waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO KAZI CHA WAKUU WA MIKOA NA MAWAZIRI WA KISEKTA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Novemba 29, 2026, ameongoza kikao kazi cha wakuu wa mikoa na mawaziri wa kisekta katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina jijini Dodoma. Miongoni mwa ajenda zilizojadiliwa ni namna ya kukabiliana na uvamizi wa maeneo yaliyohifadhiwa na kutatua migogoro kati ya...
  2. Netanyahu akubali kugawana madaraka Gadi kuwa Waziri Mkuu kuunda serikali Israel.

    Wanaukumbi. Waziri Mkuu wa mpito wa Israel, Benjamin Netanyahu, anatarajiwa kukutana na kiongozi wa upinzani Gadi Eisenkot leo asubuhi kwa mazungumzo yanayolenga kutatua mkwamo wa kisiasa uliojitokeza kufuatia uchaguzi wa mwezi uliopita. Hapo jana, Netanyahu alisema kuwa yuko tayari kukubali...
  3. Waziri wa Ardhi David Silinde akutana na menejiment ya wizara

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. David Silinde, leo Novemba 28, 2026, amekuatana na Menejiment ya Wizara katika Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Dodoma. Katika kikao kazi hicho, Mhe. Silinde ametambulishwa rasmi kwa Menejimenti ya Wizara pamoja na kupokea taarifa kuhusu hali ya...
  4. A

    Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda vitabu vya mitaala mipya viko wapi? Vitabu vya wanafunzi wanaoingia darasa la 5 mpaka sasa havipo popote

    Hivi hizi serikali zetu za kiafrika kwanini ziko hivi? Mtaala mpya shule za misingi ilianza tangia 2022 lakini mpaka leo hakuna vitabu, tuna wizara, tuna Taasisi ya Elimu ila hakuna vitabu. Ktk hii likizo ndefu wazazi wangetafuta namna ya kuwasaidia ila vitabu havipo siyo madukani wala...
  5. WAZIRI MKUU AWASILI TABORA KWENYE MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ASKOFU MKUU MIHAYO

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Tabora, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo leo, Novemba 28, 2026.
  6. H

    Waziri Kombo akabidhi rasmi nyenzo za kazi kwa Waziri Kairuki

    WAZIRI KOMBO AKABIDHI RASMI NYENZO ZA KAZI KWA WAZIRI KAIRUKI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amemkabidhi rasmi nyenzo mbalimbali za kazi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Angellah Kairuki, ikiwa ni sehemu ya makabidhiano ya...
  7. H

    Mwigulu: Lindeni maadili ya Kitanzania

    WAZIRI MKUU: LINDENI MAADILI YA KITANZANIA ▪️Asema kupungua kwa fedha za wahisani si sababu ya kusitisha huduma kwa jamii WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini yazingatie maadili ya Kitanzania na uzalendo katika utekelezaji wa shughuli zao...
  8. H

    Waziri Mkuu Mwigulu awasili Tabora kwenye mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo

    WAZIRI MKUU AWASILI TABORA KWENYE MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ASKOFU MKUU MIHAYO Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Tabora, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo leo, Novemba 28, 2026.
  9. K

    Anachofanya Mwigulu kina shida gani, iwapo lengo la Serikali ni kutatua kero za wananchi?

    Katika mazingira ya Sasa ambapo serikali yetu imepoteza uungaji mkono wa wananchi wengi kwa maoni yangu Mh waziri Mkuu yuko sahihi Kwa hayo anayoyafanya Kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Haya anayoyafanya waziri Mkuu ndo Moja ya njia ya Kuirudisha imani ya wananchi kwa serikali yao. Kwa...
  10. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi wakati wa mkutano wa hadhara katika ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Novemba 25, 2026 mkoani Morogoro.
  11. GE2020 Live from Morena Hotel Mloglo: Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 9 wa MwakaJukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba.

    Wanabodi, Salaam, Mimi mwanabodi mwenzenu Mzee Pasco, ambae ni member wa TEF, niko live hapa Morena Hotel, mjini Mloglo, mji kasoro bahari, kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 9 wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba...
  12. Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) chafafanua hoja ya Mwanafunzi aliyepewa kazi na Waziri Ulega kuwa hakustahili

    Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kupitia Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma kimetoa ufafanuzi kuhusu mdahi ya Mdau wa JamiiForums.com aliyehoji kama uongozi wa chuo hicho ulimdanganya au kumpotosha Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega, katika mchakato wa kumpendekeza mwanafunzi wa...
  13. Ujenzi wa barabara za Mahenge, Malinyi uanze mara moja – Waziri Mkuu

    Aelekeza maeneo korofi yapewe kipaumbele Aagiza wakulima wasitozwe ushuru wanapopeleka mazao nyumbani WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Ujenzi iharakishe taratibu za kumpata mkandarasi wa kujenga kwa kiwango cha lami barabara ya Lupiro–Mahenge, yenye urefu wa takribani...
  14. Waziri wa Ulinzi na JKT amtembelea Mkuu wa Kwanza wa Majeshi wa JWTZ

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 22 Novemba, 2026, amemtembelea na kumjulia hali Mkuu wa kwanza wa Majeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya (Mstaafu), nyumbani kwake Tengeru, mkoani Arusha...
  15. H

    “Wakati ninyi mnajipanga kuweka kwenye bajeti, ujenzi huu uanze, mimi nitawatafutia milioni 100. Muanze, tafuteni fundi muanze - Waziri Mkuu Nchemba

    “Wakati ninyi mnajipanga kuweka kwenye bajeti, ujenzi huu uanze, mimi nitawatafutia milioni 100. Muanze, tafuteni fundi muanze kujenga. Tukiweza kupata milioni 250 hivi, basi tutakuwa na uwezo wa kujenga nusu ya kwanza.” 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 Waziri Mkuu wa Tanzania 🗓️ Novemba 22, 2026 📍...
  16. H

    “Kuona kwenye makaratasi ni tofauti na kuona kwa macho. Kuona kwenye taarifa ni tofauti na kuona saiti kama leo ambavyo nimeiona - Waziri Mkuu Nchemba

    “Kuona kwenye makaratasi ni tofauti na kuona kwa macho. Kuona kwenye taarifa ni tofauti na kuona saiti kama leo ambavyo nimeiona mwenyewe barabara hii.” 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢 🗓️ Novemba 22, 2026 📍 Bwakila Chini, Morogoro, Tanzania Amesema hayo wakati akizungumza na...
  17. A

    KERO Vijana tulioshiriki ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma tutapata lini mrejesho wa ahadi za Waziri?

    Vijana tulioshiriki katika ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tulipewa matumaini makubwa baada ya kuitwa na Waziri wa Ulinzi jijini Dodoma, ambaye alituahidi mambo makubwa ndani ya muda mfupi. Hata hivyo, mpaka sasa ni takribani miezi miwili imepita bila kupata mrejesho wowote kuhusu...
  18. M

    Jenister Mhagama – Waziri wa Afya aliyeuwawa kuficha ushahidi wa mauaji ya Watanzania zaidi ya 6,000

    Aliyekuwa Waziri wa Afya wakati wa mauaji makubwa na mabaya yaliyotekelezwa na utawala wa CCM chini ya Jakaya Kikwete, Samia Suluhu, Mkunda, Camilius Wambura, Faustine Mafwele, Murilo, Vikosi wa KMKM, Jeshi la Wananchi, Polisi, Uhamiaji, Magereza, TISS na wengine aliuwawa kama mmoja ya shahidi...
  19. H

    Utajiri wa madini lazima ulete mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi kupitia ajira, viwanda, uwezeshaji wa - Waziri Mkuu Dkt. Nchemba

    Utajiri wa madini lazima ulete mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi kupitia ajira, viwanda, uwezeshaji wa kiuchumi na fursa za biashara kwa Watanzania. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢 🗓️ Novemba 20, 2026 📍 Dar es Salaam, Tanzania ————————————————— Amesema hayo wakati...
  20. O

    Waziri Mbadi na Mwanasheria Mkuu Wapatikana na Hatia ya Kuficha Siri za Mikopo ya Kimataifa

    Mahakama Kuu imewapatia hatia ya dharau ya mahakama Waziri wa Hazina, John Mbadi, pamoja na Mwanasheria Mkuu, Dorcas Oduor, kufuatia kushindwa kutekeleza amri ya kufichua mikataba ya sovereign bonds na matumizi ya fedha zilizopatikana kupitia mikopo hiyo. Jaji Patricia Nyaundi alitoa uamuzi huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…