aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Aibu sana kwa taifa langu Olympic 2024. Kenya ilipekeka wanamichezo 72, Uganda 24 sisi walienda 7 na delegation ya watu karibu 20 + waziri

    Kama kuna kitu kinaudhi nchi hii ni namna mambo yanavyofanyka kiajabuajabu ukiachikia mbali yale mataifa yanayotuzidi sana kiuchumi hata hawq jirani zetu unagundua wako serious sana na mambo yao. Wenzetu wamepekeka wanamichezo wengi sana ambao ndo wahusika hasa lakini sisi tunepeleka watu ambao...
  2. W

    Ni aibu kwa Makosa haya kujitokeza katika Michezo ya Olympics

    Julai 26, 2024: Bendera ya Olimpiki ilipandishwa ikiwa imegeuzwa, huku baadhi ya vituo vya televisheni vikionyesha bendera hiyo kwa mbali. Julai 27, 2024: Wanariadha wa Korea Kusini walitambulishwa kama raia wa Korea Kaskazini, na kupelea waandaaji kuomba radhi kwa lugha ya Kikorea kwenye...
  3. Aibu kubwa: Mkuu wa nchi yupo Morogoro yenye shida ya maji kila kona. Lakini hajatamka neno moja juu ya mradi wa Kidunda

    Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita. Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi...
  4. W

    inakuaje Nchi zinaungana kuipiga Israel lakini inashindikana, Yemen, Iran, Lebanon, Syria, Palestina hawaoni aibu?

    Na hapo kumbuka Israel inapigana kwa tahadhari ku target zaidi magaidi ili kupunguza casualities za civilians zisizokwepeka, ni tofauti na nchi hizi zingine ambazo hushambulia zaidi raia wa kawaida wa Israel, lengo lao huwa ni kuua raia wa Israel wengi kadri inavyowezekana. Hii sio mara ya...
  5. Watu wakali, wasio na aibu na ving'ang'anizi mithili ya Haji Manara lazima wafanikiwe

    Hello morning!! Mimi ni miongoni mwa watu wenye tabia za upole na aibu. Upole na aibu havina faida yoyote kwenye maisha ya mtu. Nilikosa kazi mbili ambazo zilikuwa zinanisibiri Mimi. Ila kwa tabia ya upole nikashindwa kuzichukua zile kazi . Watu kama Manara lazima wafanikiwe kwa level zao...
  6. W

    Ngumi za mtaani mmepewa uwanja unaanza vipi kuongea maneno, kijana kaambulia aibu kwa kushushiwa kipigo kikali hadharani, usipende kuongea ikikutokea!

    Nimetoka zangu kazini nikaona niende kununua mahitaji kadhaa sokoni. Ghafla nikaona tunaambiwa na vijana jamani mpishe hii njia kidogo iwe wazi kwa muda, nilidhani labda kuna emergency nikasimama. Ghafla wakaingia vijana wawili kumbe ni ugomvi. Moja wao kavaa vizuri tu sikuweza kumdhania...
  7. Aibu nyingine mbona zinaepukika? Wanawake badilikeni. Huyu mwenzenu kanichekesha sana

    Kuna mwanamke mmoja alitishia sana mtaa kutokana na uzuri wa sura na rangi ya mwili aliyonayo. Kati ya Predators waliovizia vizia nami nilikuwa mmoja wao Nilipoona binti mwenyewe ni aina ya staki nataka nikamuweka chini na kumuomba anipatie jibu moja, akasema hanipendi. Nilipomuuliza sababu...
  8. Ni aibu kwa taasisi kubwa kama Yanga kuidharau na kuidhihaki Mahakama ya Tanzania kiasi hiki

    Sitawapotezea muda wenu kuwaelezea umuhimu wa taasisi ya Mahakama katika jamii na nchi yoyote ile. Hii taasisi ina heshma yake ambayo haitakiwi mtu au taasisi yoyote kuichezea, kuidhihaki, kuidharau wala kuitukana. Kwa hiki kinachoendelea siku hizi mbili na kauli za viongozi wa Yanga akiwemo...
  9. Rais wetu mpendwa wateule wako wanakudharau sana sisi wananchi tunaona aibu..

    Kwa yanayoendelea ni dharau na kejeli kwa mkuu wa nchi hawa wateule wanamdharau sana wanakula hadi wanavimbiwa sasa wanalopokaa vile wanavyojisikia usalama msaidieni mhe. Rais jamani haiwezekani watu wanatolewa jalalani ili wamdharau rais wetu na mama yetu...
  10. Hii ni Aibu Kubwa sana kwa Wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hofu imetanda kwa baadhi ya wazazi kuhusu usalama na ustawi wa watoto wao kufuatia matukio ya ukatili yanayowatokea watoto ambapo kwa mujibu ripoti ya polisi kwa mwaka 2023 imeonyesha matukio 30 hutokea dhidi ya watoto kila siku. Hatua hiyo imewafanya wazazi wa Mtaa wa Kibonde maji Mbagala, Dar...
  11. Azam marine watu wenu wa mizigo wanatia aibu, wabadilike

    Inasikitisha kampuni kubwa kama hii watu wa mizigo badala ya kushusha wanaanza kuuliza watu mzigo wako ukohapa ndio wanashusha Aibu kubwa sana Mbadilike ati
  12. K

    Ni aibu sana serikali kushidwa kusafisha maji!

    Yaani inasikitusha mpaka leo hatuwezi kupata maji safi na salama. Lakini serikali kila siku kujigamba!. Leo maji ya bomba ni kama tope!
  13. Wapuuzi wachache wanaenda kufanya tuaibike Mwaka 2027

    Mwaka 2027 kutakuwa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)ambayo yatafanyika katika mataifa 3,miongoni mwa mataifa hayo na Tanzania ikiwemo. Kila nikijaribu kuangalia na kutazama namna mambo yanavyoendeshwa kwenye hii nchi na watu ambao tuliwaamini kiukweli nakosa majibu na napata...
  14. Aibu: Hadi majeneza tunaagiza kutoka nje!

    Inasikitisha miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza MAJENEZA China na Afrika Kusini?
  15. Wakatoliki radicals wanatia aibu katika tuhuma za paroko muuaji sakata la Asimwe, wanahitaji kukataliwa

    Baadhi ya wakatoliki wanatia aibu sana katika hili sakata la anayedaiwa ni paroko kukamatwa kwa shutuma za mauji ya binti albino Asimwe. Maoni yao hao wakatoliki naoweza kusema ni "radicals" yanatia kichefuchefu na kuonyesha jinsi gani dini bila kujali ni ya upande gani inavyoweza kutafuna na...
  16. TANROADS Morogoro hii ni aibu kwenu kushindwa hili.

    PICHA: Mle mbuga ya mikumi, na kona za iyovi na maeneo mengi kipande hiki matobo barabarani ni mengi mno gari zinapasua matairi na malori plus mabus mengi yanachochora...Fanyeni mrekebishe hii kasoro kwa wakati. Mikumi mjini kilimani
  17. Jerry Silaa kuwe na utaratibu wa kusikilliza Wananchi kila mwezi mara 2 Mpaka 3 kuna mikasa ya aibu ya dhuluma za ardhi wanakimbilia mahakamani

    Kwako ndugu yangu, namshukuru mungu kwa aliekuchagua anajua makusudi yake Hakika wananchi wameumia wanateseka sana na wahuni wapiga dili viwanja vya watu Hawa wahuni wana channel ndefu sana naamini mungu amekuleta kuwasaidia wananchi. Naomba kama inawezekana uonnane na wananchi hata mara...
  18. Ni aibu na fedheha kubwa kwa Wana-CCM wa JF kutelekezwa huku Marehemu akiteuliwa!

    Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu! Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha...
  19. Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia. Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
  20. Vichekesho na aibu ya Bodi ya Ligi tuzo za mchezaji na kocha bora mwezi Mei

    Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara. Amewashinda wafuatao : ◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️ ◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6) ◎ Feisal Salum - ⚽ (5) Pia bodi imetangaza kuwa, kocha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…