๐—ฑ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜†

Pierre Derivery (4 November 1925 โ€“ 24 November 2013) was a French sprint canoer who competed from the early 1950s to the early 1960s. Competing in two Summer Olympics, he earned his best finish of tenth in the K-1 10000 m event at Helsinki in 1952.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Waziri Mkuu Mwigulu awasili Tabora kwenye mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo

    WAZIRI MKUU AWASILI TABORA KWENYE MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ASKOFU MKUU MIHAYO Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Tabora, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo leo, Novemba 28, 2026.
  2. H

    Dkt. Mwigulu acharuka wananchi Malinyi kucheleweshewa kivuko

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ฅ๐—จ๐—ž๐—” ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ก๐—–๐—›๐—œ ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—ฌ๐—œ ๐—ž๐—จ๐—–๐—›๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ช๐—˜๐—ฆ๐—›๐—˜๐—ช๐—” ๐—ž๐—œ๐—ฉ๐—จ๐—ž๐—ข โ–ช๏ธAmtaka Naibu Waziri wa Ujenzi apige simu โ€˜liveโ€™ na kutoa majibu WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amesema haridhishwi na sababu zinazotolewa na viongozi kuhusu ucheleweshaji wa kivuko cha Kikove hadi Mlimba na akataka apewe majibu ya...
  3. H

    Ujenzi wa barabara za Mahenge, Malinyi uanze mara moja - Waziri Mkuu

    ๐—จ๐—๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—”๐—ฅ๐—”๐—•๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—›๐—˜๐—ก๐—š๐—˜, ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—ฌ๐—œ ๐—จ๐—”๐—ก๐—ญ๐—˜ ๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐— ๐—ข๐—๐—” - ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ โ–ช๏ธAelekeza maeneo korofi yapewe kipaumbele. โ–ช๏ธAagiza wakulima wasitozwe ushuru wanapopeleka mazao nyumbani. WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Ujenzi iharakishe taratibu za kumpata mkandarasi wa kujenga kwa...
  4. H

    Dkt. Mwigulu ataka ujenzi wa shule ya Misegese ukamilike Januari 31

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—ง๐—”๐—ž๐—” ๐—จ๐—๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ฆ๐—›๐—จ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—œ๐—ฆ๐—˜๐—š๐—˜๐—ฆ๐—˜ ๐—จ๐—ž๐—”๐— ๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—˜ ๐—๐—”๐—ก๐—จ๐—”๐—ฅ๐—œ ๐Ÿฏ๐Ÿญ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi kuhakikisha ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Misegese, mkoani Morogoro, unakamilika ifikapo Januari 31, 2027, ili kupunguza...
  5. Wizara ya Ardhi

    Serikali kuanzisha mamlaka ya milki Tanzania

    Serikali iko mbioni kuanzisha Mamlaka ya Milki Tanzania kwa lengo la kuimarisha usimamizi, udhibiti na uendelezaji wa sekta ya milki nchini. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, amebainisha hayo leo Novemba 23, 2026, jijini Dar es Salaam, wakati wa kikao kazi...
  6. H

    Dkt. Mwigulu aagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa barabara ya Bigwa - Kisaki

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—”๐—š๐—œ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ข๐—ก๐—š๐—˜๐—ญ๐—ช๐—” ๐—ž๐—”๐—ฆ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—”๐—ฅ๐—”๐—•๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—•๐—œ๐—š๐—ช๐—” - ๐—ž๐—œ๐—ฆ๐—”๐—ž๐—œ โ–ช๏ธAsema Serikali imeboresha utaratibu wa upatikanaji wa fedha za miradi ya barabara. โ–ช๏ธAtarejea kukagua maendeleo ya ujenzi. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemtaka mkandarasi anayejenga sehemu ya barabara ya Bigwa...
  7. H

    Dkt. Mwigulu asema migogoro ya ardhi isichochee visasi

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—ฆ๐—˜๐— ๐—” ๐— ๐—œ๐—š๐—ข๐—š๐—ข๐—ฅ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—”๐—ฅ๐——๐—›๐—œ ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—–๐—›๐—ข๐—–๐—›๐—˜๐—˜ ๐—ฉ๐—œ๐—ฆ๐—”๐—ฆ๐—œ โ–ชAonya dhidi ya kujichukulia sheria mikononi na kuuza ardhi kinyemela. โ–ชSerikali yakamilisha usanifu wa barabara ya njia sita kutoka Picha ya Ndege hadi Chalinze. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekemea tabia ya watu kujichukulia...
  8. H

    Dkt. Mwigulu: Vizimba Vya Soko La Mlandizi Wapewe Wafanyabiashara

    โ–ช๏ธAonya viongozi kujigawia vizimba na kuwakodishia wafanyabiashara. โ–ช๏ธAagiza ushuru wa awali uwe mdogo ili biashara ziweze kuimarika. โ–ช๏ธAtaka ujenzi wa soko la Sh. bilioni 7.71 ukamilike Desemba. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kuhakikisha vizimba vya...
  9. H

    Dkt. Mwigulu: Utajiri wa madini ubadili maisha ya wananchi

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ: ๐—จ๐—ง๐—”๐—๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐——๐—œ๐—ก๐—œ ๐—จ๐—•๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐— ๐—”๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ก๐—–๐—›๐—œ โ–ช๏ธAsisitiza madini yazalishe ajira, viwanda na fursa za kiuchumi kwa Watanzania โ–ช๏ธSerikali kuendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji na kuongeza thamani ya madini nchini WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema utajiri wa madini...
  10. H

    ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—จ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐—ฑ๐—ถ๐—ฐ ๐—จ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ผ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜€๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐—ธ๐—ป

    ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—จ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐—ฑ๐—ถ๐—ฐ ๐—จ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ผ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜€๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฎ, ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano wa Afrika na nchi za...
  11. Zack Abdul

    Mwigulu aialika sekta binafsi kuwekeza katika makazi na udhibiti wa ujenzi holela

    Asema Serikali kuendelea kuwashika mkono wawekezaji katika sekta ya miliki Wizara ya Ardhi kuja na Mamlaka ya Udhibiti wa Milki WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amezikaribisha kampuni na wawekezaji binafsi wa ndani na nje ya nchi kuwekeza nchini katika sekta ya milki ya makazi (real estate)...
  12. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu akutana na balozi wa Sweden, wajadili kuimarisha ushirikiano

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Ingrid Johansson, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni, jijini Dar es Salaam, leo Novemba 20, 2026. Mazungumzo hayo yamejikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kupanua...
  13. H

    Waziri Kombo ashiriki ufunguzi wa Jukwaa la Biashara la Nordic na Afrika

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—”๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—œ ๐—จ๐—™๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—๐—จ๐—ž๐—ช๐—”๐—” ๐—Ÿ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—Ÿ๐—” ๐—ก๐—ข๐—ฅ๐——๐—œ๐—– ๐—ก๐—” ๐—”๐—™๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—” Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameshiriki ufunguzi wa Jukwaa la Biashara la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Nordic na Afrika (Nordicโ€“African...
  14. H

    Tanzania na Norway Zasaini Tamko la Pamoja Kuimarisha Ushirikiano wa Biashara na Uchumi

    Tanzania na Norway zimesaini Tamko la Pamoja Lenye Dhamira ya Kuimarisha Ushirikiano wa Biashara na Uchumi wakati wa Awamu ya Nne ya Mashauriano ya Kisiasa kati ya Tanzania na Norway, iliyofanyika jijini Oslo, Norway, tarehe 18 Novemba 2026. Tamko hilo linatambua biashara, uwekezaji na...
  15. H

    Tanzania na Norway zafanya awamu ya Nne ya mashauriano ya Kisiasa kuimarisha uhusiano wa Kidiplomasia

    Tanzania na Norway zimethibitisha dhamira yao ya kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, kupanua ushirikiano wa kiuchumi na kuongeza ushirikiano katika masuala ya kikanda na kimataifa wakati wa Awamu ya Nne ya Mashauriano ya Kisiasa kati ya Tanzania na Norway, iliyofanyika jijini Oslo, Norway...
  16. H

    Dkt. Mwigulu: Msitwae ardhi za wananchi bila fidia

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ: ๐— ๐—ฆ๐—œ๐—ง๐—ช๐—”๐—˜ ๐—”๐—ฅ๐——๐—›๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ก๐—–๐—›๐—œ ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐—™๐—œ๐——๐—œ๐—” โ–ช๏ธŽ ๐—”๐—ธ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐—ผ โ–ช๏ธŽ ๐—”๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฒ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—ฝ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka maafisa wa ardhi kuzingatia sheria na kuhakikisha wananchi wanaopisha...
  17. Zack Abdul

    Waziri Mkuu: Sayansi na teknolojia nguzo ya uchumi shindani

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inaendelea kutambua sayansi, teknolojia na ubunifu kama nguzo muhimu za mabadiliko ya kiuchumi na kijamii. Amesema kuwa katika kuelekea uchumi shindani unaotegemea maarifa, Serikali imeweka mazingira wezeshi ya kuimarisha tafiti, ukuzaji...
  18. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu awasili Tabora kushiriki harambee ya ujenzi wa Ofisi ya BAKWATA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 17, 2026, amewasili mkoani Tabora, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa Ofisi ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Mkoa wa Tabora.
  19. H

    Dkt. Mwigulu: Uwezeshaji Wanawake kiuchumi ni msingi wa Maendeleo ya Taifa

    ๐—จ๐—ช๐—˜๐—ญ๐—˜๐—ฆ๐—›๐—”๐—๐—œ ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ช๐—”๐—ž๐—˜ ๐—ž๐—œ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ ๐—ก๐—œ ๐— ๐—ฆ๐—œ๐—ก๐—š๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—˜๐—ก๐——๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—œ๐—™๐—” - ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ โ–ช๏ธ๐—”๐—ถ๐—ฝ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—–๐—น๐—ผ๐˜‚๐—ฑ๐˜€ ๐— ๐—ฒ๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐—ฏ๐˜‚๐—ฎ ๐—ณ๐˜‚๐—ฟ๐˜€๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ โ–ช๏ธ๐—”๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—ฎ ๐—ฅ๐—ฎ๐—ถ๐˜€ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ, ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—บ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ธ๐—ฒ๐˜„๐—ฒ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—น๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐—ด๐˜‚๐˜ƒ๐˜‚ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema juhudi za kuwawezesha wanawake kiuchumi zinapaswa...
  20. Zack Abdul

    ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—น๐—ถ ๐—ž๐—ถ๐—ด๐—ผ๐—บ๐—ฎ

    ๐Ÿ”ทIle ahadi ya safari ya saa 8 kutoka Dar yakaribia ๐Ÿ”ทSh tril. 3 ujenzi SGR Tabora-Kigoma zapatikana ๐Ÿ”ทUtaunganisha Bandari ya Dar es Salaam na DRCpppl
Back
Top Bottom