afrika

  1. H

    Dkt. Mwigulu: Afrika ijenge uwezo wake wa kusimamia na kuzalisha Huduma za Afya

    DKT. MWIGULU: AFRIKA IJENGE UWEZO WAKE WA KUSIMAMIA NA KUZALISHA HUDUMA ZA AFYA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu...
  2. H

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kw

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, pamoja na Wawakilishi wa Mashiriki na Taasisi za Kimataifa nchini...
  3. Raia 134 wa Burundi wamekamatwa Tanzania huku mvutano wa uhamiaji ukizidi kushika kasi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki. Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
  4. Balozi Omar aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano wa Koafec-Korea Kusini kujadili akili unde katika maendeleo ya Bara la Afrika

    Na Benny Mwaipaja, Seoul, Korea Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasili Seoul nchini Korea Kusini, ambako anaongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 8 wa siku nne wa Jukwaa la Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na nchi za Afrika (Korea-Africa Economic...
  5. Afrika Ijitegemee Huduma za Afya - PM Nchemba

    Nchi za Afrika zinapaswa kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Arusha-Tanzania 🗓️Septemba 09, 2026 ———————————————- Ameyasema hayo wakati...
  6. Dkt. Mwigulu: Afrika ijenge uwezo wake wa kusimamia na kuzalisha huduma za Afya

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumatano Septemba 09, 2026, wakati akimwakilisha...
  7. M

    Makabila Maarufu Afrika

    Ukiachana na Wamasai ambao wapo Kenya na Tanzania. Wachagga ndio Kabila pekee ambalo lipo Tanzania tu lilotokea kwenye hii list. Cha kushangaza Wachagga sio wanaongoza kwa idadi ya watu hapa Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine nyingi ambazo makabila yaliyotokea ndio yanaongoza kwa wingi...
  8. Lini Afrika itapata Ballon d'Or tena?

    Afrika imewahi kuwa na mshindi mmoja tu wa Ballon d'Or, na huenda ikasubiri zaidi kuona mchezaji mwingine akifuata nyayo za George Weah baada ya orodha ya mwaka huu kutangazwa. Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, na mshambuliaji wa Senegal, Sadio Mane, ndio wachezaji wawili pekee kutoka Afrika...
  9. Abdul kufanya Ziara kwa Wakuu wa NCHI Afrika, ni Maandalizi ya Kutaka URAIS ?

    Ninauliza !!. Kwa upande mmoja, Kikwete anasukuma Kete yake ya Kumpachika RIDHIWANI. Kwa Kikwete, RIDHIWANI anapangwan kuja kama kinachoitwa' Msuluhishi, Mtuliza Mambo ' . Suala Moja la Uhakika linalowasumbua Timu Samia na Timu Kikwete ni UWAJIBIKAJI WA MAUAJI YA OKTOBA 29!!.
  10. Utajiri wa Musk: Miaka 14 ya Bajeti za Afrika Mashariki

    Takwimu mpya zinashtua na kuumiza kichwa kwa pamoja: Utajiri wa Dola Trilioni 1 ($1,000,000,000,000) wa Elon Musk unaweza kuendesha bajeti zote za Tanzania, Kenya, na Uganda kwa miaka 14 mfululizo! Yaani mtu mmoja ana hela ya kulisha, kuhudumia, na kuendesha nchi tatu nzima za Afrika Mashariki...
  11. YANGA; Tunakwenda kuitikisa Afrika

    Klabu ya Yanga SC imewatoa hofu mashabiki na wanachama wake kuelekea msimu mpya wa mashindano, ikisisitiza kuwa mikakati iliyowekwa inalenga kufanya makubwa zaidi si tu katika soka la ndani, bali pia katika ngazi ya bara la Afrika. Akizungumza kuhusu mwelekeo wa timu hiyo, Afisa Habari wa Yanga...
  12. UN yaidhinisha ramani yenye Ukubwa halisi ya Afrika huku USA Wapinga.Tu Damp Dini, Elimu na mifumo Yao ya Utawala.

    My Take Hawa kima weupe walitufogosha sana ,ni wakati wa kuwatupia virago kuanzia dini zao,Elimu zao na mifumo Yao ya usalama Ili tururishe ukuu wa muafrika. https://www.instagram.com/p/Dc5oAiZjT0Q/?img_index=2&igsi=NnhsbDFnY3l1Zml0
  13. Umoja wa Mataifa (UN) wapiga kura kupitisha ramani mpya ya dunia ili kuonyesha ukubwa halisi wa Afrika

    Umoja wa Mataifa umepiga kura ya kupitisha ramani mpya rasmi ya dunia iliyobuniwa kuonyesha ukubwa halisi wa kijiografia wa bara la Afrika na maeneo mengine ya kanda ya ikweta. Mabadiliko haya yanalenga kuchukua nafasi ya "Mercator projection" (ramani ya kale ya Mercator), ambayo imekuwa...
  14. DAWASA: Mradi wa Usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka umefikia Asilimia 88

    Mradi wa kwanza wa kisasa na usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka Mbezi Beach unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) umefikia asilimia 88 ya utekelezaji wake huku ukitajwa kunufaisha kaya takribani 11,000 katika Wilaya ya Kinondoni...
  15. POTOSHI Polisi wamwagiwa maji nchini Afrika kusini

    Kumekuwepo na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuonyesha raia wakimwagia maji magari ya polisi. Hata hivyo, kichwa cha habari kilichoambatanishwa na video hiyo kinapotosha uhalisia wa tukio. Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameeleza kuwa video hiyo ilirekodiwa...
  16. Uimara wa CCM Afrika unatokana na mchanganyiko wake.

    CCM ni kati ya vyama vikongwe na imara sana Afrika chenye uwezo wa kuongoza miaka 50 mingine bila kutetereka. Kinaweza kuhimili changamoto ndogo na kubwa za ndani na nje ya chama bila kupiga chafya nyingi. Uimara wa CCM unatokana na usawa katika mchanganyiko wake wa wanachama na viongozi ambao...
  17. EACOP: Bomba la mafuta la Afrika Mashariki

    Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443 Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
  18. Kuelekea safari yangu ya mziki, jana nikakutana na mchambuzi mkubwa Afrika, Hopetyga tz

    Kwa wanao mfahamu HOPETYGA TZ ni mchambuzi wa mambo ya BURUDANI, Jana nika fanikiwa kukutana nae maeneo ya jaws corner, zenji lakini hatukuzungumza chochote, niliona kama ana mgeni japo nilifarijika sana, nilimtafta insta akadai ndio yeye. Kuelekea safari yangu ya mziki inahitaji promo, online...
  19. Balozi Ahmed Haggag: Bara la Afrika linahitaji kuacha utegemezi wa nje na kujiamini

    CAIRO, Misri: Balozi Ahmed Haggag, Mshauri wa Umoja wa Waandishi wa Afrika, amewataka Waandishi wa Habari kuongoza kampeni ya kuitangaza Afrika na kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zake wenyewe. Akizungumza na Waandishi wa nchi mbalimbali za Afrika Jijini Cairo, Balozi Haggag amesema ni...
  20. Watanzania 173 waliokuwa Afrika Kusini warejea nchini

    Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo. Zoezi la kuwarejesha raia hao limefanyika kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…