Wewe mleta mada kwanini usiwe unaandika mada zako kwa lugha ya kiswahili au hata kingereza hili upate wachangiaji? Au umeambiwa hii forum ni ya kwako peke yako na wanyarwanda wenzako?