youtube

  1. Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  2. W

    Vijana 19 wauawa Nepal kwenye maandamano baada ya Serikali kufungia mitandao

    Takribani watu 19 wamepoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa nchini Nepal baada ya maandamano dhidi ya ufisadi wa kisiasa na baada ya serikali kuchukua hatua ya kufungia mitandao ya kijamii amabapo maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko kati ya waandamanaji na vyombo vya usalama. Maelfu ya vijana...
  3. Nani anajua kuingiza pesa kupitia YouTube Automation anisaidie

    Kuna mtu anaingiza pesa kupitia YouTube Automation anatoa kozi / mafundisho ya kuingiza pesa kupitia YouTube Automation nilimwambia anioneshe chaneli yake aligoma, hivyo nikashindwa kumwamini kama kweli anaingiza pesa, nauliza nani anajua hii kitu anisaidie, nicheki sms / call / WhatsApp +255...
  4. Kama unauza YouTube chaneli nanunua

    Kama unauza YouTube chaneli nanunua, mawasiliano: 0756704145, Dar es salaam, Mbezi
  5. Ms Rachel: Mwalimu,mzazi wa pili na dada wa kazi wa Youtube

    Kama una watoto wadogo basi hili jina sio geni. Huyu YouTuber sijui amewalisha nini watoto. Wakimuona tu kwenye TV wanaanza kukenua. Amekuwa msaada kwa wazazi hasa wanapokuwa busy na majukumu ya nyumbani. Ukimwekea mtoto videos zake hata hawasogei walipokaa. Wapo wanaosema kuna madhara mtoto...
  6. YouTube Channel inauzwa,Ina matangazo ya Google

    Wakuu. Kuna YouTube inauzwa. Ina matangazo na Sasa Ina dollar 98 ndani. Imefanyiwa SEO tayari. Ina 10K subscribers . Bei. Maelewano. Update. Ishauzwa. Asante
  7. Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi. Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
  8. App za kudownloadia youtube kwene Iphone

    Wakuu wa iphone
  9. Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  10. Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

    Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela. Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
  11. Youtube imefungiwa kama Twitter

    Nimejaribu zaidi ya lisaa lizima kuingia YouTube ila inagoma. Baada ya kuwasha VPN mambo yanafanya kazi. Mwezi mmoja kabla niliona trend videos za YouTube kama zipo tofauti na kawaida. Sijui ni YouTube wenyewe wanapokea hela kuzima baadhi ya content zisionekane kwenye trend, kama vile...
  12. Polepole: Nimeshindwa kutumia Youtube kutokana na 'restrictions'

    Balozi Humphrey Polepole ambaye alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari kupitia Zoom Meeting na kushindikana kutokana na changomoto ya kusikilizana, na baadaye alipotaka kutumia YouTube akakumbana 'Restrictions' kama alivyoeleza, akiongea Mbashara kupitia Facebook.
  13. Mtandao wa Youtube upo down Tanzania?

    Maana nikiwasha VPN inakubali
  14. Mtandao wa YouTube Tanzania Tangu saa Tano haifanyi kazi

    Wengi wanahisi kwa sababu ya press ya pole pole ndo maana wameufuutilia mbali
  15. Vigezo Vipya vya YouTube na Athari Zake kwa Watu Wanaotumia A.I kwa Kutengeneza Content

    YouTube kila wakati inaboresha kanuni zake na vigezo vya kufuatilia ili kuhakikisha watumiaji wanapata content bora na salama. Hivi karibuni, YouTube imezindua vigezo vipya vinavyohusu matumizi ya Artificial Intelligence (A.I) katika kutengeneza video na content. Je, mabadiliko haya yanaathiri...
  16. W

    Youtube kuanza kuwalipa Content creators wanaoandaa maudhui kwa kutumia sauti zao halisi

    YouTube imetangaza mabadiliko mapya kwenye mpango wake wa kupata mapato (YouTube Partner Program) ambayo yataanza rasmi Julai 15, 2025. Lengo la mabadiliko haya ni kugundua kwa ufanisi zaidi maudhui yasiyo halisi — siyo kuzuia video za reaction au mchanganyiko wa vipande mbalimbali kama wengi...
  17. Kesi ya Lissu ndo ipo number moja trending youtube

    Huyu jamaa anapendwa Sana na kufatiliwa mno.
  18. S

    MSAADA OPPO A83 HAISUPPORT WHATSAPP NA YOUTUBE

    HABARI WADAU, Kichwa kinajieleza, nimejaribu kutafiti nikabaini Google inc ambao ndio wamiliki wa Android wameblock whatsapp na Youtube kwenye Android 7 kushuka chini, japokuwa whatsapp wenyewe hawana tatizo na device zenye matoleo hayo. sasa kama kuna maujanja ya kufanya naomba kuelekezwa...
  19. Youtube wampa tuzo ya Diamond, msanii Diamond Platnumz kwa kufikisha subscribers Milioni 10

    Msanii kutokea Tanzania Diamond Platnumz amepewa tuzo maalum na Youtube kwa kufikisha subscribers Milioni kwenye ukurasa wake wa Youtube Hongera zake na kaimprove kuongea kingereza
  20. YouTube Kuacha Kazi Kwenye Vifaa vya Apple Vyenye iOS 15 na Chini

    Kwa watumiaji wengi wa vifaa vya Apple, hili halitakuwa tatizo. Hata hivyo, baadhi ya iPhone, iPad, na iPod touch za zamani ambazo haziwezi kusasishwa zaidi ya iOS 15 au iPadOS 15 hazitaweza tena kutumia programu ya YouTube. Hii inamaanisha kuwa watumiaji wa vifaa hivyo vya zamani watahitajika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…