliishinikiza...
  3. N

    Aibu na comedy za siasa Tanzania: CCM watumia vifaa vya tume ya uchaguzi

    NAAAM ,mambo ni bam bam inafurahisha sana eti kusikia Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofata katiba na kuizingatia kwelikweli, kudadeeeeki ukigeuka huku unakuta video za wana ccm wakihimiza umwagaji damu, ukigeuka huku unakuta TCRA wanakaushia habari ya mwananchi yenye angle ileile...
  4. Matukio gani ya aibu ulishawahi kuyafanya au kukutokea katika maisha yako?

    Katika maisha yetu kuna baadhi ya matukio tulishawahi kufanya au kututokea ambayo huwa ukiwaza unabaki unacheka kulingana na aibu iliyojitokeza. Kwangu mimi haya ni matukio ya aibu kabisa katika maisha yangu. 1. 2015 nikiwa nasoma kidato cha tano kuna dogo wa Olevel nilimtongoza akaingia kingi...
  5. Rais Samia akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022, Qatar leo Oktoba 4, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022 Multaqa Centre - Doha Qatar leo tarehe 04 Oktoba, 2022. Kufahamu ziara nyingine za Rais Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe...
  6. Tanzania, je hatuoni aibu kuendelea kulilinda na kulienzi jina la mwizi wa rasilimali zetu?

    Tarehe 4 Januari 1917, vita ilikuwa imepamba moto. Majeshi wa Uingereza dhidi ya majeshi ya kijerumani katikati ya nchi ya Tanganyika eneo la mto Rufiji. Askari wa kingereza, jina lake Frederick, alikuwa amejificha mahali kukabiliana na askari wa kijerumani. Akachukua "darubini" kutazama ni...
  7. Kwa ubinafsi huu ni aibu na kukosa uzalendo

    Nipo maeneo ya Arusha mjini, ninasikitishwa sana na hali niliyoiona maeneo ya barabara ya Sokoine jirani na hospital ya AICC. Eneo hili ni mahali kilipo chuo cha utalii cha Tropical Institute. Ukataji miti unaofanyika hapo barabarani eneo la nje ya chuo kwa sababu ya kupasafisha ili mgahawa...
  8. Chaguzi za CCM zimegubikwa na rushwa. Ni aibu kwa chama tawala

    Sasa chaguzi zinafutwa hovyo ===== Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefuta chaguzi tano za Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) kutokana na kukiuka Katiba, Kanuni na taratibu za uchaguzi. Hayo yamesemwa leo Jumanne Septemba 27, 2022 na Katibu wa Halimashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi...
  9. N

    AIBU: CEO mpya wa Yanga SC alipata kesi ya wizi Zambia, alifungiwa maisha na Chama cha Soka, hajawahi kuwa CEO Mazembe. TFF kazi mnayo

    Oyaaaa , taratibu jamani embu tuwekane sawa naona vichaa wanasema huyu jamaa ndiye kawapa mafanikio mazembe Idiots, huyu alikuwa afisa wa kawaida tu pale mazembe kama vile kina Asha baraka pale simba, mazembe hawana structure ya CEO, mkubwa kicheo ni President/ chairman Moise katumbi na...
  10. Warusi waanza kuchoma maiti za wanajeshi wao

    Wanataka ionekane kama ambao walikimbia mapigano, sio kwamba waliuawa. Wanatumia magari yenye tanuri ya moto wa kuchoma maiti hadi majivu ======== The Russian Ministry of Defence has been notoriously protective of data on the casualties suffered during Vladimir Putin's "special military...
  11. R

    Kwa AIBU hii ya TRAB na TRAT ya Mwigulu, yafuatayo yanawezekana kutokea

    1. Hii aibu ya Mwigulu na Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) haya natabiri yanaweza kutokea 1. Kuondoa bunge live kuwaepusha na aibu CCM na wateule wa Rais na serikali kwa ujumla maana huyu siye wa mwisho. 2. Mwigulu anaweza kutemwa kama kutakuwa na...
  12. Aibu kubwa sana. Miaka 60 ya uhuru wanafunzi bado wanasoma kwenye madarasa mabovu huko Masasi

    Majengo chakavu ya shule ya Msingi Mkalapa, wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara yaelezwa kuhatarisha maisha ya wanafunzi na walimu. Majengo chakavu ya shule ya Msingi Mkalapa, wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara yaelezwa kuhatarisha maisha ya wanafunzi na walimu. Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 1947 na...
  13. Mdude Chadema: Mijitu inawaza tozo ili ilipwe posho tu

    Dah 👇 Huwa nasisitiza mara zote kuwa tunahitaji #KatibaMpya hata kwa njia za mkato, fikiria hili jitu linafananisha tozo za nchi maskini Tz na Ulaya. Halitaki kufananisha demokrasia Tz na Ulaya lenyewe linawaza tozo tu ili lilipwe posho. Kwanza linapotosha Ulaya ni Kodi tu hakuna tozo...
  14. Wanafunzi wa vyuo wa Urusi kupewa likizo wakapigane Ukraine - aibu hadi lini

    Hii special operation imekua aibu na kero kwa Warusi, dah... kainchi kadogo ka Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi, kila nikiangalia hii ramani nashangaa sana Kainchi ka Ukraine kwenye hii ramani, hata wale wanaoshabikia Urusi kisa mihemko ya kidini ya chuki zao kwa Marekani wanapaswa wapate...
  15. Takukuru na sekretarieti ya ajira chunguzeni haraka kinachotokea DUCE, ni aibu

    Wakuu nimetimba hapa Duce aisee ni aibu. Kuna mazingira yote ya urasimu unaendelea kwenye interview zilizofanyika jana. Tulitegemea matokeo yawekwe kwenye sekretarieti ya ajira lakini haikuwa hivo. Nimefika hapa asubuhi naambiwa eti waliofaulu walipigiwa simu. Mpaka sasa hatujui waliopiga...
  16. Hii aibu mwisho wake lini, wanajeshi wa Urusi watoroka kwa baiskeli

    Walioachwa nyuma wakati wenzao walitoroka kwa magari, wameishia kuiba baskeli na kutoroka nazo ili tu waokoe maisha yao...vijana wa Ukraine wanaendelea kutembeza kichapo.... Russian soldiers abandoned by their units in the eastern Kharkiv region of Ukraine fled in disguises on bicycles...
  17. Warusi waomba majenerali wao wapigwe shaba na kuuawa kwa kusababishia nchi aibu

    Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana na nchi yao...wenyewe wanaita "mother Russia" A Russia state-media host has called for the...
  18. N

    Kigwangalla na chozi la mamba, kama ana uchungu wa kweli vile

    Ukiwakuta hawa wamevaa ma scarfs ya bendera ya taifa na kushikilia ilani ya CCM kwenye makwapa yao unaweza kusema hii nchi imebarikiwa sana. Wengine walikwapua mabilioni ya wizara ya utalii na CAG akathibitisha lakini kimyaaaaa bado wanajifanya wazalendo, wakatumia hadi ndege za Tanapa kula...
  19. SoC02 Aibu zetu, vilio vyetu

    Hapa napenda kuzungumza na kijana wa kitanzania aliyehitimu elimu ya juu na kuingia mtaani kusaka ajira.Kuna dhana moja iliyojengeka miongoni mwa vijana kwamba unapovua kofia yako kusherehekea ushindi ulioupata baada ya safari yako ya elimu basi huna budi kupata ajira rasmi kutoka serikalini au...
  20. CCM msifiche aibu yetu kama taifa

    Mungu nakuomba uniongoze niandike kinachoeleweka Tanzania sasa inapitia wakati mzito na mgumu sana kama Taifa. Wananchi wamepoteza matumaini lakini kinachowazuia kufanya maamuzi ni hofu ya kuuawa kinyama na vyombo vya dola ambavyo vimeshikamana na mirija inayoitafuna nchi yetu. Hali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…