Kiroho sio Kisheria.
Mwenyezi Mungu alisema wamekuwa mwili mmoja. Mnapokuwa tupu, alafu sehemu za siri zimeingiliana ndio tafsiri ya mwili mmoja hiyo.
Hivyo watu wengi wana wake na waume rundo kiroho huku wakiwa na mke au mume mmoja kisheria.
Cha kufanya, mtafute yule aliyekutoa ubikra wako...