VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,494 Reaction score 1,466 Jun 11, 2025 #1 South Africa imetangaza kuwa, kundi la kwanza la wanajeshi hao, waliokuwa DRC kwa jukumu la kupambana na M23, litawasili nchini humo tarehe 13 Juni, 2025. Wanajeshi hao pamoja na silaha zao, walifika Tanzabia kwa nyakati tofauti kupitia Rwanda.
South Africa imetangaza kuwa, kundi la kwanza la wanajeshi hao, waliokuwa DRC kwa jukumu la kupambana na M23, litawasili nchini humo tarehe 13 Juni, 2025. Wanajeshi hao pamoja na silaha zao, walifika Tanzabia kwa nyakati tofauti kupitia Rwanda.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,975 Reaction score 1,252,369 Jun 13, 2025 #2 Sawa sawa