Jifunze Kingereza uongeze uwezo wa kujiamini na fursa! 🇬🇧🇹🇿✨

Jifunze Kingereza uongeze uwezo wa kujiamini na fursa! 🇬🇧🇹🇿✨

Sponsor1

Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
55
Reaction score
45
JIFUNZE KINGEREZA UONGEZE UWEZO WA KUJIAMINI NA FURSA! 🇬🇧🇹🇿✨
‎
‎"Kingereza ni daraja la fursa"
‎Unatamani kuongea Kingereza kwa ujasiri bila kuogopa kukosea?
‎Pata Mwalimu mzoefu wa Lugha ya Kingereza — Shabani Waziri Mnkai. 🇹🇿
‎
‎Tunafundisha Kingereza cha:
‎✅ Mawasiliano
‎✅ Mahojiano na maandalizi ya usaili na kazi
‎✅ Sarufi na Misamiati
‎✅ Uandishi na Ufasaha
‎✅ Kingereza cha Kazi
‎✅ Taaluma (Academic)
‎✅ Kujiandaa na Mitihani ya Scholarship na kazi za nje
‎Kwa wanafunzi kuanzia darasa la 7 na kuendelea, wafanyakazi na wafanyabiashara — Watanzania wote karibu! 🇹🇿
‎
‎Pia tunatoa huduma ya:
‎✅ Proofreading & Editing
‎✅ Translation
‎✅ Interpretation
‎
‎Nafundisha kwa njia ya Google Meet, WhatsApp na Zoom — popote ulipo Tanzania, unaweza kujifunza!
‎📱💻 Unachohitaji ni Smartphone au Laptop tu — na internet! Huna haja ya kusafiri, jifunze ukiwa nyumbani.
‎
‎Kwa mawasiliano zaidi;
‎WhtsApp: 0713 068 762
‎Instagram: @profession_al_counselor
‎
 
Back
Top Bottom