VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,494 Reaction score 1,466 Sep 1, 2025 #1 Ujinga ni pale unamuacha mumeo kisa kachepuka halafu unaenda kuwa hawara wa mume wa mwenzio Usilaani moto kisha uende kuwasha cheche zako kwa jirani. Aliyejeruhiwa na mwiba hafai kuupandikiza kwa mwingine.
Ujinga ni pale unamuacha mumeo kisa kachepuka halafu unaenda kuwa hawara wa mume wa mwenzio Usilaani moto kisha uende kuwasha cheche zako kwa jirani. Aliyejeruhiwa na mwiba hafai kuupandikiza kwa mwingine.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,975 Reaction score 1,252,369 Sep 5, 2025 #2 Sawa sawa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,520 Reaction score 198,085 Sep 6, 2025 #3 Hatari sana... Cc: Mahondaw