wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AirBnB zaruhusiwa kurekodi na kuzuia vitambulisho vya Wageni kwa Muda kutokana na kuzidi kwa Mauaji

    Kutokana na kuongezeka kwa ripoti za vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na kesi za mauaji, katika nyumba za makazi maarufu kama (AirBnB) na Hoteli Mamlaka ya Udhibiti wa Taarifa Binafsi imetoa maagizo yanayolenga kuzuia vitendo hivyo na kuhakikisha usalama wa wakazi na wageni Mamlaka hiyo...
  2. C

    Wakati Tanzania tukijidanganya kuokota points kwa Zambia na Congo DR wao wamesema hivi

    Zambia: Kama kuna timu ambayo tunaenda kuokota points za bure ni ya Tanzania ila kwa Morocco tutajitahidi tupate angalau sare au suluhu kisha huko mbele tutajua nani ataenda. Congo DR: Morocco tukijitafuta tuna uwezo wa kuwafunga au basi tukiwashinda tutatafuta sare au suluhu ila kwa Tanzania...
  3. Kwanini Nape na Mwigulu waliwahi kumpongeza Nchimbi kwenye mitandao wakati ni wajumbe wa vikao vilivyompita Nchimbi?

    NIMEEJIULIZA swali Nape na Mwigulu ni Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kikao kilichompitisha Nchimbi kuwa Katibu Mkuu, Swali je kwanini Nape na Nchimbi walijitokeza tena kwenye mitandao kumpongeza hii ina maana gani?
  4. Uzi maalum wa kuwashauri CHADEMA katika wakati mgumu wanaoupitia. Wanahitaji faraja

    Hata kama wamemkabidhi akili Mbowe bado hawa jamaa ni ndugu zetu kwahiyo tunapaswa kuwashauri na kuwatia moyo kwenye wakati huu mgumu wanaopitia. Kiukweli kisiasa chama kikuu cha utoaji taarifa kina wakati mgumu... kimekataliwa kila kona hasa baada ya kutoa hoja zao zenye nia ovu kuhusu muswada...
  5. PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

    Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam. Nakala za barua za taarifa ya Maandamano haya zimepelekwa kwa makamanda wote wa Polisi Wilaya...
  6. Kuna watu wanampinga Mwamposa wakati nabii wao alikabwa mapangoni na wengine wanaabudu sanamu la bikira mwenye watoto watano

    Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini. Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma. Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka...
  7. Wasukuma wanaoendelea kufanya hizi mila za kimabavu zilizopitwa na wakati wapewe kesi za ubakaji, mabinti waheshimiwe.

    Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila, Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili...
  8. PreGE2025 Mbona CHADEMA mnalalamikia zoezi la usafi wakati RC Chalamila hajalaumu maandamano yenu?

    CHADEMA kupitia Mwenyekiti Mbowe wametangaza kufanyika maandamano Dar es Salaam, January 24, 2024. Lakini pia RC wa Dar es Salaam Bwana Chalamila Albert ametangaza Majeshi ya Ulinzi na Usalama kufanya usafi mkoani kwake tarehe 23-24 January 2024. CHADEMA kila kona mitandaoni wanamlaumu RC...
  9. S

    Je, ni dhambi kumuahidi mtu anayekunyanyasa kuwa wakati mwengine akikutana na wewe utakuwa mkubwa kuliko yeye akumbuke hilo

    Wakuu nimeianza 2024 nikiwa wa moto sana kwasababu ya kujua hatima yangu itapofika 2024 sitakiwi kuwa na ndoa na jamaa wa 2023 alokuwa akinitumikisha, kwani 2023 alishadiriki kuivunja ndoa yetu na akaomba hiyo 2023 kabla haujaisha mwaka turudiane, kweli tukarudiana mi nikiwa na akili mbili mbili...
  10. Wakati mwingine huwa sio busara kukaa kimya hasa kwa jambo linalokushutumu

    Kuna wakati mtu anaweza kukutendea ubaya na ukajikuta umejibu mapigo kwa kugomba na kuropoka maneno mengi makali, kwa wakati huo unaweza usitambue na nafsi yako kuridhika kwa maneno hayo, lakini baadae maneno hayo yakawa mabaya na kukuharibu kiasi cha kujutia. Ila Kama unadhani ukikaa kimya...
  11. Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

    Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu! Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida! Mimi Binafsi siwezi...
  12. TANZIA Demi Agoglia Afariki Dunia Wakati Akifanyiwa Upasuwaji Wa Kuongeza Shepu

    Mwanamke wa Uingereza aitwaye Demi Agoglia (26) amefariki dunia siku chache baada ya kufanya upasuaji wa kuongeza shepu (BBL) nchini Uturuki, Magazeti ya Uingereza yameripoti. Demi ambaye alikua Mkazi kutoka Jiji la Manchester alipata mshtuko wa moyo saa chache kabla ya kuanza safari yake ya...
  13. L

    Wakati Tanzania na China zikielekea kuadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia ni vyema kutilia mkazo mawasiliano baina ya watu

    Wakati Tanzania na China zikitarajiwa kuadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia mwaka 2024, huku zikikubaliana kufanya mwaka huu wa 2024 kuwa wa utalii na utamaduni, nchi hizi mbili kwa sasa zinajivunia kuwa na ushirikiano wa kimkakati, ambao umechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya...
  14. J

    Sikiliza Mabishano yaliyoibuka kati ya Msemaji wa Bavicha na Mwenyekiti Kamati ya Bunge wakati wa uwasilishaji

    ..huyu Dada wa Chadema kwanza yuko very confident and composed. ..kitu cha ajabu ni kwamba maoni aliyokuwa akiyatoa Mwakilishi wa Bavicha yanafanana na yaliyotolewa na watoa maoni wengine kama CCT, na TEC. Tatizo limekuja baada ya maoni hayo kutolewa na Bavicha na Mwenyekiti akaanza kubishana...
  15. Einstein na Wakati

    Albert Einstein alisema upo wakati kama unavyopimwa na saa, yaani wakati wa nukta, dakika,n.k. Hiyo ni aina moja ya wakati. Aina nyingine ya wakati ni kwamba wakati ni perception ya akili; hisia,kwamba kama kuna mateso, utahisi wakati unaenda polepole: kama kuna raha utahisi wamato unaenda...
  16. Geita: Auawa kwa kupigwa risasi wakati akichanja kuni kwenye hifadhi

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia Askari wanne wa maliasili kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Semeni Hamisi (34), mkazi wa Kijiji cha Nyamigota, Kata ya Nyamigota, baada ya kukutwa ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Samina akiokota kuni za matumizi ya nyumbani. Mkuu wa Wilaya ya Geita...
  17. Nimepatwa na wasiwasi wakati wa kulala wife anavaa vipensi vya jeans

    Mwanzo alikuwa analala kichele bila chupi ata ukifunua shuka unaona zigo ili hapa linang'aa kazi yako unapaka mate unachomeka akija kushtuka usingizini anakuta unaendelea na show. Sasa hivi yapata wiki wakati wakulala anavaa vipensi vya jeans tena vinambana haswa ata ukitaka kupiga mambo...
  18. Mzigo wa vita waielemea Israel na huku wakisindikizwa na mawe wakati wakirejea nyuma.

    Hali ya vita inazidi kuwa mbaya kwa Israel kiasi kwamba wamelazimika kuondoa vikosi vyake kadhaa kutoka uwanja wa vita. Sababu kuu inayotajwa ni kuporomoka kwa uchumi wa nchi hiyo kiasi kwamba hakuna tena mafungu ya kuwahudumia askari walio mstari wa mbele.Sababu nyengine isiyowekwa wazi na nchi...
  19. R

    Hongera Rais Samia kwa hotuba fupi inayotoa mwanga kuhusu maono ya serikali yako kwa mwaka, 2024

    Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi. Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…