Niaje wakuu, niwape kisa changu cha kutumia Simu wakati nipo shule.
Kipindi niko form two, dada angu alininunulia simu zile Nokia Obama nitumie hapo mzee anapinga sana matumizi ya simu ila dada alimpanga akamuelewa. Nimetumia nikawa naona siielewi simu ya kizee hapo wenzangu wana vitecno og...
Wapo waliodhani kuwa safari ya maendeleo ingekwama wapo walioibeza dhamira ya uongozi lakini leo matokeo ya kazi yanaendelea kujibu maswali mengi kuliko maneno yanavyoweza kujibu.
Hongera sana Rais wetu Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Umeonesha kuwa uongozi wenye maono haupimwi kwa ukubwa...
Mimi ninahitaji gesi kwa ajili ya matumizi yangu, wewe unaniuzia gesi na mtungi ambao ni mali yako! Una jina lako na siwezi kuutumia nisipokupata wewe! Na hata nikiacha matumizi ya gesi yako eti mtungi unabaki kuwa wangu kwa jina lako! Hii ni dhuluma hanna tofauti na anayekuuzia leo king'amuzi...
KUPITIA PPPs, TUNATAKA KUWA NA SEKTA NDOGO YA KILIMO YENYE ZANA BORA ZAIDI, TEKNOLOJIA YA KISASA ILI KUONGEZA MCHANGO WAKE KWENYE UCHUMI (GDP)
Akijibu swali la Mwanachuo Rachel, Bwana David Zacharia Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC Tanzania, alisema watu wanapaswa kupungua katika sekta ya...
Katika muendelezo wangu wa kuleta mada za kuchallenge fikra za watu hasa katika maeneo ambayo naona kuna upotofu, leo nakuja na mada nyingine inayowahusu watu wanaoitwa wa Kaskazini, hasa wa Kilimanjaro na Arusha.
Ukiangalia ramani ya Tanzania, Kilimanjaro ipo mashariki mwa Tanzania, zaidi ya...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Mkanada, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni. Kwa muda sasa, tumekuwa tukikabiliwa na kero kubwa ya kelele zinazotokana na kiwanda cha kutengeneza matofali kilichopo katika eneo letu, hali inayotunyima utulivu na kuathiri maisha yetu ya kila siku.
Mashine zinazotumika...
Anonymous
Thread
kero
kinondoni
kiwanda
kuhusu
mazingira
tofali
wakatiwakati mgumu
wazo
Sheikh Mselemo alipofungwa alifiwa na mtoto wake, wakati ule Magufuli na ukatili wake wote alimruhusu alienda Zanziber kumzika mwanawe,kinachoshangaza hii leo Lisu kanyimwa hiyo haki ya kumzika kakayake?
Inasikitisha na hii ilitakiwa iwe Headline ya magazine yote kuweka kumbukumbu sawa.
Dhahabu na chuma lazima moto uhusike. Na mbegu ili iiote lazima ufukiwe kwanza.. Lissu atatoka jail akiwa mpya..
Mwanasiasa na Mwenyekiti wa chama kikuu cha siasa Tanzania Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026 kaanza maisha rasmi ya Gerezani. 623 logo ya utetezi wa...
Mimi hawa watu siwaelewi kabisa shida yao ni nini kiasi kwamba wanatumia kila mbinu kutaka wakae mezani na CHADEMA eti waridhiane
Yaani mumbakizie Mwenyekiti wao kesi, mumfunge jela, mteke na kupoteza wanachama wao halafu wakati huo huo mtake .kukaa nao mezani mfanye maridhiano .Hii ni akili ya...
Mwanamke hakikisha wakati wa tendo na mwanaume wako unazichezea, unazibusu na kuzinyonya sehemu zifuatazo
1. Uume
2. Shingo
3. Sikio
4. Chuchu
5. Navel (sehemu ya kitovu au tumbo la chini)
Zingine ongeza
Mh. Lissu baada ya kukamatwa alifunguliwa kesi 2 ya Uchochezi ambayo alipata dhamana na ya Uhaini. Uhaini ikaendelea. Uhaini imeonekana imeshindwa ila kuna uchochezi ambayo sawa na ile iliyopaki Kisutu. Sasa inakuwaje Mahakama kuu imalize mchezo juu kwa juu? Yaani baada ya mahakama kuu kumkuta...
Wajinga mna kazi sana, yaan muda wote wa kesi ya Lissu, hukuwahi hata kufunua Domk lako, Leo baada ya Lissu kufungwa Kisiasa , unalipa Media, ikualike ,ujifanye unaongea ongea, ili Yule mjinga wa ELIMU mbalimbali Aliyeua Watanzania Oktoba 29, akuone?.
Kwa upande mwingine, unaamini Wewe na Genge...
Kwakweli Jaji Ndunguru anachekesha sana.
1. Kichekesho cha kwanza, awali kwenye rulling ya case to answer, Jaji Ndunguru alidai Mh Tundu Lissu ana kesi ya kujibu kuhusu tuhuma zake za uhaini. Cha kushangaza Leo kadai hakuna ushahidi wa kumtia hatiani na kwamba ushahidi wa Jamhuri ulikuwa...
Hakuna wakati kwenye historia yetu Watanzania wamekosa furaha kama 2025-2026. Sikumbuki ni wakati gani kila ukiongea na Mtanzania yeyote ni malalamishi tu kuanzia mwananchi wa kawaida mpaka viongozi
Wana JF, naomba mnivumilie kwa dakika chache. Kwa kweli nimefika kipindi ambacho hata kupata maneno ya kuelezea hali yangu imekuwa changamoto.
Nimefiwa na baba yangu. Hili ni pigo ambalo si rahisi kulikubali wala kulizoea. Kuna pengo ambalo halizibwi kwa maneno, kuna kumbukumbu ambazo zinabaki...
Hizi ni sifa za kijinga sana. Hawa waandishi wameweka weledi kando na kutaka sifa binafsi. Wangekuwa na mkalimani ingependeza.
https://www.instagram.com/reel/DfVWDeQtLjc/?cplk=dTY1Zzk5Nm40dno2
https://www.instagram.com/reel/DfVj_IMM9LH/?psln=dHF4cDE3ajMzODFs
Hii ipo kwa watu wote kuanzia wanasiasa wanamichezo wasanii wafanyabiashara pia.
Kwa mfano kwa kazi yangu hapa nilipo kwa sasa sina mpinzani ila nimeshajiandaa tayari muda wowote najua atatokea mpinzani sasa ninachopambana mm hapa ni kuboresha tu huduma yangu na kuhakikisha hata kama atakuja...
Sio ajabu ukaambiwa Dogo chagua kozi za Ai ndio dunia inapokwenda🤣 hawa watu wanasahau Ai ilikuwepo hata kabla ya 2020 na watu wametumia kwa muda mrefu tu kabla ya mapinduzi ya 2022 ya chaygpt sasa najiuliza hawa watu wanaenda kusomea kutumia Ai ? Au kuunda Ai , vip Kama Ai nikitu cha kupita...
Wakati wa masika utagundua kwa usahihi kama eneo au kiwanja unachonunua panapitika au la! utagundua kama ni kwenye madimbwi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye chemichemi ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye njia ya maji au la! Utagundua kama ni kwenye majaruba au la.....!
Kama unaweza...