Je, Kenya kuhararisha mwanadiplomasia Goma, kunaashilia nini

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,569
Reaction score
5,983
Rais wa Kenya, Mhe William, aliweka muwakilishi wa serikali yake mjini Goma, huko mashariki mwa DRC. Wakati huo, Nchi ya Kenya ina balozi Huko DRC.

Kitendo hiki, hakiashilii kuwa hata kenya ina mkono kwenye huu mgogoro, na kwamba tayari ishatambua uongozi wa M23 kama nchi?

Je, ikija kutokea ikawa kweli, huu muungano wa EAC, si utakuwa wa kinafiki sasa!!
 
Kinachochekesha ni kwamba huyo huyo DRC ana mwakilishi wa serikali yake (Consulate General) pale Mombasa wakati ana ubalozi mjini Nairobi. Sasa ngoma draw au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…