Bunge la serikali ya Rwanda, lipo katika hatua za mwisho kutia saini sheria inayomruhusu mtoto wa miaka 15 kupata huduma ya uzazi wa mpango bila wazazi wake kushilikishwa.
Je, ikiwa bunge limewaharalishia huduma hii, si ni sawa wameharalishiwa uzinzi sasa! Na haiwezekani mtoto huyo azini na wa umri wake, ni watu wazima tu.
Miaka kama 30 ijayo, kuna nchi zitakuwa zimejaa wehu tu.