afcon 2027

The 2025 Africa Cup of Nations, known in short as the 2025 AFCON or CAN 2025, is scheduled to be the 35th edition of the biennial African association football tournament organized by the Confederation of African Football. The tournament was supposed to be hosted in June-July 2025, however due to the formation of the expanded FIFA Club World Cup scheduled to be held in June-July 2025, the 2025 AFCON might be hosted in January-February 2026.
This edition of the tournament was supposed to be the 2nd to take place in the northern hemisphere summer since the 2019 edition to reduce scheduling conflicts with European club teams and competitions after the previous edition in 2023 was moved to January and February 2024 owing to the adverse summer weather conditions in Ivory Coast.Guinea was the set to be the original host of this edition of the tournament but CAF stripped it of hosting rights after affirming its inadequacy of hosting preparations. After a second bidding process, Morocco was given the hosting rights

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Rais Samia: Uwanja wa Mkapa haujaisha, mnavutana! AFCON inakuja

    Rais Samia Suluhu, ameagiza kuundwa kwa timu ya wahandisi ili kuchunguza na kuhakiki makisio ya bajeti ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, kufuatia mvutano uliokwamisha kuanza kwa ujenzi. Akizungumza Novemba 27, 2026 kuhusu maandalizi ya michuano ya AFCON, Rais Samia alieleza kusikitishwa...
  2. Zack Abdul

    Tanzania Tourist Board joins AFCON 2027 as official competition sponsor

    Tanzania Tourist Board (TTB) has been announced as an Official Competition Sponsor of TotalEnergies AFCON 2027, creating an exciting opportunity to showcase Tanzania's tourism attractions, culture and hospitality to millions of football fans worldwide.
  3. Zack Abdul

    Fursa za AFCON 2027- vijana tuchangamke

  4. C

    Rais Samia: Tuna mashindano ya AFCON 2027, hatuna budi kuweka nchi salama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kuhakikisha wanalinda amani na usalama wa nchi kuelekea mashindano ya AFCON 2027 pamoja na matukio mengine makubwa ya kimataifa yanayotarajiwa kufanyika nchini. Akizungumza na wananchi wa...
  5. I

    CAF yazindua Nembo Rasmi ya AFCON 2027, Kenya, Tanzania na Uganda waungana kwenye Utambulisho wa Mashindano.

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limezindua rasmi nembo ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambayo itaandaliwa kwa pamoja na Kenya, Tanzania na Uganda. Nembo hiyo imebeba taswira ya utamaduni na utambulisho wa Afrika Mashariki, ikiwa na rangi za bendera za mataifa hayo...
  6. Eronda

    Akii-Bua Stadium at 90% Completion as Works Intensify for AFCON 2027

    The construction of the Akii-Bua Olympic Stadium in Lira City has reached an important milestone, with overall works now standing at 90 percent completion. The development marks significant progress in Uganda's preparations to host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), which the country will...
  7. C

    Hii ndiyo Logo mpya ya CAF kwa ajili ya AFCON 2027

    Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) leo Alhamisi, Novemba 19, 2026, limetambulisha rasmi nembo mpya itakayotumika katika mashindano ya AFCON 2027, ambayo yatafanyika kwa ushirikiano wa nchi tatu za Afrika Mashariki, Tanzania, Kenya na Uganda. Nembo hiyo mpya imebeba taswira ya kipekee...
  8. C

    Senegal imekuwa timu ya kwanza kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027

    Senegal imekuwa timu ya kwanza ya taifa (nje ya nchi wenyeji) kufuzu rasmi kwa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, baada ya matokeo ya mchezo kati ya Msumbiji na Ethiopia na kuipa timu hiyo nafasi ya kufuzu mapema. Msumbiji ilipata ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Ethiopia...
  9. C

    Taifa stars safarini kurejea tanzania kwa ajili ya mchezo wa marudio

    Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kimewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Victor Attah, uliopo mjini Uyo, nchini Nigeria, tayari kwa safari ya kurejea nchini Tanzania. Wachezaji na benchi la ufundi wamewasili uwanjani hapo baada ya kumaliza majukumu yao nchini Nigeria...
  10. Damaso

    Rwanda wanaanda Formula One, Kenya wanawakaribisha Bayern na Ajax, Tanzania Samia anatosha

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imechangamka ile mbaya, mambo yako moto fire, marais wa nchi wanachama wapo busy hapa na pale. Lakini ukweli mchungu ni kuwa kuna marais wa nchi majirani wanaopiga hatua za kiwango cha dunia huku wengine tukibaki kuwa watazamaji wa mechi za wenzetu. Ukiangalia...
  11. Eronda

    Uganda Tourism Board Partners with CAF Ahead of AFCON 2027

    The Uganda Tourism Board (UTB) has been unveiled as an Official Competition Sponsor of the TotalEnergies CAF Africa Cup of Nations (AFCON) 2027, marking a significant step in Uganda's efforts to position itself as a leading tourism destination on the continent. The partnership with the...
  12. Roving Journalist

    EAC Kuimarisha Ushirikiano Sekta ya Utalii Kuelekea AFCON 2027

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeazimia kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika sekta ya utalii na usimamizi wa wanyamapori, ikiwemo kuoanisha sera, mifumo ya udhibiti, masharti ya utoaji wa leseni na viwango vya ubora wa huduma na kuitangaza EAC kama kituo kimoja cha utalii, ili kuongeza...
  13. Zack Abdul

    Tanzania is the place to be for AFCON 2027!

    Where football meets unforgettable experiences, breathtaking destinations, and the true spirit of African hospitality.
  14. A

    Benni McCarthy: Kenya haiwezi kushinda AFCON hata mkinipa Mamilioni ya Dola

    Kocha mkuu wa Harambee Stars, Benni McCarthy, anaamini kuwa Kenya bado ina safari ndefu kabla ya kuweza kushindana kwa uhalisia na vigogo wa soka barani Afrika kuwania ubingwa wa AFCON. McCarthy amesema kuwa kwa sasa Kenya haina rasilimali za kutosha wala kikosi chenye wachezaji wengi wenye...
  15. Eronda

    Will Namboole Remodeling Beat the December 31 Deadline? Slow Progress Raises AFCON 2027 Fears

    As Uganda intensifies preparations to co-host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), growing concerns are emerging over the pace of renovation works at the Nelson Mandela National Stadium, Namboole. With the Local Organising Committee setting December 31 as the deadline for the completion of...
  16. Mkalukungone Mwamba

    FT | Madagascar 1-1 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2027

    Taifa Stars ipo ugenini ikimenyana na Madagascar katika mchezo wa pili wa Kundi L wa kufuzu AFCON 2027. Hadi sasa timu hizo ziko sare ya bao 1-1; Charles Kachwele aliitanguliza Tanzania dakika ya 39 kabla ya Nicolas Fontaine kuisawazishia Madagascar dakika ya 50. Stars imeingia katika mchezo...
  17. M

    AFCON 2027 BURUDANI: Awilo Kidume cha Mbeya aburudishe

    Huyu ni muimbaji wa nyimbo za asili kutoka Mbeya. Ana sauti ya kuvutia na muziki mzuri wa asili unaovutia kusikiliza hata kama huelewi anachoimba. Achaneni na hayo mabongo fleva ,sijui amapiano. Burudani AFCON iwe ni nyimbo za asili za akina Awilo na singeli za maadili.
  18. PAYE

    Tanzania vs. Guinea-Bissau | Kufuzu AFCON 2027

    Mechi tamu hii ya kuitazama
  19. Mkalukungone Mwamba

    FT: Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau | Kufuzu AFCON 2027 | Uwanja wa New Amaan

    Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inashuka dimbani leo saa 10:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, kukabiliana na Guinea-Bissau kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi L wa kusaka nafasi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Licha ya kuwa Tanzania tayari...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Makonda Afafanua Kuhusu Wasanii Walioitwa na Waziri Katambi, Asema Ni Jambo la Kawaida Kiutendaji

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema kitendo cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, kuwaita wasanii na kuzungumza nao ni jambo la kawaida kiutendaji. Kauli hiyo imekuja wiki kadhaa baada...
Back
Top Bottom