Pierre Derivery (4 November 1925 โ 24 November 2013) was a French sprint canoer who competed from the early 1950s to the early 1960s. Competing in two Summer Olympics, he earned his best finish of tenth in the K-1 10000 m event at Helsinki in 1952.
WAZIRI MKUU AWASILI TABORA KWENYE MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ASKOFU MKUU MIHAYO
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Tabora, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo leo, Novemba 28, 2026.
๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ ๐๐๐๐๐ฅ๐จ๐๐ ๐ช๐๐ก๐๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐ก๐ฌ๐ ๐๐จ๐๐๐๐๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐ช๐ ๐๐๐ฉ๐จ๐๐ข
โช๏ธAmtaka Naibu Waziri wa Ujenzi apige simu โliveโ na kutoa majibu
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amesema haridhishwi na sababu zinazotolewa na viongozi kuhusu ucheleweshaji wa kivuko cha Kikove hadi Mlimba na akataka apewe majibu ya...
๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ ๐๐ง๐๐๐ ๐จ๐๐๐ก๐ญ๐ ๐ช๐ ๐ฆ๐๐จ๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐ฆ๐๐๐๐ฆ๐ ๐จ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ก๐จ๐๐ฅ๐ ๐ฏ๐ญ
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi kuhakikisha ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Misegese, mkoani Morogoro, unakamilika ifikapo Januari 31, 2027, ili kupunguza...
Serikali iko mbioni kuanzisha Mamlaka ya Milki Tanzania kwa lengo la kuimarisha usimamizi, udhibiti na uendelezaji wa sekta ya milki nchini.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, amebainisha hayo leo Novemba 23, 2026, jijini Dar es Salaam, wakati wa kikao kazi...
๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ ๐๐๐๐๐ญ๐ ๐๐จ๐ข๐ก๐๐๐ญ๐ช๐ ๐๐๐ฆ๐ ๐ฌ๐ ๐จ๐๐๐ก๐ญ๐ ๐ช๐ ๐๐๐ฅ๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐ช๐ - ๐๐๐ฆ๐๐๐
โช๏ธAsema Serikali imeboresha utaratibu wa upatikanaji wa fedha za miradi ya barabara.
โช๏ธAtarejea kukagua maendeleo ya ujenzi.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemtaka mkandarasi anayejenga sehemu ya barabara ya Bigwa...
๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ ๐๐ฆ๐๐ ๐ ๐ ๐๐๐ข๐๐ข๐ฅ๐ข ๐ฌ๐ ๐๐ฅ๐๐๐ ๐๐ฆ๐๐๐๐ข๐๐๐๐ ๐ฉ๐๐ฆ๐๐ฆ๐
โชAonya dhidi ya kujichukulia sheria mikononi na kuuza ardhi kinyemela.
โชSerikali yakamilisha usanifu wa barabara ya njia sita kutoka Picha ya Ndege hadi Chalinze.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekemea tabia ya watu kujichukulia...
โช๏ธAonya viongozi kujigawia vizimba na kuwakodishia wafanyabiashara.
โช๏ธAagiza ushuru wa awali uwe mdogo ili biashara ziweze kuimarika.
โช๏ธAtaka ujenzi wa soko la Sh. bilioni 7.71 ukamilike Desemba.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kuhakikisha vizimba vya...
๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ: ๐จ๐ง๐๐๐๐ฅ๐ ๐ช๐ ๐ ๐๐๐๐ก๐ ๐จ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐๐ ๐ฌ๐ ๐ช๐๐ก๐๐ก๐๐๐
โช๏ธAsisitiza madini yazalishe ajira, viwanda na fursa za kiuchumi kwa Watanzania
โช๏ธSerikali kuendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji na kuongeza thamani ya madini nchini
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema utajiri wa madini...
๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐ฌ๐ฎ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐จ๐๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ถ๐ฎ๐ป๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ณ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ก๐ผ๐ฟ๐ฑ๐ถ๐ฐ ๐จ๐น๐ฒ๐๐ฒ ๐ ๐ฎ๐๐ผ๐ธ๐ฒ๐ผ ๐๐ฎ๐น๐ถ๐๐ถ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ธ๐ป๐ผ๐น๐ผ๐ท๐ถ๐ฎ, ๐จ๐๐ฒ๐ธ๐ฒ๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐ป๐ฎ ๐จ๐๐ฎ๐น๐ฎ๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐ถ๐ณ๐ฎ
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano wa Afrika na nchi za...
Asema Serikali kuendelea kuwashika mkono wawekezaji katika sekta ya miliki
Wizara ya Ardhi kuja na Mamlaka ya Udhibiti wa Milki
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amezikaribisha kampuni na wawekezaji binafsi wa ndani na nje ya nchi kuwekeza nchini katika sekta ya milki ya makazi (real estate)...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Ingrid Johansson, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni, jijini Dar es Salaam, leo Novemba 20, 2026.
Mazungumzo hayo yamejikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kupanua...
dkt. mwigulu
dr mwigulu na sweeden
sweden
ushirikiano
๐ฑ๐ฒ๐ฟ๐ถ๐๐ฒ๐ฟ๐
๐๐จ๐ก๐๐ฆ๐ฆ๐๐ ๐๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ซ๐ฐ๐
๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐๐ข๐ ๐๐ข ๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐๐๐ ๐จ๐๐จ๐ก๐๐จ๐ญ๐ ๐ช๐ ๐๐จ๐๐ช๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐ ๐๐ ๐ก๐ข๐ฅ๐๐๐ ๐ก๐ ๐๐๐ฅ๐๐๐
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameshiriki ufunguzi wa Jukwaa la Biashara la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Nordic na Afrika (NordicโAfrican...
Tanzania na Norway zimesaini Tamko la Pamoja Lenye Dhamira ya Kuimarisha Ushirikiano wa Biashara na Uchumi wakati wa Awamu ya Nne ya Mashauriano ya Kisiasa kati ya Tanzania na Norway, iliyofanyika jijini Oslo, Norway, tarehe 18 Novemba 2026.
Tamko hilo linatambua biashara, uwekezaji na...
Tanzania na Norway zimethibitisha dhamira yao ya kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, kupanua ushirikiano wa kiuchumi na kuongeza ushirikiano katika masuala ya kikanda na kimataifa wakati wa Awamu ya Nne ya Mashauriano ya Kisiasa kati ya Tanzania na Norway, iliyofanyika jijini Oslo, Norway...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inaendelea kutambua sayansi, teknolojia na ubunifu kama nguzo muhimu za mabadiliko ya kiuchumi na kijamii.
Amesema kuwa katika kuelekea uchumi shindani unaotegemea maarifa, Serikali imeweka mazingira wezeshi ya kuimarisha tafiti, ukuzaji...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 17, 2026, amewasili mkoani Tabora, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa Ofisi ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Mkoa wa Tabora.
๐ทIle ahadi ya safari ya saa 8 kutoka Dar yakaribia
๐ทSh tril. 3 ujenzi SGR Tabora-Kigoma zapatikana
๐ทUtaunganisha Bandari ya Dar es Salaam na DRCpppl