VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,494 Reaction score 1,466 May 23, 2025 #1 Pale unapoamka na kukuta wajomba wamechukua wanachokitaka. Hasa kama una Flat TV, ujue hiyo si mali yako, watunzie wenyewe siku wakihitaji wataijia. Uzuri ukitoa taarifa mapema na ukawa na kielelezo chochote cha umiliki, mali yako hata kama ni baada ya mwaka itapatikana tu
Pale unapoamka na kukuta wajomba wamechukua wanachokitaka. Hasa kama una Flat TV, ujue hiyo si mali yako, watunzie wenyewe siku wakihitaji wataijia. Uzuri ukitoa taarifa mapema na ukawa na kielelezo chochote cha umiliki, mali yako hata kama ni baada ya mwaka itapatikana tu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,975 Reaction score 1,252,369 May 27, 2025 #2 Hatari sana
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,989 Reaction score 13,994 Jun 9, 2025 #3 Kenehe?