Ni wajibu wako mzazi kumtunza mtoto

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,571
Reaction score
5,983
Kuna watu wanazalisha wanawake na kuwatelekezea watoto. Tabia hii ndo chanzo cha hali ya sasa, maana walio na miaka 20-25 waliokulia mazingira hayo, kukosa malezi, matunzo na haki za msingi, ndo kumepelekea wawe vicheche.
Sasa, wanaolalamika kwamba hawapati wanawake wa kuoa, huko nyuma wanafikilia waliofanya kaka zao na baba zao? Na wao wakaona ni sawa, wanaendelea mchezo.

Tamaa na mapenzi vitofautishwe. Pia ijulikane, uliemuacha, hakika utatafuta mwingine, na huenda utakuta ye ndo taka taka kabisa. Tujifunze uvumilivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…