africa

  1. Yoda

    Africa tungepewa uhuru kwa makabila badala ya mataifa bandia tungekuaje leo hii ?

    Katika jambo baya sana wakoloni walilotufanyia Africa ilikuwa ni kugawa bara la Africa mezani katika vipande mbalimbali bandia walivyoviita nchi. Hili ni jambo ambalo limewatesa sana Waafrika baada ya wakoloni kuondoka. Mataifa yetu yalipaswa yapatikana kwa mchakato wa asili wa sisi wenyewe...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa kejeli na dhihaka zinazoendelea mtandaoni kuhusu waliorudishwa kutoka South Africa. Wabeba Boksi hiyo ni alert

    Habari za Sabato! Leo huko Tiktok, instagram, na Facebook habari kuu ni mabaharia waliorudishwa kutoka South Afrika. Aiseeh! Uwanja wa comments watu wanamwaga upupu sio poa. Kejeli Dhihaka Matusi. Basi ilimradi. Ni kweli ni uhuru wa maoni lakini tuangalie jamani. Hawa ndugu zetu ni kama...
  3. Crocodiletooth

    CCM ni chama,mama ya ustaarabu africa.

    Nimejaribu kuyatafakari yanayotokea hakika ni ustaarabu wa haki za kidemokrasia uliopitiliza,leo hii litokee hili kwa heche patachimbika!,japo ni makamu katika vyama vya upinzani
  4. K

    Ccm na mamayao kuzomewa kila kona hadi na Dr. Ndlozi wa Africa Kusaini kijana mdogo wa Julius Malema inatoa picha gani.

    Kwa mtazamo wangu Samia na genge lake la watekaji,wauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta nimegundua kuwa ccm ni genge ambalo limefikia damu ya kunguni kiasi kwamba hakuna mtu anayetaka kusogelewa nalo hadi Dr. Ndlozi amewaonya SADEC kutomruhusu Samia kukaa naye kama mkuu wa Nchi kwasababu...
  5. Chizi Maarifa

    Viongozi wa Nchi za Africa akiwepo Samia.walipa Mabillion ya Pesa Kampuni ya Udalali ili kuonana na Donald Trump

    Ujinga wa viongozi wa Africa ... https://www.instagram.com/p/DcOXDOTihBv/?img_index=2&igsi=MTgyY3NmdDhoenlrdA==
  6. Mkalukungone Mwamba

    Tanzania to Begin Voluntary Repatriation of Citizens from South Africa on August 26

    Tanzania will begin the voluntary repatriation of citizens living in South Africa’s KwaZulu-Natal province on August 26, with the first group returning aboard an Air Tanzania Company Limited (ATCL) flight from King Shaka International Airport in Durban. The Tanzanian High Commission in Pretoria...
  7. B

    Interview with Prof. Mohamed Yakub Janabi- WHO Regional Dorector for Africa 20.08.2026

    20 August 2026 Asmara, Eritrea ERi-TV, Eritrea - Open Mic - Interview with Prof Mohamed Yakub Janabi - WHO Regional Director for Africa ERi-TV August 6, 2026 https://m.youtube.com/watch?v=V2ajcy3agVc Source : Eri-TV, Eritrea (Official)
  8. Nabuuma Rose

    Hello Uganda

    Come let's enjoy this jack fruit. Here in Uganda 🇺🇬 The pearl of Africa
  9. Yesha

    Zimbabwe hands over SADC chairmanship to South Africa

    Zimbabwe has formally handed over the chairpersonship of the Southern African Development Community (SADC) to South Africa, marking the conclusion of President Emmerson Mnangagwa’s tenure at the helm of the regional bloc. The handover took place on Monday at the 46th Ordinary SADC Summit in...
  10. M

    Tuwakaribishe wenzetu waliorudishwa kutoka South Africa

    Na hii ndio ile inaiitwa bila kupepesa macho https://www.facebook.com/reel/4466513103637269
  11. H

    Africa na chaguzi bandia. Nani anayetupangia Mamruki kuongoza nchi Zetu?.... Kama CCM wametumwa Zambia Brian Mandubile hawezi kutangazwa mshindi kamwe

    Waafrica hawaijui ccm aisee. Hii sio TANU iliyowasaidia kupigania uhuru. Hili ni dudu baya. Sasa tume itakuwa imeshikiliwa Mateka, Vikosi kazi vimeandaliwa tayari kuanzisha vurugu ili kuruhusu wizi wa kura, Askari watapewa posho ambayo hawajawahi kuipata kisha bunduki na Amri za kuua wananchi...
  12. Kikubwa Pumzi

    Muziki Mzuri wa Africa Umefichwa Wapi? Wajuzi Tushirikishane

    Kuna muziki wa Africa ambao ni nadhifu sana, lakini ni nadra kuusikia radio, TV, social media, clubs au mainstream. Mimi napenda muziki kwa sauti, vyombo, vibe, melody, lyrics na production — sio kwa sababu tu ume-trend. Hii ndiyo aina ya playlist ninayoizungumza: 🎵 Black Tax – Just B 🎵 Chai...
  13. Matovu Godfrey

    Olulimi Oluganda - Ssabasajja Kabaka awangaale

    📖 ENGERO Z'OLULIMI OLUGANDA Amannya | Matovu Godfrey Omuziro | Ngabi Nsamba A'kabbiro | Jerengesa Omubala | kalikutanda N'ekakusuula mu b'engabi abasambaganyi Muzukulu w'ansamba 📖 🦁 Aggunde ggunde ayi SSABASAJJA KABAKA - Magulu nyondo 🐿️ ◾ Akalya a...
  14. R

    Uganda and Naminia minthe most undemocratic countries in Africa if not the World!

    Sasa unawaleta hao ili wafanye nini credible! Time will tell!
  15. Yoda

    Nchi yetu ina watu duni mpaka wanagombania bagia za bure?!

    Hili tukio inasemekana limetokea Mbeya! Watu wazima wanagombania bagia za bure! Africa inasikitisha na kukatisha tamaa sana. Kama hali Iko hivi Mbeya wanaosemekana ndio wazalishaji wakubwa wa chakula nchini huko kwingine hali ikoje?!
  16. idiomer

    Africa nguvu ndio kubwa akili kiduchuu

    Imagine watu wanakamatwa halafu upelelezi haujakamilika mwezi mzima? Kukamata ni nguvu kazi ila upelelezi ni elimu na weledi..
  17. Red black

    Ili Africa ipate maendeleo ni either wazungu wote wahamie huko Africa then waafrica muhamie US,Ulaya..nk

    Nje ya hapo Africa kupata maendeleo ni nadri sanaa. Wazungu wakikabidhiwa bara la Africa kama ambavyo livyo hivi sasa within 10yrs litakuwa very attractive and beautiful place to live.
  18. Yesha

    Zimbabweans Must Now Apply for U.S. Visas in South Africa

    Zimbabweans seeking to travel to the United States will now have to apply for visas in South Africa after the U.S. Department of State moved routine visa processing from Harare to regional visa centres. The new arrangement came into effect on August 1, 2026, ending routine visa services at the...
  19. Fbn

    Ukifika China uwezi kuona haya mapikipiki yao wanayouza Africa wanatumia kwao zaidi pikipiki za umeme

    Nilichoshangaa kwa wachina kwao hawatumii kabisa hizo wanazotengeneza wanatuletea sisi.Hata mtu wa derived uwezi kukuta anatumia. Najiuliza ni kwamba wameona hayana ubora kwenye miji yao mikubwa au uchafu.
  20. Dennis Robert Shughuru

    Ayoub Rioba Africa imeshakua na madikteta wengi na wameshindwa ondoa umaskini kwenye nchi zao

    Ayoub rioba afrika imeshakua na madikteta wengi sana ila cha ajabu wameshindwa kuondoa umaskini na kutengeneza taasisi imara kwenye nchi zao Sasa unavyosema chanzo cha matatizo ya afrika ni madikteta ni wazi hujasoma historia ya bara la afrika
Back
Top Bottom