wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Afghanistan: Wanafunzi saba wafariki, wengine 99 wajeruhiwa kwa mlipuko

    Wanafunzi saba wamefariki dunia na wengine hadi 99 kujeruhiwa baada ya kutokea kwa mlipuko karibu na shule moja katika mkoa wa Kunar, kaskazini-mashariki mwa Afghanistan, Jumamosi, Novemba 28, 2026. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya utawala wa Taliban, Abdul Mateen Qani, amesema mlipuko...
  2. A

    Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda vitabu vya mitaala mipya viko wapi? Vitabu vya wanafunzi wanaoingia darasa la 5 mpaka sasa havipo popote

    Hivi hizi serikali zetu za kiafrika kwanini ziko hivi? Mtaala mpya shule za misingi ilianza tangia 2022 lakini mpaka leo hakuna vitabu, tuna wizara, tuna Taasisi ya Elimu ila hakuna vitabu. Ktk hii likizo ndefu wazazi wangetafuta namna ya kuwasaidia ila vitabu havipo siyo madukani wala...
  3. H

    Wanafunzi 90 wa Tanzania watua Algeria

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amewataka wanafunzi wa Tanzania waliowasili nchini Algeria kusoma kwa juhudi na bidii wakitambua kwamba wao ni ndoto na fahari ya taifa. Akizungumza na wanafunzi hao mnamo tarehe 25 Novemba, 2026, kwenye Chuo Kikuu...
  4. C

    Chile: Walimu na wanafunzi wameandamana kupinga kupunguzwa kwa bajeti ya elimu

    Idadi kubwa ya walimu na wanafunzi wameshuhudiwa wakiandamana katika mitaa ya jiji la Santiago nchini Chile, kupinga mpango wa kupunguza bajeti ya sekta ya elimu. Maandamano hayo yameitishwa na Chama cha Walimu kupitia mgomo wa kitaifa, huku washiriki wakielekea katika Ikulu ya Serikali...
  5. A

    KERO Wanafunzi wa Higher Diploma in Mental Health Nursing DIHAS tunasotea mkopo, hatupewi majibu

    Kuna kozi inayoitwa Higher Diploma in Mental Health Nursing, iliyoanzishwa na Wizara ya Afya Mwaka wa Masomo 2025/2026 na kutolewa katika Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi Dodoma (DIHAS). Wakati wa kuomba kujiunga na kozi hiyo, mojawapo ya taarifa zilizowekwa kwenye mfumo wa maombi ni...
  6. O

    Ndoto Zageuka Jinamizi: Wanafunzi Walipa Hadi KSh50,000 kwa Kozi Zinazodaiwa Kutokuwepo

    Kilichoanza kama safari ya kutafuta elimu na maisha bora sasa kimegeuka kilio cha wanafunzi kadhaa wanaoidai taasisi moja ya mafunzo mjini Thika kuwasajili katika kozi ambazo hazipo au hazijatambuliwa. Miongoni mwa walioathirika ni Agness Maina, mama kijana ambaye alikuwa ametoka tu kumaliza...
  7. A

    KERO Shule ya Zanaki Sekondari kuzuia Wanafunzi wa Form One kufunga shule ni kwa maelekezo ya Wizara?

    Habari ndugu! Mimi ni mzazi wa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza anayesoma ZANAKI SECONDARY SCHOOL Lengo na dhumuni la kuandika meseji hii ni kutoa taarifa kuwa Shule ya Zanaki Secondari imewazuia wanafunzi wa kidato cha kwanza kufunga shule na kusema waendelee na masomo ya form two kitu ambacho...
  8. Halikuwa lengo la Yesu au wanafunzi wake wa mwanzo kuanzisha Ukristo kama dini.

    Halikuwa lengo la Yesu kuanzisha Ukristo kama dini mpya inayojitegemea ni mtazamo unaoungwa mkono na wanahistoria wengi wa dini, wataalamu wa Biblia na baadhi ya wanateolojia. Haya ndiyo mambo makuu yanayofafanua mtazamo huu kihistoria na kiteolojia: 1. Utambulisho wa Kiyahudi; Yesu alizaliwa...
  9. Arita yatoa semina elekezi kwa wanafunzi kuhusu maadili na kuepuka tabia hatarishi

    Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kimeendesha semina elekezi kwa wanafunzi wa kozi mbalimbali zinazotolewa chuoni hapo, kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili, nidhamu na kujiepusha na vitendo vinavyoweza kuathiri masomo yao pamoja na maisha yao ya baadaye. Semina hiyo...
  10. A

    KERO Wanafunzi Wakike wa City Institute of Health (VIDETE – Chanika) wanakosa usimamizi wa usiku

    Naomba mamlaka zinazohusika na usimamizi wa vyuo nchini, hususan NACTVET, zifuatilie kwa haraka suala hili linalohusu usalama wa wanafunzi wa kike katika City Institute of Health and Allied Sciences (VIDETE), iliyopo Chanika, Dar es Salaam. Katika ziara tuliyoifanya chuoni hapo usiku wa...
  11. Computer4Sale Mjapani Company, Tunauza kompyuta desktops na laptops aina zote, za wanafunzi, professional, Gamers, workstations na n.k,tupo dar es salaam

    Unahitaji kompyuta kwa ajili ya kazi zako kama library, ofisini, video editing, engineering, architecture na n.k. Njoo ujipatie PC desktops na laptops kwa bajeti yako, kwa mawasiliano nicheki 0756704145 call,sms, WhatsApp.
  12. Mjapani Company, Tunauza kompyuta desktops na laptops aina zote, za wanafunzi, professional, Gamers, workstations na n.k,tupo dar es salaam

    Kwa mahitaji ya kompyuta laptops na desktops njoo ujipatie kwetu kwa hitaji lako, nitajie PC unataka ya kazi gani nikupe bei na specs (sifa) za PC unayotakiwa kuwa nayo, nicheki 0756704145 call,sms, WhatsApp.
  13. S

    KERO Wanafunzi wa Diploma ya Ualimu wa Sayansi Walalamikia Kukosa Mikopo ya HESLB

    Mwongozo wa mikopo kwa mwaka 2026 uliweka kipaumbele kwa wanafunzi wa Diploma ya Ualimu wa Elimu ya Msingi (Diploma in Primary Education) wanaosomea masomo ya sayansi, yakiwemo Hisabati, Fizikia, Kemia, Baiolojia na TEHAMA (ICT). Hata hivyo, wanafunzi wengi wa fani hiyo, ambao ni wahitimu wa...
  14. U

    HOJA Changamoto za kuhamisha Mikopo ya HESLB: Je, mifumo yetu ya Kidijitali inazingatia uhalisia wa maisha ya Wanafunzi?

    Naomba suala hili lijadiliwe kwa upana, si kama changamoto yangu binafsi pekee, bali kama tatizo linaloweza kuwaathiri wanafunzi wengine wanaotegemea mikopo ya elimu ya juu ili kuendelea na masomo. Mimi ni mwombaji wa mkopo wa HESLB kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Nilichaguliwa katika chuo...
  15. Leo ni siku ya Wanafunzi Duniani, Kama ungerudishwa shuleni leo, ni kosa gani usingelirudia tena?

    Mimi nisingekuwa na presha ya maisha Ningetumia muda kucheza, kujifunza vitu vingine na ujuzi wa mtaani. Wakati nasoma i thought masomo ndo the only thing that matters, Ningejifunza mambo na mambo mengine pia
  16. G

    Je, ni haki kubadilisha mitaala ya masomo wakati wanafunzi tayari wako masomoni?

    Kuna changamoto inayowakabili baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu kutokana na mabadiliko ya mitaala yanayofanyika wakati tayari wameanza masomo. Baadhi yao hulazimika kusoma masomo mapya ambayo hayakuwepo kwenye mitaala waliyoanza nayo, hali inayoweza kusababisha kupata retake, kuchelewa kuhitimu...
  17. C

    Geita: Radi yajeruhi wanafunzi 20

    Wanafunzi 20 wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari Dkt. Kalemani iliyopo Kata ya Bwongera, Wilaya ya Chato mkoani Geita, wamejeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati mvua ikiendelea kunyesha. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Hamis Wambura, amesema tukio hilo limetokea wakati wanafunzi hao...
  18. Wanafunzi wa darasa la saba waliopata wastani wa "A" wasambazeni wote kwenye shule za Sekondari za kitaifa nchini

    Asilimia kubwa ya wanafunzi wanaopata wastani wa "A" kwenye mitihani Yao ya darasa la saba au division one kwenye mitihani yao ya kidato cha IV-VI huwa wanakuwa na nidhamu sana. Tuanze kuandaa Taifa la watu wenye nidhamu kuanzia Leo. Hivyo basi ili kuandaa Taifa la badae lenye tija kwa Taifa...
  19. S

    KERO UDOM walianza kurejesha fedha za ziada (overpayment) lakini sasa wameacha, hatuelewi shida ni nini

    Bado kuna changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa kurejesha fedha za ziada (overpayment) kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya taarifa iliyochapishwa na JamiiForums kuhusu kuchelewa kwa malipo hayo kusambaa, uongozi wa chuo ulianza kulipa baadhi ya wanafunzi, hatua iliyoashiria...
  20. JKCI yafafanuzi kuhusu Utoaji wa Tuzo za Uandishi wa Insha za Wanafunzi za Mwaka 2025

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi rasmi kwa umma, washiriki, wazazi na walezi kufuatia maswali na sintofahamu iliyojitokeza kuhusu utoaji wa tuzo kwa washindi wa Shindano la Uandishi wa Insha la Mwaka 2025. Hoja ya awali ~ JKCI zile tuzo kwa Wanafunzi Bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…