wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Hao manabii zaidi ya laki moja wanaodaiwa na Uislamu wako wapi?

    Kwa nini manabii wote wanaozungumziwa kwenye Uislamu ni Wayahudi? Waislamu hudai Mungu ameshusha manabii zaidi ya laki moja duniani, je katika hao manabii laki moja wanaweza kutaja manabii watatu kutoka Africa, China, Ulaya, America Kusini & Kaskazini ? Wanaweza kutaja manabii watatu wasio...
  2. Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine

    Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine kwa namna iliyo bora, yenye ukomavu, na isiyochosha. Huwezi kumpa mtu mwingine maji kutoka kwenye chombo kilicho tupu; unapojijaza upendo, heshima, na utulivu, unakuwa na akiba ya kutosha na yenye afya ya kushirikisha wengine...
  3. B

    Ushawahi kuachana na mpenzi wako kwasababu ya kushindana kisirisiri “Nani atakaa muda mrefu bila ya kuanza kumtafuta mwenzie”?

    Habarini, Kuna trend ipo sahivi kwenye baadhi ya mahusiano mengi tu, unakuta we na mchumba wako hamjagombana, wala hamna aliemkwaza mwenzie. Ila kuna yale mawazo flani yanawapata wote wawili pale kila mmoja anapotaka kumtafuta mwenzake kumjulia hali kupitia meseji au phone call. Unakuta mdada...
  4. Kutoka Kusoma Insha Hadi Majibu ya Sekunde Moja ya AI, Kwaheri ya Kuonana Wikipedia, Mkurugenzi wako ameshindwa kujiongeza!

    Kwa miongo miwili, Wikipedia ilitawala ulimwengu wa maarifa mtandaoni ikionekana kama chanzo kikuu cha taarifa kwa kila mtu. Hata hivyo, mabadiliko ya kasi ya teknolojia yanatishia nafasi hiyo, yakisukuma jukwaa hili kuelekea ukingoni mwa kupoteza ushawishi wake wa zamani Kuibuka kwa mifumo ya...
  5. Ni member gani wakiwa couple wana-match kwa mtazamo wako?

    Hello mambo vipi wakulungwa 😹 Tusichoshane, kwa mtazamo wangu Gunner11 a.k.a Chiwawa na SweetyCandy a.k.a Da Mau Hawa viumbe wana sayari yao inayofanana, wana tabia za kufanana. Mpaka nyuzi na kujiliza kwa kufanana…!! Kwangu hawa wakiwa couple JF itasimama 😹😹😹 NB: Couple itakayoainishwa...
  6. M

    Nguruwe wako hawakui? Sababu inaweza kuwa kwenye lishe! Fahamu suluhisho la kitaalamu

    NGURUWE WAKO WAMEDUMAA? HUU NDIO MUDA WA KUBADILI MATOKEO! Tumia MAX PIG SUPER MEAT – virutubisho asilia vyenye madini, vitamini na probiotics vinavyosaidia kuboresha ukuaji, afya na ufanyaji kazi wa mwili wa nguruwe. Dozi: 1Kg kwa kilo 500 za chakula. Bei: 30,000/= Tsh kwa 1Kg. Nunua MAX...
  7. Kama wewe na bosi wako mpo ofisini kila Siku

    Kuna tabia za mabosi wa Kitanganyika kukaa ofisini muda wote kuangalia watumishi, sasa kama bosi wako mpo ofisini kila siku "wewe na bosi wako tafuteni kazi".
  8. Mabingwa wa UEFA na EPL 2026/2027 Wako Uwanjani Emirates. Karibuni!

    Ndio ivyo.. Mashabiki wa Dortmund poleni.
  9. Utachukua hatua gani kwa mtu wako wa karibu anayekusudia kutoa kafara ya binadamu?

    Utachukua hatua gani ndugu yako, mume/mke, jirani au rafiki akikuambia mungu amemuambia amtoe sadaka/kafara mtoto wake na kweli anakusadia kwenda kumtoa mtoto wake sadaka kutimiza agizo hilo ?
  10. Ushehe siyo kilemba, ushehe ni msikiti: Mwaipopo tuonyeshe waumini wako 20 tukuamini

    Ushehe siyo Kilemba ni moja Kati ya methali za kale za ukanda wa Pwani ambazo zilijizolea umaarufu mkubwa ikimaanisha heshima ya Mtu haitokani na mavazi au Muonekano bali matendo na mahali anapoyatendea. Mwaipopo amekuwa akijiita Shehe lakini Dar es salaam nzima hakuna Msikiti anaoongoza...
  11. M

    Mwanaume! Hizi ni siku 6 ambazo unatakiwa umkaze kisawasawa mke wako

    1.Siku aliyokusamehe kosa lako.hakikisha siku hii unatumbua vijipu vyake vyote vya hasira vilivyoiva kwa wakati huo. utajua wewe utatumia mbinu gani ila hakikisha hilo bro! Ombi la msamaha kwa mwanaume linakamilishwa na mikazo. Ukimkaza vizuri hapo ndio atakusamehe mazima kutoka...
  12. Tufunge mikikanda yetu, wazungu hawana hela ya kutupatia. Wako hoi pia.

    Kero ziko duniani kote, wazungu hawana hela ya bure kwetu siku hizi. Ukiona wanatupa hela tushituke, ni mtego huo. Tukabane humuhumu tulipe kodi na kuilinda kwelikweli itumike bila kudokolewa. ILikuwa Ufaransa, ikaenda Italy na sasa iko Ujerumani. https://youtu.be/p_GlVGvCmNE?si=UhYoPx0ZDi3vjueA
  13. N

    Hii kulinda mgongo wako, ni wanaume tu walinde ama na wanawake pia?

    Wanawake wanafanywa njia ya haja kubwa, walioolewa wanawapa waume hiyo njia wakiamini wanaume hawatatoka nje ya ndoa...mabinti wadogo haswa wanafunzi nao wanaingiziwa huko ili wapewe macho matatu...madada wanapewa nauli za kwenda uchina kwa kuingiziwa huko... Sasa huko mtandaoni unakuta wamama...
  14. M

    Mzazi wako alikuagiza kitu gani ukaona anazingua?

  15. UKOMO WA HATI FUNGANI (MATURITY DATE): NINI KINATOKEA UWEKEZAJI WAKO UNAPOFIKIA MWISHO WA MUDA WAKE?

    1. Utangulizi Unapowekeza katika hati fungani, ni muhimu kuelewa si tu kiwango cha riba utakachopata, bali pia muda ambao uwekezaji huo utakaa kabla ya kufikia ukomo wake. Katika uwekezaji wa hati fungani, kuna dhana muhimu inayojulikana kama Maturity Date, ambayo humaanisha tarehe ambayo hati...
  16. Ni kweli, ICC wako nchini

    Kuna jambo ambalo nchi za ulimwengu wa tatu linasahau Hawa ICC wanaweza wasitusaidie chochote Nowadays imekuwa jokes Ukiangalia mauaji yaliyofanyika 29/10/2025 kama alivyo comment Nyani Ngabu sehemu kwamba kwa Ushahidi uliowazi vile wao wanachelewa nini kufanya maamuzi Tunajua ICC uchukua...
  17. T

    Kabila/Mkoa wako haushobokei kazi licha ya wasomi rundo na wanafanya kazi kwenye taasisi nyeti

    https://youtu.be/EpVJwcWzFao?si=q5OWMvW-6moza26v
  18. Uache mwiko ndani Juhudi za kuzungusha mwiko zinachangia kuiva kwa ugali...hata hivyo namna ta kuuzungusha huharakisha ugali wako kuiva. Usiharakis

    Uache mwiko ndani Juhudi za kuzungusha mwiko zinachangia kuiva kwa ugali...hata hivyo namna ta kuuzungusha huharakisha ugali wako kuiva. Usiharakishe kuutoa mwiko kabla ugali haujaiva... Mwiko ni mwiko tu kikubwa mpishi na MAPISHI yake.
  19. Kama unataka kuwa content creator, jifunze kutumia AI, ujuzi wako unaweza kukufungulia milango mingi

    Fikiria kampuni inatangaza nafasi ya kazi: SOCIAL MEDIA CONTENT CREATOR ANAHITAJIKA! Unaona tangazo. Unaangalia vigezo, unagundua huna uzoefu mkubwa, huna connections na hujawahi kufanya kazi kwenye kampuni kubwa. Lakini unaamua kutuma maombi.Kwenye CV yako unaandika kwamba una uwezo wa...
  20. X

    Wababe wa dunia wako jijini Shenzhen, China. Kesho wana jambo lao. Stay tuned

    APEC imewakutanisha some of the most powerful men on the planet Lakini jambo kubwa linalosubiriwa si mkutano wenyewe, bali ni the BIG agenda behind closed doors mtu 3, Xi, Putin na Trump Ni masuala gani yatajadiliwa? Global trade, technology, geopolitics, energy, investment au reshaping of the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…