waume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mliooa wake za watu likizo hii waacheni wakaonane na waume zao

    Kama unaipenda ndoa yako au amani ya ndoa yako idumu huna budi kumuachia huyo unayemuita mkeo akaonane na bwana yake. HAKUNA NAMNA. Kama ulioa mwanamke asiye bikira ama single Maza tuliza fuvu then uwe mpole. Kisha likizo hii yote akaitumie kuonana na mme wake wa maisha. Nawakumbusha...
  2. M

    Kwenu dada zetu, Mitandao inawaufundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini haitakufundisha jinsi ya kuishi na matokeo ya kupoteza ndoa yako.

    Mitandao inawajaza kiburi na kuwafundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini kamwe haitawafundisha jinsi ya kuishi na upweke, aibu, na maumivu ya kupoteza ndoa zenu. Leo hii, magroup ya makungwi, podcasts za ovyo, na hao mnaowaita 'role models' waliofeli kwenye maisha yao ya ndoa ndiyo...
  3. M

    Makabila wanawake husifiwa uvumilivu, wasiofuata mali, hujenga familia za kudumu hadi kifo na huchepuka kwa tahadhari bila kuvuruga ndoa zao

    1. Wabena 2. Wahehe 3. Wasukuma 4. Wakurya 5. Waha Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la...
  4. B

    Stori za Wanawake wanaojiita High Class Pisi Kali, ni kujadili Jinsi ya kupata waume za watu wenye hela.

    Huu umekuwa kama ulemavu sasa. Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri, pia nimeweza kukutana na socialites, influencers, famous na cerebrilities. Mada zao ni kula bata...
  5. Kwanini Mbeya ndiyo mkoa unaongoza kuwa na wajane wengi? Wanaua waume zao

    Mkoani Mbeya leo linafanyika kongamano la wajane linalolenga kuwaunganisha na fursa za kiuchumi baada ya kuondokewa na waume zao, ili kuwaepusha na manyanyaso ya kifamilia. Je, hatua hii itasaidia kuboresha maisha ya wajane na kuondoa changamoto wanazokumbana nazo? Tuandikie maoni yako
  6. Wanawake mnaolipa kodi za nyumba, chakula na ada za watoto huku mkiwa na waume nyumbani wenye afya njema, mmechanganyikiwa? Are you stupid?

    Mbaya zaidi wengine mnawalipia hadi madeni yao binafsi. Acheni upuuzi. Kuna baadhi hadi mnapokea vipigo. Usiingilie majukumu ya mwanaume. He has to provide for his family.
  7. Sisi waume za watu tunatakiwa tuheshimiwe

    Kila kitu hutokea kwa sababu. Ikiwa sisi wanaume wenye ndoa zetu, tukiamua kuwa waaminifu kwa wake zetu, kuna uwezekano mkubwa huko mitaani wanawake wengine wakiwepo wanafunzi wa vyuo wakapata shida zaidi. Shida zenyewe ni kukosa watu wa kuzaa nao, kukosa vipato na uchumi wao kuporomoka...
  8. M

    Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi ni waume za watu

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu. Nilipoingia darasa la sita, familia...
  9. M

    Dharau za wanawake kwa waume zao zimesababisha wanaume wengi kuwa na hasira na kuwa kama vichaa. hakuna anaejali Men mental health

    wanaume wengi wanaonekana watu wabaya sababu ya mental health problems walizozipata kwa dharau za wanawake. "Hakuna anayejali afya ya akili ya mwanaume hadi itakapogeuka kuwa hasira na ukichaa, ndipo kila mtu huanza kumwona kama mtu mbaya."
  10. Uswahilini: Mpangaji atangaza vita ya kuiba waume wa wapangaji wenzake

    Kila kukicha vituko havikwishi! Huku mtaani kwetu kuna mpangaji wa kike (single) ametangaza vita ya kuiba waume wa wapangaji wenzake. Amewaambia wapangaji wenzake kuwa atahakikisha anaiba waume wa wapangaji wote. Hii ni baada ya mpangaji huyo kutofanya usafi wa choo kwa mwezi mzima. Hivyo...
  11. Kipi hupelekea wanawake kuwanyima unyumba waume zao?

    Hili sasa limekuwa ni tishio. Nahisi ni moja kati ya sababu inayowapelekea vijana wengi kuishi maisha yao wao kama wao. Unyumba Unyumba Unyumba Najiuliza, sijui wanapitia machungu makali sana pale Abdallah anapozama chumvini🤔 Sijui ni uvivu tu🤔 Sijui ndo upendo umekwisha, I mean bila upendo...
  12. Wanawake wengi hawapendi waume zao

    NDIYO: Sio uongo wanawake wengi hawapendi waliowaoa Bali wanafurahia tu kitendo Cha kuolewa na kugawana Mali. Kwa mwendo huu matatizo hayawezi kuisha. Angalia tu mwenyewe we angalia tu: ✓ Pep Guradiola alimpoteza mke wake kwa sababu alilalamika kuwa alitumia muda mwingi na soka, soka lile lile...
  13. Kwann wanawake wanavumilia umasikini wa baba zao na sio wa waume zao.

    Ni wanawake wachache sana wenye kuweza kuvumilia umasikini wa mme wake akifulia kwa sababu pesa ni kama maji ya mto kujaa,kupungua,kukauka,kujaa tena ni kitu cha kawaida kwa 3D eyes. Ukiangalia mahusiano mengi yamejengwa kwenye pesa ukitaka kuthibitisha ili check wanaume wastaafu wanayopitia...
  14. Imeandikwa waume wapendeni wake zenu kama nafsi zenu wenyewe kwa maana sasa mmekuwa mwili mmoja

    Waefeso 5:28-33 28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. 30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. 31...
  15. M

    Baadhi ya wanawake hawajali kabisa kile ambacho waume zao wanapitia

    Baadhi ya wake hawajui hata kwamba waume zao wanafanya kazi zaidi ya moja ili kuhudumia familia. Dunia ni mahali pagumu kwa mwanaume. Rafiki yangu alipoteza kazi yake mwaka jana. Jamaa amejiongeza gari yake ameisajili Bolt hivyo anatoka nyumbani kila siku kwenda kazini. Mke wake hata hajui...
  16. D

    Siku hizi wanawake wasomi hawatumii tena ubini (surnames) za waume zao pekee. Kuachana ni muda wowote

    Daaah, ila maisha yanaenda Kasi sana. Alipokuwa msichana mrembo pale ITV na Redio One alijulikana kama Beatrice Chalamila Binti kutokea Mkoani Iringa. Baada ya kupagawa na usakataji kabumbu pamoja na uhandsome wa mkaka aliyejulikana kama Boniface MKWASA, mchezaji wa timu ya Young Africans...
  17. Tumemuona Rais Trump akicheza na Mkewe baada ya Kuapishwa rasmi, hivyo tunaomba na wengine wakiapisha hivi karibuni nao wacheze na Wake / Waume zao

    Na GENTAMYCINE naomba yoyote yule atakayeapishwa huku Afrika (kama kuna Uchaguzi wowote mwaka huu 2025 japo najua hakuna Uchaguzi wowote katika Kumbukumbu zangu) nae akiwa anacheza Muziki na ama Mkewe au Mumewe mara baada Kuapishwa basi atuonyeshe Manjonjo yake ya kujua Kucheza Muziki (hasa wa...
  18. Dada zetu wakinunuliwa Zawadi na waume zao wanasema Mahaba lakini sisi tukifanya hivyo Kwa wake zetu wanasema tumerogwa!!

    Hivi ndivyo ilivyo wakuu...... Shemeji zetu wanapo onyesha upendo hadharani Kwa dada zetu kuwanunulia zawadi kadhaa wa kadhaa . Dada zetu hufarahii sana na kusema haya mahaba (Upendo/Anapendwa) Ni mara kadhaa tunaona mashemeji wakijenga ukweni. Familia nzima itamsifia sana huyo...
  19. Kwa jicho la 3 ndoa za Kikristo ni mzigo kwa waume

    Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo. Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo unatenganishwa na kifo na uzinzi tu. Mambo mengine yoote nihayawezi kuvunja ndoa. Ukiwa mume mkeo...
  20. Wanawake kunjueni mioyo tu waume zenu tuwe na wake wengi

    Vilio ni vingi sana majumbani wengi wa wanawake shoo hamziwezi shuhuda tunazipata kwenye vijiwe vyetu vya kahawa Visingizio ni vingi mara mseme mmechoka mara sijui tunapiga shoo kila siku kama tumeoa midori ya ngono n.k Ukiachana na sex kama kazi ya kuingiza pesa wanawake shoo mnafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…