yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Yanga kimbieni huo uwanja una gundu

    Kuna mstari mdogo sana unotenganisha uongozi wa Yanga na CCM, kwanini kila mwaka mmeamua kuipeleka timu Zanzibar, kama kuna mtu mnataka kumfurahisha? Ule uwanja una gundu na nuksi hata timu ya taifa hakuna mechi iliyoshinda kwenye kile kiwanja Msimu uliopita licha ya kutopoteza mechi kwenye huo...
  2. Yanga atakuwa wa mwisho kwenye kundi

    Hili lipo wazi Club ya Yanga itaburuza mkia kwenye kundi lake, hawezi kukaa mbele ya Zamalek ,MCA na Club Africain
  3. Nimetoka kupita game ya Yanga na MC Alger

    Kwa hii uto inavyoruka ruka kwenye hii game muhimu , nayakuweka rekodi yao yq kibabe, sijui ile tarehe 10 walikwepa vipi kupigwa goli saba na Simba mnyama🤔 Leo huyu mwarabu wa Yanga angekufa goli nne kwa nunge 🤣 Hawa vidampa watamlaumu faldu tena🤣🤣🤣 Ngoja Simba tuwaonyeshe ukubwa wetu...
  4. Kitendo cha wauaji kuvaa jezi ya Yanga 29/10/2025

    Hii timu ya yanga nakwambia haitakaa ifanikiwe Tena Ile laana ya mwaka Jana ya muuaji mkuu kuvaa jezi Yao Ilikuwa ni laana ya milele na milele Mimi nilikuwa shabikia wa yanga ila toka siku hiyo hii timu niliipiga chini Uwape ccm milioni 100 waue watu Tena kwa kuvaa jezi yako halafu unaki...
  5. C

    MC Alger wako safarini kuja Tanzania Kucheza na Yanga

    Klabu ya MC Alger ya Algeria imeanza safari ya kuja Tanzania usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya mchezo wake wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) dhidi ya Yanga SC. Mtifuano huo mkali unatarajiwa kupigwa Jumamosi, Novemba 28, 2026, katika Uwanja wa New Amaan...
  6. C

    Simo Dladla amega rasmi Yanga akiwapa neno mashabiki

    Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Yanga, Simo Dladla, ameaga rasmi klabu hiyo baada ya kupata nafasi ya kuwa Kocha Mkuu wa Richards Bay ya Afrika Kusini. Dladla alikuwa sehemu ya benchi la ufundi la Yanga chini ya makocha Manqoba Mngqithi na baadaye Fadlu Davids, kabla ya kuamua kurejea Afrika Kusini...
  7. Eng Hersi avunja ukimya - uwanja wa Yanga kuanza Kujengwa, chuga Kutimkia Palmeiras Brazil

    Rais wa Young Africans SC, Eng. Hersi Said, leo Jumatano Novemba 18, 2026 amefanya mkutano mkubwa na waandishi wa habari kwenye Makao Makuu ya klabu hiyo, Jangwani, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo uliofanyika baada ya kikao cha Kamati ya Utendaji, ulikuwa na mambo matano makubwa ambayo...
  8. Matokeo Mechi ya Kirafiki Yanga SC vs KVZ 3-1 Zanzibar - Cheikh Toure Magoli Mawili, Aziz Ki Assisti Tatu

    Klabu ya Yanga SC imepata ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya KVZ FC katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu uliochezwa Visiwani Zanzibar. Mchezo huo uliochezwa Novemba 15, 2026 usiku, ni sehemu ya maandalizi ya Yanga kuelekea michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano ya kimataifa ya CAF...
  9. C

    Fadlu davis ameanza na ushindi na yanga

    Kocha mpya wa Yanga, Fadlu Davids, ameanza maisha yake ndani ya kikosi hicho kwa ushindi baada ya timu hiyo kuichapa KVZ mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Maisala, Unguja, leo Jumamosi Novemba 14, 2026, Yanga ililazimika kutoka...
  10. C

    Kiungo wa Yanga Maxi Nzengeli amepata majeraha yanayomuweka nje ya uwanja wiki sita

    Klabu ya Yanga SC imepata pigo baada ya kiungo wake muhimu, Maxi Nzengeli, kupata jeraha la goti litakalomweka nje ya uwanja kwa takribani wiki sita. Meneja wa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe, amethibitisha taarifa hizo, akibainisha kuwa nyota huyo alipata maumivu hayo kwenye mchezo wa mwisho...
  11. Eng. Hersi Said Ameipasua Yanga Katikati: Je, Mafanikio ya Pesa Yanatosha Kuficha Makosa ya Kiuongozi?

    Nianze kwa kukiri wazi: mimi sijawahi kuongoza timu yoyote ya mpira wa miguu. Lakini nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa klabu ya Yanga na maamuzi yanayofanywa na viongozi wake kwa muda mrefu sasa. Sote tunajua kuwa maamuzi na matendo ya kiongozi ndio kioo cha uwezo wake wa kufikiri na picha...
  12. Tetesi: Fadlu Davids ndiye kocha wa Yanga baada ya dili la Saed Ramovic kufeli

    Fadlu Davids ndiye kocha wa yanga baada ya dili la saed ramovic kufeli uongozi wa yanga umefanikiwa kumpata kocha fadlu Davids Ikumbukwe fadlu Davids alitakiea ajiunge na yanga mwanzoni mwa msimu huu lakini Kuna baadhi ya vipengere walishindwana na yanga wakaangukia kwa manqoba manqith lakini...
  13. Hilda huyu jamani! Hata Mnyika na Nshala hawana map^mbu? Ukimya wa Heche ni sawa na "silence means YES"

    Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu. Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
  14. Simba kuifunga Yanga mara moja tu kusitumike kumfukuza Mangungu. Serikali inusurini Simba.

    Eti baada ya Simba kuifunga Yanga ndio mumfunge mikono, miguu na mdomo mangungu asiseme wala kuiongoza Simba kama mwenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya Simba sports club. Kuna haja ya kuchunguza na kumulika kwanini familia ya Dewji inaitaka Simba kwa hali na mali (do or die) hata ikibidi kumuua...
  15. Huyu Kilaza kutwa kuiponda Yanga , tulishamdharau hana deal kwa sasa

  16. C

    Kama ambavyo yanga wanaitumia serikali kufanikisha mambo yao,vivyo hivyo wanaitumia serikali kuibomoa Simba

    Mangungu ana watu wazito nyuma yake na agenda yao kubwa ni kuimilikisha Simba kwa familia ya gsm. Hawajali Mo akiondoka ,wala Simba ikiyumba.Agenda yao hii wanaipigania kupitia kwa mangungo na baadhi ya watu wajinga wanaotaka kumrudisha manara. Siasa zinaharibu sana mpira wetu,maana kuna watu...
  17. Nafikiri Mangungu yupo kwenye payroll ya Yanga kutuvuruga Simba Sc

    Kila wakati Simba inapoaanza safari ya mafanikio anaanza chokochoko. Kwani hana kazi zingine za kufanya za kumuingizia kipato zaidi ya kuwa Simba SC? Hizi ndio changamoto za kuwapa nafasi kubwa waswahili wasio na vision yeyote kwenye maisha. Ifike wakati mashabiki tupige mstari huyu mzee...
  18. Yanga mfanyeni Aziz Ki awe kocha

    Ukocha ndiyo nadhani Aziz Ki anaupenda kuliko kuwa mchezaji wa Yanga. Matukio mengi ya Aziz ndani na nje ya uwanja yanaonesha anapenda zaidi kuelekeza wachezaji wenzake kuliko kucheza. Nasikia yeye na Manqoba walikuwa hawaivi kisa kufanya kazi ya ukocha badala ya uchezaji.
  19. Simba kukutana na Orlando Pirates, Yanga kukutana na Waarabu

    Wazee Yanga ana kibalua
  20. G

    Ukiondoa Azam fc, Yanga, Simba na Singida zinabebwa na ufisadi/mafisadi

    Siku nchi ikirudi mikononi mwa wananchi, mpira wa Tanzania ambao umekua haraka kama uyoga, hakika utaporomoka. Wenye akili kubwa tu ndio watanielewa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…