Umujyi wa Kigaliurataka ikibazo gikomeye cy’Ubucucike bw’Abaturage baturuka mu byaro by’iwabo baje gushaka imibereho! Gusa iyo urebye neza Abayobozi nibo bari baraje mbere Abaturage baza babakurikiye! Utowe arimuka, Ugabanye akimuka, Uwo biciyemo akiyizira! Abaturage nibo bari gusigara?
Uongozi wa jiji la Kigali, umeelemewa na mzigo wa kukabiliana na kuhudumia raia wanaohamia kutoka maeneo mbali mbali ya nchi.
Mwanzo wa yote, viongozi wote,wanataka wakae jijini. Wafanyabiashara,wakipata mitaji ya kueleweka, wanahamia jijini Kigali. Wanaotafuta maisha na wenyewe,wanataka wahamie huko huko kwenye fursa za uhakika. Watu hawa, wakija ndo unakuta uongozi unalalamikia ujenzi holela, na badae uongozi huo unalazimika kuwalipa fidia, kuwapangishia au kuwatafutia makazi.
Kila jaribio la miundo mbinu na kusogeza huduma stahiki karibu, watu hawakai. Changamoto hii, watapata ufumbuzi?