VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,494 Reaction score 1,466 May 17, 2025 #1 Mkutano huu unaotarajiwa jijini Kigali, tarehe 19-20 Mai 2025, ni sehemu pia ya maonyesho ya dhana za kivita za kisasa; utajumuisha mataifazaidi ya 60. Zitakuwemo drones, magari maalum kwa ajiri ya shughuli za kiusalama
Mkutano huu unaotarajiwa jijini Kigali, tarehe 19-20 Mai 2025, ni sehemu pia ya maonyesho ya dhana za kivita za kisasa; utajumuisha mataifazaidi ya 60. Zitakuwemo drones, magari maalum kwa ajiri ya shughuli za kiusalama
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,975 Reaction score 1,252,369 May 22, 2025 #2 Sawa sawa