VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,494 Reaction score 1,466 Aug 27, 2025 #1 Wanaume: ukitaka kuoa; oa mwalimu. Anakaa darasani na aajinga zaidi ya mia moja na wote anawavumilia.. Hawezi kushindwa kukaa na wewe mjinga mmoja tu.
Wanaume: ukitaka kuoa; oa mwalimu. Anakaa darasani na aajinga zaidi ya mia moja na wote anawavumilia.. Hawezi kushindwa kukaa na wewe mjinga mmoja tu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,975 Reaction score 1,252,369 Aug 30, 2025 #2 Aiseeeeeee
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,617 Reaction score 198,114 Aug 31, 2025 #3 Ngoja waje kama wapo... Cc: Mahondaw