Jaribio la kinga dhidi ya ukimwi nchini Rwanda, laleta matumaini

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Jaribio lilifanyika kwenye Marekani, Afrika Kusini na Rwanda.
Utafiti wa shilika la afya duniani, ulibainisha kuwa, dunia nzima ina watu waishio na virusi vya ukimwi wapatao milioni 39,9 mwaka 2023, na 65% ya hao wakiwa barani Afrika.

Dose ya kwanza yenye jukumu la kuongeza B cells, ilionekana kuzaa matunda kwa kiasi kikubwa, kwa mjibu wa Rogier Sanders, mwalimu na mtafiti kwenye chuo kikuu cha Afya huko Amsterdam.

Hata hivo, jaribio hilo lililotumia mfumo wa mRNA, ilitangazwa kuwa linaweza kurahisisha uzalishaji wa kinga hiyo


 
Na walio Kwisha kunasa hawana dawa?
Nilichosikia kama miezi 3 iliyopita, kuna jaribio tena linaendelea nchini humo, japo si dawa kwa ajili ya kupona, ni dose ya kumpunguza matumizi ya kila siku. Wanachomwa sindano moja, na inafanya kazi kwa miezi 6. Kwa hiyo, dawa zote za miezi 6, zitakuwa hazitolewi tena, utachomwa tu sindano na itakuwa inafanya kazi ndani ya miezi 6. Wakati huo, jitihada za kuanzisha sindano ya miezi 12 zitakuwa zinaendelea. Yaani badala ya dawa za kila siku, utakuwa unachomwa sindano moja tu kwa mwaka.
 
Ufuska utaongezeka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…