Salamu wakuu,
Ikiwa utaamua kuoa kwa lengo la kuishi na mwanamke hadi mauti yawatenganishe usipuuze huu ushauri.
Ushauri huu nautowa kwa wale ambao tayari wameyapatia maisha kwa wewe kijana masikini na unaejitafuta Kama mimi acha kabisa kusoma huu uzi, kwa sababu wewe ndoa haikufai, tena kaa...