Habari wana jamvi,
Kinachoendelea Afrika kwa sasa ndio kilichotokea Italy siku si nyingi zilizopita. Inachekesha ila inasikitisha sana kuona kila duka unaloingia wanakutaka unawe mikono lakini ukija kwenye daladala watu bado wanapunuliana balaa, nchi yetu bado inapokea wageni kutoka nchi zenye...