Willy NGOMA JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 4,564 Reaction score 5,983 Aug 12, 2025 #1 Jeshi la Somalia, limewanyonga wanajeshi wawili waliokutwa na hatia ya kujihusisha na kundi la waasi la Al-Shabab. Walikutwa na hatia baada ya kiongozi wao Aided Mohamed Ali, kuuwawa, na hatimae kubainika walivujisha siri za uwepo wake.
Jeshi la Somalia, limewanyonga wanajeshi wawili waliokutwa na hatia ya kujihusisha na kundi la waasi la Al-Shabab. Walikutwa na hatia baada ya kiongozi wao Aided Mohamed Ali, kuuwawa, na hatimae kubainika walivujisha siri za uwepo wake.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,975 Reaction score 1,252,369 Aug 14, 2025 #2 Hatari sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,457 Reaction score 198,054 Aug 16, 2025 #3 Ngoja wanyoshane kidogo... Cc: Mahondaw