wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushauri wa dharura: Vyuo viondoe requirement ya uhudhuriaji darasani kwa wanafunzi

    Kwanza napenda kuishukuru serikali kwa kusikiliza ushauri niliowahi kutoa katika Uzi wangu mmoja wiki kadhaa zilizopita kuhusiana na kufungua taasisi za elimu ila kwa tahadhari. Leo kuna jambo ambalo nadhani linaweza kuwa bado lilikuwa overlooked ila likiangaliwa linaweza kusaidia kuongeza...
  2. J

    DC Ole Sabaya: Majina ya wanafunzi wa vyuo na kidato cha sita watakaoripoti yafikishwe ofisini kwangu tarehe 2/6/2020 saa 4 asubuhi

    Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amewataka wakuu wa vyuo na wale wa High schools kuhakikisha wanawasajili wanafunzi wote watakaoripoti vyuoni/shuleni tarehe 1/6/2020 kumpelekea orodha zao tarehe 2/6/2020 kabla ya saa 4 asubuhi. Ole sabaya amesema wanafunzi watakaoripoti baada ya muda huo...
  3. Wanasiasa pingeni na pigeni marufuku ufundishwaji wa wanafunzi masuala ya uzazi

    Hivi hili suala la mafundisho ya masuala ya uzazi kwa wanafunzi limekaaje na kwa nini NGOs baadhi zinaruhusiwa kutoa mafunzo hayo mashuleni!? Hivi binti/kijana aliyepo shuleni anapofunzwa mambo kama hayo muktadha wake ni upi hasa!? Tafadhari wenye Mamlaka ondoeni mafunzo hayo mashuleni kwa...
  4. Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Bwiru watakiwa kwenda na Malimao na Tangawizi shuleni

    Pia, soma Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi - JamiiForums
  5. C

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere kule Uganda wametengeneza Mabasi yao yanatotumia Umeme.

    Ugandan students at Makerere University have produced their first set of electric buses. Africa Facts Zone on Twitter Je hawa wanafunzi wa vyuo vyetu wanatengeneza nini?
  6. Njia ya kuwapa wanafunzi mitihani wakiwa nyumbani

    Kwa wadau wote wa elimu,mimi ni msimamizi ya taasisi ya elimu ya TANZANIA INTER-DEPENDENCE PRIMARY SCHOOLS EXAMINATION UNION Tumeweza kubuni mbinu ya kuwasaidia watoto kipindi hiki cha corona, ambyo sasa wanafunzi nchi nzima watafanya mitihani kupitia link za mfumo bila kutoa copy,halafu matokeo...
  7. Sijui hili Dongo ( Shombo ) la huyu Mhadhiri wangu wa ' Political Science ' alikuwa analiekeza Kwangu au labda kwa Wanafunzi wenzangu!

    Kaingia akaanza zake kufundisha kama kawaida ila Mimi siku zote huwa nakuwa simsikilizi kivile kwani naona hata hamu yenyewe ya Kusoma sasa haipo tena na naingia tu Darasani ili nisionekane Mtoro na sina Nidhamu Kwake na mwishowe akaja Kunifelisha bure! Ila wakati akifundisha katikati akaanza...
  8. Mtandao wa kijamii wa wanafunzi na waalimu

    Habari wana JF. Natumaini nyinyi nyote mnaendelea vyema wakati huu wa janga la COVID-19. Kwa kujitambulisha kwanza, mimi ni kijana Mtanzania na kwasasa ninasomea Shahada ya Uhandisi wa Umeme na kompyuta (Bsc. Electrical and Computer Engineering) nchini Marekani. Hivi majuzi nimemaliza...
  9. Mwalimu wetu wa hili Somo la 'Current Affairs' sijui anatutakia nini sisi wanafunzi wake na hili swali lake gumu

    Swali: Je, unadhani Ndege yetu ilitakiwa.... a) Kuruka toka Madafu Nation kwenda Fish Island kubeba Shehena inayosubiri Kwanza Majibu ya Maabara? b) Kuruka kupeleka Wataalam wetu WHO wakaungane na wengine katika Kutafuta Chanjo Kamili? c) Kuruka kwenda Kuwachukuwa Wenzetu waliokwama China...
  10. Wanachuo wa St. Joseph (Boko) walalamikia kufelishwa wakidai Chuo kilichukua Wanafunzi wengi kuliko inavyotakiwa ili kujipatia fedha

    Wanafunzi wa Chuo cha St. Joseph Tawi la Boko linalotoa elimu ya Afya, wamedai kufelishwa na Uongozi wa Chuo hicho na kuambiwa hawawezi kurudi Chuoni hapo na kama wanataka kurudi basi warudie mwaka Wanadai walifanya mtihani wa UE wakiwa takriban Wanafunzi 200 lakini Wanafunzi waliopitishwa ni...
  11. Wakati RC Mtaka anapambana wanafunzi wasome kupitia mtandao, RC Makonda anapambana na Wabunge

    Ni jambo la kisikitisha sana RC wa Dar es Salaam kutoona umuhimu wa elimu kwa watoto katika kipindi hiki cha mlipuko wa Corona na kudakia mambo ya wabunge yasiyomhusu. RC Mtaka anapambana watoto wasome online kipindi hiki, huku RC DSM anapoteza muda mwingi katika media kwa mambo yasiyo ya...
  12. S

    Janga la Corona na mustakabali wa ada kwa wanafunzi

    Wakuu kwema? Natumai mko salama katika Janga hili hatari lililotukumba la CORONA. Kabla ya kwenda kwenye mada, ningependa kwanza kutoa uchanganuzi katika suala la gharama Kama nilivyojifunza. "Cost" pamoja migawanyo mingine imegawanyika pia katika makundi mawili ambayo ni "Fixed Costs" na "...
  13. Mzee wa Upako awananga Wanafunzi wa UDSM kwenye kipindi cha tutashinda Channel 10 leo jumamosi 25/4/2020

    Nimemfuatilia kwa karibu sana mwanzo mwisho na nilichojifunza ana mafundisho mazuri sana ila kuna kosa kubwa amefanya la kutaka Wanafunzi wa UDSM kuwa ni wakosoaji wa Watumishi wa Mungu huku wakiwa hawaelewi chochote kuhusu imani. Anaendelea kusema Utumishi ni taaluma unapaswa kuheshimiwa na...
  14. Tengeneza Resume yako ya kirahisi hapa!

    Resume/CV Maker | Curriculum Vitae - Apps on Google Play
  15. J

    Mabasi ya wanafunzi yapewa kibali cha kuwa Daladala kwa muda wa miezi mitatu kukabili uhaba wa usafiri uliosababishwa na " level seat"

    Serikali imetoa ruksa kwa mabasi yenye rangi ya njano yanayobeba wanafunzi kutumika kama daladala wakati huu ambapo shule zimefungwa. Mkurugenzi mkuu wa Latra amesema wamiliki wa school bus watapewa vibali vya kuweza kubeba abiria kwa kipindi cha miezi mitatu ili kufidia upungufu wa mabasi...
  16. D

    Katazo: Tuzuie Wanafunzi wenye Sifa Duni Kujiunga na Kozi za Uuguzi

    Uuguzi ni mojawapo ya kazi inayohitaji huruma na uwezo mkubwa wa akili. Kwa bahati mbaya sana, uuguzi Tanzania imekuwa ni sehemu ambayo wanaenda kusoma wahitimu wa masomo ya sekondari wenye ufaulu duni. Tabia hii imewafanya wauguzi wawe ni watandika vitanda, wageuza wagonjwa, wasafisha...
  17. Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Leo Waziri wa Afya ametangaza virusi hatari vya Corona kuwepo nchini mwetu. Mgonjwa mmoja amethibitishwa kwa vipimo vinavyofanywa kwenye maabara moja tu hapa nchini kwetu. Maana yake kuna uwezekano wa kuwepo wengine wenye virusi hivyo ambao hawajabahatika kufanyiwa vipimo hivyo au ni carriers...
  18. Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

    KUJIKINGA NA #CORONAVIRUS: SHULE ZAFUNGWA KWA SIKU 30 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 zimefungwa kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17, 2020 Amesema, Serikali itafanya marekebisho ya ratiba ya Kidato cha 6, wanaotarajiwa kufanya...
  19. S

    TAKUKURU Mtwara chunguzeni chuo cha kilimo Mtwara(MATI) kulipisha wanafunzi tsh 10,000 ili wapate control number

    Kuna taarifa kuwa chuo kinawatoza wanafunzi 10,000 Tsh kuwatengenezera control number wakati wnataka kwenda benkikulipa ada. Kibaya ni kuwa hawatoi hata risiti kwa malipo ya kupata control number. Tafadhali lifanyie kazi kama sheria ya kodi inasema hivyo kuwa kupata control number unalipia
  20. Rufiji, Pwani: Shule nne zafungwa kutokana na mafuriko, Wanafunzi zaidi ya 3,000 kukosa masomo

    Shule nne za msingi zilizopo katika kata ya Muhoro, wilayani Rufi ji, mkoa wa Pwani zimefugwa baada ya kuzingirwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Shule zilizofungwa ni hizo Nyambapu, Muhoro, Kingongo na Kipoka na jumla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…