zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Warren Buffet: Sijawahi kunywa maji zaidi ya miaka 48, nakunywa soda tu

    Bilionea Warren Buffett amewahi kushangaza watu kwa tabia yake ya kunywa Coca-Cola badala ya maji, huku akidai kuwa hajanywa maji kwa takribani miaka 48. Kisa hicho kilisimuliwa na bilionea mwenzake Bill Ackman kwenye podcast ya Equity Mates Investing, akikumbuka siku alipomualika Buffett...
  2. Hivi mnajua mshauzwa ila walio wanunua kuna siku sio salama zaidi ya rwanda na burundi.

    Kwa sasa huyu mlipewa mkosi ndio kashafanya yake. Ila sitapenda kuweka wazi kuepusha magaidi wakitumia kikosi cha ulinzi cha serikali. Hapa mlipo subirini kutofautiana na zambia wao wana wachina na nyie mna ....
  3. Vijana wawili waliwala wanawake zaidi ya mia tatu bure tena wao ndio walilipwa, ama kweli mjini shule

    Bhana wee miaka hiyo dar es salaam, temeke sudan kam sikosei ilibamba stori kali iliyo washangaza watu wengi. Ili husu vijana wawili waliojifanya waganga wa kienyeji wanao safisha nyota za warembo, ilikua hivi ukifika pale kwenye chumba chao, unapewa masharti ya kufanya mapenzi na majini...
  4. Ukumbi wa mahakama kuu mmoja hauwezi chukua watu zaidi ya 200, nawaasa wanaCHADEMA watulie tu nyumbani na kufuatilia hukumu kwenye media.

    Ukienda pale High Court masijala ndogo DSM ukumbi mmoja (open Court) Hauwezi chukua watu zaidi ya 200, hivyo kuhamasishana kwenda pale ni kusababisha demand kubwa ya nafasi kwa kila mtu ambayo inaweza leta mambo mengine yasiyotabirika. Sasa niwaase tu ndugu zanguni tutulie majumbani mwetu...
  5. Ujenzi kielelzo uchumi wa Samia

  6. M

    Baba Levo: Hoja zaidi ya Elfu 24 za Ma CAG hazijawahi kufanyiwa kazi, kwa hiyo ni kama huwa tunakuja, tunajadili, watu wanaendelea na shughuli zao

    Na sisi kama wabunge ambao tumepewa mamlaka ya kusimamia pesa za umma. Ni vyema tuyaseme ili wananchiwajue kwamba tuliona tukasema na tunaomba utekelezaji ufanike. Tutayasema hapa ijapokuwa nilikuwa napitiahistoria ya ripoti za maCAG waliopita. Hoja zaidi ya 24000 zilizoletwa bungeni...
  7. Mfanyabiashara avunja rekodi ya kuendesha pikipiki juu ya maji kwa zaidi ya umbali wa kilometa 40

    Mfanyabiashara kutoka Nchini China na Mwanzilishi wa kampuni ya ZXMoto, Zhang Xue, ameweka historia katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness baada ya kufanikiwa kuendesha pikipiki umbali wa kilomita 40.74 juu ya maji katika Mkoa wa Hunan Nchini China. Zhang amefanya zoezi hilo kwa kutumia...
  8. Nguvu ya DNA: Je, tunarithi zaidi ya mwonekano kutoka kwa wazazi wetu

    Wakuu, leo nataka tuongee kuhusu DNA (vinasaba) Kuna mambo kadhaa ambayo ningependa tuyajadili na kujifunza kutoka kwa wataalamu na wenye uelewa wa masuala haya 1. DNA na mapenzi/Sexual Compatibility😊 Je, kuna namna ya kupima vinasaba vya watu wawili na kugundua kama wanaendana kibaiolojia...
  9. Sekretariet wameniweka kwenye answering machine kwa zaidi ya lisaa na salio linaenda

    Nawapigia hawa miungu watoa ajira wameniweka kwenye answering machine zaidi ya lisaa sasa sijui ni dharau, kibri au ndiyo aliyeshiba hamburgers mwenye njaa ila nachos jua ni kinyume vha sheria za mamlaka ya mawasiliano tabia hii pia wanayo nssf...hayo ni makosa na kinyume cha sheria ngoja...
  10. O

    Mapya yaibuka kukwama ujenzi wa meli Kigoma, mzabuni alilipwa zaidi ya asilimia 15

    MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15 Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka. Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
  11. O

    Mapya yaibuka kukwama ujenzi wa meli Kigoma, mzabuni alilipwa zaidi ya asilimia 15

    MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15 Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka. Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
  12. Wakazi zaidi ya 400 Sikonge wapatiwa matibabu ya kibingwa ya macho, waona tena, DC Semindu apongeza

    SIKONGE, TABORA – Mkuu wa Wilaya ya Sikonge, Michael Semindu ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na Shirika la Hellen Keller International kwa ushirikiano unaoendelea kuleta mapinduzi katika sekta ya afya kwa kusogeza huduma za kibingwa za macho karibu na wananchi. Semindu ametoa...
  13. Ten men Chelsea ilishindwa kushinda magori zaidi ya 2

    Kwa asiyejua soka ataona Chelsea ilikuwa Bora lakini kwa waelewa Jana man united ilikuwa na unafuu mkubwa. Nusu saa ukicheza na wachezaji Kumi na kama wewe ni bora unashindeaje kuongezza ushindi? Man united inatatizo kwenye beki line. Si kushoto Wala kulia kote hakuna mabeki wazuri hata ilivyo...
  14. K

    HIVI Bado Kuna watanzania wanafutilia taarifa za habari kupitia TV, au kusoma magazeti zaidi ya vipindi vya michezo

    Kuna wakati nilikuwa napenda sana kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV. Sasa HIVI Nina miaka mitano au sita hivi sifuatili taarifa hizo kupitia TV. Mimi ni kuangalia mpira na tamthilia kidogo . Habari zangu nyingi nazipata mtandaoni. Tena napata habari ghafi kabisa...
  15. Sasa kama nyinyi wafuasi wa CHADEMA siyo magaidi, huko nje mnafanya nini na hamna kazi, zaidi ya kukesha mitandaoni 24Hrs mnatutukana sisi Watanzania

    Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza? Jibu ni Moja tu . Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
  16. Samsung Inatuhumiwa Kupeleleza(spying ) Watumiaji wa Smart TV na Kushiriki Data Zao na Washirika(partners) Zaidi ya 400

    Kwa Ufupi Ni Kwamba: Mtaalamu wa reverse engineering ambaye anajulikana kama Log4j anadai kuwa TV za Samsung za mwaka 2025 zinakusanya taarifa za sauti (audio telemetry) kupitia vipaza sauti vilivyojengwa ndani (built-in microphones) na vifaa vilivyounganishwa nazo (connected devices.) Matokeo...
  17. Hijja ya mwaka 2026 yaiingizia Saudia arabia zaidi ya dollar Bilioni 15

    Baada ya fedha zitokanazo na mafuta nchini saudi Arabia, utalii wa kidini (Hijja na Umra) ndiyo chanzo cha pili cha mapato kwa nchi hiyo. Mwaka huu pekee nchi hiyo imeingiza zaidi ya dollar za kimarekani bilioni 15 sawa na shilingi za kitanzania Trilioni 39.68. Saudia wanapanga kuongeza na...
  18. Mfahamu Mzee wa miaka zaidi ya sitini lakini muonekano wa ujana kabisa

    Anaitwa chuan do tan ni Mzee alizaliwa march 3, 1966, Singapore ni mpiga picha kwa sasa kaingia kwenye mitindo baada ya makaampuni makubwa kumfata wafanye nae KAZI. jamaa mzee lakini anaonekana kama alizaliwa 2000, noma sana, jamaa kabeba tuzo nyingi sana za mitindo.
  19. Mfumo wa kukata tiketi za SGR online uko chini (haufanyi kazi) kwa zaidi ya saa 20 sasa

    Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa. Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
  20. Kafulia usijichetue, India na Wachina Wana watu zaidi ya B Moja, ila wanamiliki Chumi kubwa, Afrika haiendelei sababu ya Viongozi wa ovyo ovyo

    MAREKAN Ina watu zaidi ya Milion 300, na wameendelea . Kafulila usione Haya kusema kua "Afrika tuna uçhumi mdogo licha ya Idadi kubwa ya watu kwa sababu ,Ni Afrika tu ndo Mtu anatafuta Urais kama Sifa, Wizi, Ufisadi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…