aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu

    Muziki wa Bakhmut bado tena sana tu, kwanza Ukraine waanza kuzingira Mashariki...hehehe huku Putin akiingizwa mkenge na Wagner na kukimbilia kutoa hongera, hii aibu sana kwa supapawa Ukrainian forces have partly encircled the besieged eastern city of Bakhmut along the flanks and still maintain...
  2. Kufungwa kwa biashara Kariakoo, ni aibu kwa Serikali

    Sina kumbukumbu sahihi kuwa ni lini wafanyabiashara wa Kariakoo wamewahi kugoma kwasasabu yoyote. Kariakoo ndiyo Dubai ya nchi yetu, ina wafanyabiashara wa kila aina, wakiwemo wenye mitaji mikubwa, ya kati na midogo. Kikubwa zaidi wanajitambua, naamini hawawezi tu wakakurupuka kugoma bila...
  3. M

    Aibu ya Tanzania. Mkuu wa nchi anazindua minara ya bil 270+ huku wananchi vijijini hawana maji wala huduma za afya za uhakika

    Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika. Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
  4. Walokole wanautia aibu Ukristo

    Ukristò ni dini ya watu wasomi, wagunduzi, wana sayansi, matabibu, wana anga za juu nk. Sasa siku za karibuni limeibuka kundi la watu wasiofikiria, wasio hoji, wenye ufinyu wa fikra, wenye kupelekeshwa kibwege kabisa na wahuni wanaojiita mitume na manabii. Nabii akisema leo kamnyime mumeo...
  5. Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  6. Ni aibu kwa maaskofu uchwara waliochagua kutokemea waouvu kuja kuwaombea msamaha waovu wao

    Nawafokea maaskofu uchwara na viongozi wote wa dini wanafki na wadhalimu kwa jina la mwenye enzi Mungu. Wakati wa utawala dhalimu wa yule dictator uchwara,,lipo juha moja lilikua likitoka kifua mbele na kutukana watu pasi na hofu yoyote. Matendo hayo maovu yalifumbiwa macho na kufurahiwa na...
  7. Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu?

    Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu? Karibuni sana mnielimishe juu ya hili.
  8. Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha, ila wakiwa Wanazinunua Mitumbani hawaoni Aibu?

    Nitashukuru nikielimishwa hili.
  9. Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

    Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam. Jerry Silaa amesema amesema...
  10. K

    Nimebaki na elfu 4 tu kwenye m-pesa naona aibu kwenda kwa wakala kuitoa

    Wakuu, kufulia kusikie tu kwa jirani aisee. Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m-pesa. Sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.
  11. Kikokotoo kwa mstaafu hata serikali inaona AIBU

    Kwako wewe afisa wa NSSF unayekenua kwenye TV, ukijifanya mtaalamu wa HESABU za vikokotoo, swali langu ni 1 tu. Kwanini mmetolea mfano wa afisa wa serikali aliyestaafu wakati akilipwa mshahara wa tsh 2,000,000/=( hapa ndipo AIBU ilipojificha) Kokotoeni mshahara wa walio wengi ili AIBU yenu...
  12. Iwe amri vijana wakitaka kwenda vyuoni wawe na ujuzi wowote wa stadi kazi, wahitimu wanaokosa ajira wasio na ujuzi wanatia aibu kushindwa kujitegemea.

    Haingii akilini hata kidogo mtu apambane zaidi kutafuta njia ya kujitegemea kwa kutegemea elimu ya chuoni impe ajira ambazo hazina uhakika huku hana ujuzi wowote wa kumfanya ajiajiri kwa uhakika hata akikosa ajira. Mwenye ujuzi ni ngumu sana kulala njaa lakini mtu hata uwe na masters yako kama...
  13. Jinsi ya kuachana na aibu ukiwa ua mwanamke

    Njia pekee ya kuacha aibu ni kufanyia mazoezi. Fanya mazoezi ya kuwa jasiri utakavyo. Fanya mazoezi kwa wanawake wengi uwezavyo. Ongea chochote na wanawake wengi uwezavyo. Huna cha kupoteza wakati unafanya mazoezi. Kama utasoma haya na hufanyi mazoezi ni kazi bure. Pia baada ya muda utaachana na...
  14. Serikali kushindwa kulipa malimbikizo ya wafanyakazi ni aibu

    Imekuwa ni porojo tu utumishi huko na hazina. Bora tu kaondoka Jenista maana alikuwa gundu watu hawalipwi madai yao! Hivi Serikali mnawaona wafanyakazi wanyonge au mapoyoyo? Kutwa kujifanya mnaandaa malipo ya malimbikizo na hamlipi? Je, Rais naye anadanganywa kuhusu hili?
  15. Ni aibu majiji yetu kukosa traffic cameras

    Tupo kwenye Karne ya science na technology, Karne ya information age Karne Ambayo vitu vinatakiwa viende Kwa Kasi. Sasa huwa najiuliza hawa watendaji wetu mbona wamelala usingizi mzito. Ni ushamba au kutokutaka kutimiza wajibu wao. Hawa hawa watumishi kwenye majumba Yao kuna Camera kila Kona...
  16. Hali ya mazingira CHADEMA Makao Makuu inatutia aibu wanachama

    Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika! Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani wameweka meza nje afu nyuma ya ukuta umechoka balaa, podium yenyewe imepauka pauka yan leo ndo nimejua...
  17. Kwa hili la Balozi Mulamula, Taifa limekwepa aibu ya kumkosa Membe. Hongera Rais Samia

    Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za Magufuli, Lakini Rais Magufuli akagoma kumuidhinisha Membe akagombee, Diplomatic kadhaa walijaribu...
  18. Kwa hili la balozi Mulamula, Taifa limekwepa aibu ya kumkosa Membe. Hongera Rais Samia

    Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za Magufuli, lakini Rais Magufuli akagoma kumuidhinisha Membe akagombee. Diplomatic kadhaa walijaribu...
  19. Ni aibu, uchanga, na kukosa weledi kwa wapinzani 'kushadadia' na kutumia taarifa ya CAG kuikosoa Serikali

    Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali. Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia...
  20. M

    Hii tabia ya wanaume kukuna mkono wa mwanamke akisalimiana ni aibu tubadilikeni

    Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania. Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja. Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu. Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…