wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Hivi wazazi na walezi wa Sasa, Bado mnafundisha watoto kutunza bikra zao?

    Hili ni swali, Bado wazazi na walezi wa Leo mnafundisha watoto wenu wa kike na kiume kutunza bikra zao? Karibuni
  2. Unawasiliana na wazazi wako mara ngapi kwa mwezi?

    Mimi nimekuwa closed sana na wazazi hasa kwa mawasiliano ya simu daily kujua hali zao Ila naona kuna dharau fulani ya kuwa available nahisi wananichukulia poa sana. Hii imekaaje kwa upande wako kwao?
  3. Likizo si wakati wa kulegeza ulinzi wa watoto: Wazazi tuwajibike kuhakikisha usalama wa watoto wetu dhidi ya ukatili

    Kipindi hiki cha likizo ya kimasomo kwa miezi miwili kwa watoto wetu, wazazi na walezi tuongeze umakini katika usalama wa watoto wa kike na wa kiume. Tusidhani kila ndugu, mjomba, shangazi, dada au kaka wa kazi ana nia njema kwa watoto wetu. Baadhi ya vitendo vya ukatili wa kingono dhidi ya...
  4. Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao.

    Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao. Baada ya mazungumzo mafupi na wazazi wake, kulingana na utamaduni wao, mwanaume yeyote anayetaka kuoa kutoka kwao lazima afanye kazi ya shamba kwa mwezi mmoja mzima...
  5. Hii ni thread ya kikubwa Gen-zee kaeni pembeni, wazazi njooni hapa tuelezane ukweli.

    Tunakumbushana, tunaambizana bila kufokeana polepole kwa upendo. Watanzania wengi tumeamka kielimu bila kujali mtu hana uwezo wa kifedha lakini anajitutumuwa kupeleka mtoto private school. Sasa mimi nawakymbusha, ili usitie huruma January nakuona kama ndugu na marafiki hawakujali serikali...
  6. Asilimia 99% ya wazazi Masikini hawakuzaa watoto kwakuwa wanapenda watoto ila walizaa kama Plan B ili waje wasaidiwe na hao watoto kimaisha.

    Asilimia 99% ya wazazi Masikini hawakuzaa watoto kwakuwa wanapenda watoto ila walizaa kama Plan B ili waje wasaidiwe na hao watoto kimaisha.
  7. Wazazi, hii likizo ya miezi miwili tutaivuka salama?

    Wana jukwaa , hawa "Ninja" wapo likizo na sasa naona ni wakati wa sisi wazazi kuwakumbuka walimu na kuombea likizo iishe haraka! Imagine, sisi tunakaa na watoto wetu nyumbani kwa siku chache tu tunaanza kuchoka, walimu wao wanakaa nao karibu kila siku! Sasa naanza kuelewa kwa nini walimu...
  8. A

    Wazazi hawataki nioe Single Mother, Mnyakyusa!

    Nimejaribu kuwashawishi wazazi wangu ili nimuoe huyu Single Mother (Ms. Atupele) mwenye asili ya Kyela. Ila naona inashindikana sina budi kutafuta binti wa Kichaga ili maisha yaendelee. Ms. Atupele nashukuru kwa huduma yako kwa muda tulioishi pamoja Goba. Kwa heri Junior nilijitahidi zaidi ya...
  9. Mama wa Kambo Jela miaka 49 kwa kumlisha mtoto sindano 49! Je, watoto wako salama mikononi mwa wazazi wa kambo?

    Wakuu, Kumekuwa na mjadala wa muda mrefu katika jamii zetu kuhusu changamoto za malezi, hususan pale mzazi mmoja anapolazimika kuishi na mtoto asiye wake wa kumzaa (mtoto wa kambo). Tukio la hivi karibuni kutoka nchini Uganda limeibua tena simanzi na maswali mazito kuhusu usalama wa watoto...
  10. Wazazi wengi wa kiafrika hawajui kuset parental control kwenye vifaa vya na wengine hawaijui kabisa

    Hii nimeona mahali pengi,wenzenu wameadvance hata wakimnunulia mtoto smartphone wanaenda kwenye settings kipengele Cha parental control,wanaset Kwa kadri ya umri wa mtoto anaetumia hiyo device,maudhui atakayoyaona yaendane na umri wake.Hata applications pia Zina parental control kuonyesha...
  11. Civilian-Coin: Wazazi wetu wametumia gharama kutusomesha halafu Ikulu inaunda Mafeki na kuwapa vyeo na heshima kwa majina yetu na kutudhalili juu. "

    Wazazi wetu wametumia gharama kutusomesha halafu Chamwino inaunda Mafeki na kuwapa vyeo na heshima kwa majina yetu na kutudhalili juu.Sasa sisi hatuwezi kusomea watu shule halafu mwingine afaidi kwa elimu yangu, haiwezekani...Maorijino tuko njiani tunakuja Chamwino mpaka Magogoni.
  12. Wazazi wapewa Onyo: Shule Zinafungwa 13-11-2026

    Shule za awali na Upili zinafungwa kesho, kwa miezi miwili. Watoto waliokuwa Boarding sasa wanarudi na kukuta dada mpya wa kazi na kaka mpya wa kazi. Watoto wa kike waliokuwa Gils only, yani seminari n walishavunja ungo na walizuiliwa kuonana na wanaume sasa wanakutana na kaka wa kazi na...
  13. Je, ni sawa kwa wazazi kuvaa nguo mbele ya watoto wao?

    Hi Je, ni sawa kwa wazazi kuvaa nguo au kuoga mbele ya watotot wenu wadogo kuanzia mwaka 1-7. Maana kuna wazazi bado wana kaa uchi mbele ya watoto wao waki amini hawajui kitu chochote, huku baadae watoto wakiwa na wenzao wana anza kusimuliana yale wanayo yaona kutoka kwenu kuna namna ina...
  14. Huyu past aliwaonya wazazi kuita mtoto Kelvin miaka 7 iliyopita.....Kelvin Kelvin

    https://www.facebook.com/share/r/1BDv6xXLCu/ SIMAANISHI WEWE KELVIN AJAYE
  15. Wazazi wenye watoto wenye changamoto za kiafya au ukuaji, mnawezaje kuishi na hali hii kila siku?

    Kuna jambo limekuwa likinigusa sana moyoni na nimeona nililete hapa JF nipate mawazo na uzoefu wa wadau. Kila ninapokutana na mtoto mdogo mwenye changamoto za kiafya, ulemavu au ukuaji, huwa moyo wangu unaumia sana. Wakati mwingine najikuta nimeshindwa kujizuia kulia. Huwa najiuliza, hivi...
  16. F

    Je ni rahisi watoto na wajukuu kuvunja ndoa ya wazazi waliokwisha kufa zamani(Tanganyika na Zanzibar)?

    Wazazi walifunga ndoa wakamaliza, na wamefariki wakiwa ndani ya ndoa. Sasa watoto na vijukuu baada ya kusoma wosia wa marehemu Babu na bibi zao waliokwisha kufa, hawaridhiki na mirathi, Sasa wameamua kuomba ndoa ivunjwe, Watoto hawa wamejaribu muda Sasa kuhoji ilipo hatia ya ndoa ili watafute...
  17. Hivi kuhama nyumbani kwa wazazi na kwenda kujitegemea, ni kipimo cha mafanikio ya maisha?

    Wakuu Ni kweli kuhama nyumbani kwa wazazi na kwenda kujitegemea, ni kipimo cha mafanikio ya maisha?
  18. J

    Je,, watoto kupatilizwa kwa ajili ya dhambi za wazazi wao?

    Je watoto kupatilizwa kwa ajili ya dhambi za wazazi wao? Kitabu cha Ezekieli 18:20 kinatuambia, "Roho atendaye dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua ouvu wa mwanawe". Watoto hawaadhibiwi kwa ajili ya dhambi zilizotendwa na wazazi wao; wala wazazi...
  19. Nguvu ya DNA: Je, tunarithi zaidi ya mwonekano kutoka kwa wazazi wetu

    Wakuu, leo nataka tuongee kuhusu DNA (vinasaba) Kuna mambo kadhaa ambayo ningependa tuyajadili na kujifunza kutoka kwa wataalamu na wenye uelewa wa masuala haya 1. DNA na mapenzi/Sexual Compatibility😊 Je, kuna namna ya kupima vinasaba vya watu wawili na kugundua kama wanaendana kibaiolojia...
  20. Mfumo wa kujaza CELFORM kwa wanafunzi na wazazi mfumo haufunguki wiki nzima sasa tunaweza nini kama taifa

    Halafu mkiambiwa mna ma IT wasio na uwezo mmewajaza humo maofisini mnatuteka na kutupa kesi za uhaini . Watoto wanalala kwenye internet cafe kusubiri mfumo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…