Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) leo Alhamisi, Novemba 19, 2026, limetambulisha rasmi nembo mpya itakayotumika katika mashindano ya AFCON 2027, ambayo yatafanyika kwa ushirikiano wa nchi tatu za Afrika Mashariki, Tanzania, Kenya na Uganda.
Nembo hiyo mpya imebeba taswira ya kipekee...